Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,274
Unaempenda hakupendi au anakupenda kwa manufaa yake binafsi. Anaekupenda unamuona si wa hadhi yako.
Unapokutana na anaekupenda kwa dhati na wewe ukampenda kwa dhati, Kuna jambo litatokea mnaweza kushindwa kuoana. Mkioana mmoja anaweza kufa mapema.
Mnapendana lakini matatizo hayaishi, umasikini umetamalaki badala ya kufurahia mapenzi mnawaza kodi ya nyumba, chakula na ada za watoto.
Pesa siyo shida lakini ndani ya nyumba hakuna naelewanao. Mnaweza kuelewana kuna ndugu wa mke au mume wanawakorofisha.
Furahia maisha unavyoweza, maisha hayatabiriki.