dunia

  1. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini afanya jaribio la kurusha kombora la balistiki, aongeza tension katika dunia

    Japan na Korea Kusini wamesema kuwa leo jumapili Korea ya Kaskazini imefanya majaribio ya kurusha kombora la balistiki. Jaribio hili limefanyika kukiwa na chini ya wiki mbili kuelekea uchaguzi wa rais nchini South Korea, lakini pia katika kipindi ambacho dunia imekuwa ktk hali ya kushughulishwa...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Vita ya Tatu ya Dunia ikinukia:- Zijue nchi 31 ambazo hazina jeshi

    1. Andorra Andorra moja ya nchi ndogo sana barani Ulaya iliyopo kati ya Spain na Ufarasa na ina watu 85,000 . Nchi hii ina polisi wake weyewe ambao wanaitwa Cos de Policia d'Andorra, lakini haina jeshi. Ulinzi wa mipaka ya nchi hii uko mikooni mwa Hispania na Ufaransa kwasababu wao ndio...
  3. Esokoni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Faida ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya Dunia ya 'Dubai Expo 2020'

    Faida ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya Dunia ya 'Dubai Expo 2020'. Kesho Jumamosi ndo siku yetu Tanzania na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza tukio.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Japo Urusi ni hatari akisaidiwa na Korea Kaskazini, China na Iran, ila kwa Kikosi cha Marekani kilichotua mpakani bado Marekani ni Mbabe wa dunia

    Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000. Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na...
  6. Eqlypz

    JamiiForums Tanzania Photographers' Corner

    Hapa tutakuwa tunashare picha tulizopiga au picha zilizopigwa na wapiga picha wengine ila zimetuvutia. Ikiwezekana vile vile tutakuwa tunaweka tips jinsi gani tumepiga picha, post processing etc etc. Tukiweka picha za wapiga picha wengine tujaribu kuweka source na jina la mpiga picha. Hii...
  7. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

    Ndugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi. Mazishi yamefanyika leo tarehe 23 Februari kwao Rungwe. Apumzike salama
  8. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Chuo cha Uongozi Mwalimu Julius Nyerere

    Wakuu Mama Amesema Hakuna Kupoa Wala Kutulia Chini. . Rais Samia Kesho Jumatano atafungua ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani. . Viongozi mbalimbali wa chama tawala na Serikali wameshiriki Ufunguzi huo, wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama vya ANC (Afrika...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia ameanza kufaulu kuirejesha Tanzania kwenye ramani ya dunia

    Mlikua mumetumbukizwa pabaya...kisa uongozi uliojaa maamuzi ya kijuha na chuki. ======= Samia is a master political player Tanzanian Opposition deputy leader Tundu Lissu and President Samia Suluhu in Belgium on February 16, 2022. PHOTO | COURTESY Tanzania’s President Samia Suluhu is...
  10. budget

    JamiiForums Tanzania Nukuu za Katibu Mwenezi CCM Taifa akiongea baada Rais Samia kuwasili akitokea ziara nje ya nchi, Jumapili 20 Februari 2022

    NUKUU ZA KATIBU MWENEZI TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA AKIONGEA BAADA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWASILI AKITOKEA ZIARA, JUMAPILI 20 FEBRUARI 2022 " CCM inaridhishwa na juhudi za kisera zitokanazo na upeo, uthubutu na juhudi zinazochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika medani za Kimataifa"...
  11. the_journalist2

    JamiiForums Tanzania Pesa/coin za zamani na matumizi yake katika dunia ya sasa hasa za mgermany

    Habari ndugu zangu hiv karibuni kumejitokeza wimbi LA watu wanao kuwa wanatafuta pesa za zamani hasa kijerumani je hawa watu wanafanyia nn na ukizingatia zishapita mda wake...? Msaada tafadhari
  12. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Dunia hii chagua upande, aidha Urusi au Amerika, kamwe usiwe katikati, utalipa gharama kubwa siku moja !

    Kama Kiongozi kamwe usiwe katikati, chagua upande ambao utaona unakufaa na uende mazima siyo nusu nusu, nusu nusu itakufaa tu kama kila kitu kiko sawa, lkn kikinuka hauna msaada wowote na wanakushukia kama mwewe. Mfano Erdogan wa Uturuki mwaka 2016 kama asingekuwa rafiki wa kweli wa Putin...
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Watu 13 wafariki dunia kwa kuanguka kisimani wakiwa harusini

    Watu 13 akiwemo mtoto mmoja wamefariki dunia baada ya kuangukia ndani ya kisima wakati wa sherehe ya harusi Kaskazini mwa India, juzi Februari 16, 2022. Waliopoteza maisha asilimia kubwa ni wanawake na mtoto huyo ambapo walikuwa wamekaa juu ya kisima kilichokuwa kimezibwa kwa muda. Taarifa ya...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dunia ya kwanza(USA) F shuleni Finaanzia 59 kushuka chini, sisi F inaanzia 29 kushuka chini

    kwakweli hili suala linafikirisha sana. Marekani high school alama F inaanzia 59 kushuka ambayo huku ni C ya kibabe sana. Huku F inaanzia 29, yaani mtu akipata 30 kafaulu. hata logic inakataa, mtu aliyepata chini ya nusu anakuwaje kapata!!? Nafikiri ubora wa wasomi wetu unaanzia hapa.
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania BoT mnisikilize ili kwendana na wakati dunia inataka nini

    Kitu kilichonileta na kushtuka kama mnakumbuka miaka ya nyuma china ilihodhi sana dola ya Kimarekani nchini mwao ambapo malipo mengi walikuwa wanataka dola na kufikia mzunguko wa dola ukawa upo China. Hapo ndipo Marekani akashtuka kuwa pesa yake yote ipo China!.baada kutangaza hatachapisha pesa...
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Chelsea wabeba ubingwa wa klabu bingwa dunia

    Chelsea imefanikiwa kubeba ubingwa wa Klabu Bingwa Dunia baada ya kuifunga Palmeiras kwa mabao 2-1 katika fainali iliyochezwa Abu Dhabi, leo Jumamosi. Mabao ya Romelu Lukaku na Kai Havertz yameipa Chelsea ubingwa huo wa kwanza kwao katika historia ya michuano hiyo. Bao la Palmeiras lilifungwa...
  17. KELVIN GASPER

    JamiiForums Tanzania TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

    Beki wa KMC, Ally Sonso amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na jeraha la mguu. Marehemu enzi za uhai wake aliwahi kuchezea timu za Yanga, Lipuli, Kagera Sugar na Ruvu Shooting.
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi Emmanuel Chacha wa ITV afariki dunia. Amefariki ghafla akiwa jijini Mwanza

    Aliyekuwa mwandishi mwandamizi wa kituo cha ITV na Radio One, Emmanuel Chacha amefariki dunia jioni ya leo Februari 10, 2022 akiwa jijini Mwanza. Chacha alianguka ghafla ambapo amefariki akiwa njiani akipelekwa hospitali.
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Shabiki aliyeandika mabao yote ya Messi katika makaratasi afariki dunia

    Hernan Mastrangelo ambaye alijulikana zaidi kwa jina la Don Hernandied amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 101, huyu anasifika kuwa shabiki wa Lionel Messi ambaye aliandika katika makaratasi mabao yote ambayo yalifungwa na mchezaji huyo. Mjukuu wa mzee huyo, Julián ndiye ambaye alianza...
  20. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Neymar afikisha miaka 30 leo. Dunia ya soka bado inamdai huku muda ukiwa unamuacha

    Neymar Jr mchezaji wa PSG na timu ya taifa ya Brazil, leo ametimiza miaka 30. Wakati Neymar akisheherekea kutimiza miaka 30 ya kuzaliwa kwake, Dunia ya soka bado ina deni kwake. Tuliaminishwa na gwiji wa soka wa Brazil Pele kuwa Neymar atakuja kufuta ufalme wa Messi na Ronaldo na atatwaa...
Back
Top Bottom