TANZIA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo afariki dunia

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,937
25,279
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo amefariki dunia leo Jumanne Februari 23, 2020. Katibu mwenezi CCM mkoani humo, Mayunga George amethibitisha.

yakobo.jpg

Chanzo: Mwananchi
 
Katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Simiyu ndugu Mayunga George anatangaza kifo cha mwenyekiti wa CCM mkoa ndugu Enock Yakobo kilichotokea leo jumanne februari 22. Habari kamili zitawadia baadaye.
 
RIP. Tuendelee kuchukua tahadhari tena tahadhari kweli maana hamkani si shwari tena. Hao wanaobishania afya yako kwenye majukwaa na platforms mbalimbali ukifa ni lako na familia yako; hutamwona hata mmoja.
 
Gonjwa limeamua kulamba senior citizens halina mchezo kabisa! Wazee wetu (vijana na watoto pia) msibweteke na maneno ya wanasiasa; juhudi binafsi zinahitajika kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.
 
Back
Top Bottom