dunia

  1. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nikiifikiria dunia, naona bora hata nisingekuwepo tu

    Yaani ukifikiria jinsi mtu unavyo hangaika mpaka jasho la meno Ili upate chappa uishi vizuri. Halafu ufikirie kufa unaona yani kama unapoteza wakati vile maana utavitafuta weee alafu hata hauenjoy yan paaap umedanja wanafaidi wengine jasho lako Huwa inanikata moto yani nikifikiria kufa naona...
  2. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania TANZIA Muimbaji mkongwe wa nyimbo za Kimasai, Ole Pakuo afariki dunia.

    Kwa masikitiko makubwa, muimbaji maarufu na mkongwe wa nyimbo za injili kwa lugha ya Kimaasai, Ole Pakuo amefariki dunia. Ole Pakuo amefariki dunia leo mchana wa Tar 28-01-2022 katika hospital ya Rufaa ya kaunti ya Kajiado nchini Kenya. Alifikishwa hapo baada ya kuugua kwa muda mfupi na baadae...
  3. fungi06

    JamiiForums Tanzania Siri kumi(10) za dunia hizi hapa

    Kwa jinsi unavyozidi kuficha jambo ndivyo ivyo linavyo zidi tamanisha watu lifwatilia,,,wengi wetu tupo radhi kuficha siri kubaki nayo moyoni mpaka siku ya kufa,,,,, maana ikitokea imevuja tuu majanga yake huwa makubwa sana (nimekosa mimi...) yani kwa mfano coca cola ingetoa ingredients zake...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa dunia utakua kwa 4.4% mwaka 2022

    Benki ya Dunia imeripoti kuwa Uchumi wa Dunia utakua kwa 4.4% kwa mwaka 2022 ikiwa na tofauti ya 0.5% iliyokadiliwa awali. Mwaka 2023 ukuaji wa uchumi utapungua hadi kufikia 3.8% Nchi zinazoendelea zitakuwa na ukuaji mdogo ukilinganisha na nchi zilizoendelea. Aidha 60% ya nchi maskini zimeanza...
  5. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania TANZIA Staa wa tamthilia ya Ertugrul, Artuk Bey afariki dunia

    Muigizaji wa tamthilia pendwa zaidi kwa sasa ya Uturuki ya Ertugrul, bwana Ayberk Pekcan maarufu kama Artuk Bey amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51. Ayberk ambaye amecheza kama, Artuk Bey kwenye tamthilia hiyo ya Ertugrul, amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa miezi kadhaa. Familia ya...
  6. Shoctopus

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili wadai umbali kati ya dunia na jua ni Kilomita 150

    Assalamualaikum WanaJf. Siamini kama nilichosikia leo tarehe 01/24/2022 asubuhi ktk 'BBC Swahili' kupitia RFA ilikuwa kweli au nilikuwa kwenye ndoto. Mtangazaji aitwae R. Oditi amesema umbali kati ya dunia na jua ni kilometers mia na hamsini (150). Na mbaya zaidi alirudia kusema hivyo mara...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kumwambia mke wako sasa hivi umenenepa bila kuanzisha Vita ya Tatu ya Dunia nyumbani?

    Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao. Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea...
  8. L

    JamiiForums Tanzania China yabeba jukumu muhimu la kuwa nchi inayohimiza amani katika Afrika na dunia kwa ujumla

    China inaendelea kuonesha umuhimu wake duniani hasa katika bara la Afrika baada ya kutangaza kwamba itateua mjumbe maalumu katika pembe ya Afrika, ambayo imekuwa ikikabiliwa ni migogoro kila uchao. Hii pia inaonesha kwamba nchi hii kubwa ya Asia ina wasiwasi na hali ya usalama katika kanda hiyo...
  9. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa kusafiri sana kuifaidi dunia

    Mwaka 2022 unagawanyika kwa mbili. Ni mwaka mzuri. Usikubali ukaishi maisha ya dhiki na kutofurahia maisha. Unafanya kazi ili iweje kama huwezi kutenga siku kadhaa za kufurahia maisha? Dhamiria kuufanya mwaka huu kuwa mwaka wa kujipa nafasi binafsi. Au kama uwezo unaruhusu, basi jipe nafasi na...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Dunia itoze rushwa kodi

    Kwakuwa imethibitika kwamba rushwa haiwezikwisha asilani duniani, nadhani tuanze kutoza kodi rushwa kubwa kubwa ambazo zihalalishwe na kupangiwa utaratibu wa kupokelewa/kutolewa kupitia akaunti za benki ili serikali zichukuwe kodi zao huko huko. Huenda serikali zikajikuta zinaingiza mapato...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Jamii ya kimataifa yahimizwa kufanya juhudi za pamoja ili kufufua uchumi wa dunia

    Rais Xi Jinping wa China hivi karibuni amehutubia Kongamano la mwaka 2022 la Baraza la Uchumi wa Dunia kwa njia ya video, akihimiza jamii ya kimataifa kushirikiana katika kukabiliana na changamoto zilizosababishwa na janga la COVID-19, na kujenga dunia nzuri. Katika hotuba yake, Rais Xi amesema...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Dunia ni ngumu jitahidi kufurahi kila uwezapo

    Unaempenda hakupendi au anakupenda kwa manufaa yake binafsi. Anaekupenda unamuona si wa hadhi yako. Unapokutana na anaekupenda kwa dhati na wewe ukampenda kwa dhati, Kuna jambo litatokea mnaweza kushindwa kuoana. Mkioana mmoja anaweza kufa mapema. Mnapendana lakini matatizo hayaishi...
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Natoa siku 7 waajiri kuwalipa Waandishi wa Habari waliofariki kwenye ajali. Tambueni tu leseni zenu ziko kwangu

    Waziri wa Habari na Mawasiliano ya teknolojia ya Habari Nape Nnauye ni miongoni mwa waliofika uwanja wa Nyamagana kuungana na RC Mwanza, Injinia Robert Gabriel na Waombolezaji wengine kuaga miili ya Waandishi 6 waliofariki kwenye ajali jana. Natoa siku saba kuanzia leo kwa waajiri wote, kama...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa JMT msipompa 'Uspika' Dkt. Tulia Ackson hakika 'nitawadharau' mpaka dunia itakapopinduka

    GENTAMYCINE sijawahi Kukosea ama nikimpenda au nikimchukia Mtu (na hata rekodi zinanibeba) hivyo hata kama Watu wanachukua Fomu za Kugombea Uspika ila kwa Vigezo vyangu vingi na Sababu zangu nyingi namuona Naibu Spika Dk. Tulia Ackson anafaa na ndiyo Chaguo sahihi hasa kwa Bunge la sasa na...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sidney Poitier amefariki dunia

    SIDNEY POITIER AMEFARIKI DUNIA LEO AKIWA NA MIAKA 94 Mwanangu yuko mbali na mimi wakati anakua hapa Dar es Salaam mara nyingi nikimuhadithia movies tulizokuwa tukizipenda wakati sisi wadogo na pia wale waigizaji maarufu nyakati zetu. Tukipita mjini nikawa namuonyesha majumba ya senema...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Swali! Hivi unapofariki inakuwa umeiaga dunia au dunia ndo imekuaga?

    Nimekuwa nikisika Mara kwamara mtu anapofariki au kufawatu wanasema ameaga dunia, Sasa mi huwa najiulizaga kila siku ameiaga vipi na dunia iko wapi ili na sisi tuiage kabla kabisa ya madhira haya ya kufa. Mi nafikiri huwa hatuiagi Mana afterall dunia is too theoretical and vacuum kwa hiyo dunia...
  17. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu, dunia naona mviringo!

    Mimi si mwanachama na mchangiaji sana huku MMU, lakini hata bubu aking'atwa ataongea hata neno. Huku kuna walimwengu wa maisha halisi ya kibantu. Hadithi ni ndefu lakini nitaifupisha. Nina mke na watoto, tena wakubwa tu. Katika mishe mishe za safari mikoani huko, sitaji mkoa lakini nilikaa...
  18. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania TANZIA Pemba: Watu 9 wafariki dunia baada ya boti kuzama baharini. Zoezi la uokoaji kuendelea asubuhi

    Watu 9 wamefariki dunia na wengine 6 kuokolewa wakiwa hai baada ya boti kuzama baharini Kisiwani Pemba wakati watu hao wakitokea Chakechake kwenda kisiwa cha Panza kwenye shughuli za mazishi. Zoezi la uokozi limesitishwa usiku na litaendelea Januari 5, 2022 asubuhi. Shahidi katika tukio hilo...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimebaini Watanzania ni Vinara wa mambo haya

    NIMEBAINI WATANZANIA NI VINARA(SUPERPOWER) WA MAMBO HAYA; Anaandika Robert Heriel. Kwa wasomi wa somo la Historia watakubaliana nami kuwa hapa Duniani kuna mataifa ni superpower na yapo yalikuwa hivyo. Mpaka sasa taifa la Marekani ndio superpower wa Dunia yetu huku taifa la Uchina likimpa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Salamu kwa Tutu zinapowaamsha watema Nyongo

    Shujaa mpenda haki ametutoka. Tributes kwa maisha yaliyopotea zinapoendelea kumiminika tuna mengi ya kujifunza. Hizi hapa ni za Mh. Samia: Salamu hizi zimewaamsha watema nyongo kwa misingi hii hii: Tofauti kabisa na salamu za wengine. Sisi tunakwama wapi? Ni kweli hatupajui?
Back
Top Bottom