Tanzia: Mfalme wa wazulu, Goodwill Zwelithini afariki dunia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
1615537859534.png

Mfalme wa Wazulu wa Afrika Kusini, Goodwill Zwelithini amefariki katika Hospitali ya KwaZulu-Natal alipokuwa anatibiwa kisukari

Mfalme Zwelithini ameugua kwa takribani kabla ya umauti kumkuta alfajiri ya Machi 12. Amekuwa mtawala waZulu tangu 1968

Zwelithini ni mfalme wa nane wa wazulu ambapo alimrithi baba yake Mfalme Bhekuzulu kaSolomon

======

King Goodwill Zwelithini of the Zulu nation in South Africa has died in hospital where he was being treated for diabetes-related issues.

The king, 72, was the leader of South Africa's largest ethnic group and an influential traditional ruler.

He had been admitted to hospital in KwaZulu-Natal last week to monitor his ongoing diabetes condition.

The king's prime minister thanked South Africa for its "continued prayers and support in this most difficult time".

King Goodwill Zwelithini ruled the Zulu nation under the Traditional Leadership clause of South Africa's republican constitution but his role was largely ceremonial.

Around 10 million people live in KwaZulu-Natal province.

Following his father's death in 1968 he was named successor to the throne at the age of 20.

He wasn't crowned for two years because he went into hiding after receiving death threats.

BBC
 
south Africa ,pamoja na maendeleo makubwa waliyo nayo,lakn wamegoma kabisaa kuachana na Mambo ya kimila.japo sio mbaya lakn yanawagalimu some how.
 
south Africa ,pamoja na maendeleo makubwa waliyo nayo,lakn wamegoma kabisaa kuachana na Mambo ya kimila.japo sio mbaya lakn yanawagalimu some how.
Acha kuwa na ndoto za mchana mkuu,mila zao za kijadi zimewa cost kivipi?elewa bila ya king huyu(rip) nchi ile ingetumbukia kwenye civil war hasa miaka ya 90s mwanzoni wakati wazulu na waxhosa walipigana na watu wengi waliopoteza maisha.utawala wa kimila ni safi ni tamaa ya wanasiasa wa Tanzania waliamua kuua kwa faida yao.
 
Nakubaliana na ww,kwenye mchango wake ku settle disputes.sipingi uwepo na umuhimu wa Mila,Ila baadhi ya Mila zinapingana na wakati mkuu.mf. wake wengi n.k
 
Nakubaliana na ww,kwenye mchango wake ku settle disputes.sipingi uwepo na umuhimu wa Mila,Ila baadhi ya Mila zinapingana na wakati mkuu.mf. wake wengi n.k
Hupendi wake wengi wawili Au hata watatu??

Hii mila beberu wametufutia ili itengeneze ajira za DIVORCE lawyers. Pia imetuletea michepuko na matatizo yatokanayo na michepuko.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hupendi wake wengi wawili Au hata watatu??

Hii mila beberu wametufutia ili itengeneze ajira za DIVORCE lawyers. Pia imetuletea michepuko na matatizo yatokanayo na michepuko.

Everyday is Saturday...............................
.
 
Back
Top Bottom