Kuna suala ambalo linatakiwa lifanyike kwenye elimu ambapo lingemsaidia Mheshiwa Rais katika suala la kujenga nchi kwenye uchumi wa viwanda.
Tunapojenga uchumi wa viwanda mtaala wa elimu unatakiwa kuwaandaa watoto kuja kuingia kwenye ujenzi wa uchumi wa viwanda.
Hii itafanyika kama mtaala...