GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,385
- 108,439
Tafadhali sana badilika upesi na niwaombe pia hata wale walioko karibu nae ( hasa Washauri ) ama wamsaidie au wambadilishe kwani anachokifanya sasa ni 'Kujichoresha' na hadi 'Kujidhalilisha' kwa Watanzania. Haiwezekani Wewe kila ukianza tu 'Kuhutubia' unaacha 'Kujinadi' hasa 'Kisera' Kazi yako ni 'Kuchomekea' tu maneno ya 'Kingonongono' ambayo kwa sasa si ya 'Hadhi' yako.
Watanzania wanaweza wakawa ni 'Wagumu' Kuamini taarifa zako kuwa unapenda sana 'Ngono' ila kwa Kauli zako za sasa wataanza Kuzamini hasa.
Inakera kama siyo hata Kutukwaza wale tuliokuwa tukikupenda na kukuamini. Badilika upesi japo tayari 'Werevu' wameshakudharau sana na mno.