matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,540
- 15,178
Haiwezekani ikitokea janga moja mengine yote yanasimama kusubiri utadhani wanaambiana.
Mfano:
Ilupotokea Corona, sijasikia ugaidi, vita vya Syria, sijui Boko haramu wala njaa duniani.
Ilipokuwa anapigwa sadamu ana Osama na Mullar Omari wanasakwa mambo mengine yote hayakusikika hadi hilo tulilopangiwa kufikiri, kutafakari liishe.
Sasa tuwe wakweli. Kwa jinsi magaidi tunavyoaminishwa ni watata nani amewaambia wasikilizie kwanza hadi upepo wa Covid upite. Hizi kumbe huwa ni Sanaa za kimataifa. Hata Boko haram hawasikiki kabisa. Utadhani dunia inatimetable ya nini tusikie na kwa wakati gani.
Hata kwetu Tangu kadudu kalipokuwa imported na kukatimua kwa maombi na baadae shetani kukapenyeza kiaina japo tutakavyekelea mbali kwa dua tena soon.
1: Hakuna habari za kipindupindu, wakati zamani kila mwaka utasikia kuna kambi kwa mnyamani Buguruni.
2: Hakuna wasiojulikana.
3: Ajali za kuua watu wengi kwa mkupua hazipo.
4: Mafisadi na watu wa kutumbuliwa hawaonekani.
5: Mafuriko huko MTO mkondoa Kilosa hayasikiki.
6: Hakuna vita sijui vya wamasai na wakulima.
Najaribu kuwaza ni Mungu anatuepushia matatizo yasibebane au kuna jamaa wanaremoti wanatupangia sisi darasa la nne tusiojua kufikiri vya kufikiri na nini tusikilize kwa wakati gani.