Huwa nawaza sana tulifikaje hapa tulipo leo,
Hivi ilikuwaje taifa lenye wasomi wazuri kabisa likaamua kufanya maamuzi ya kipumbavu ambayo hata Waroma wa kale walioishi miaka 2000 iliyopita wasingeyafanya. Hivi katika maksudi kabisa, taasisi nyeti za Tanzania ziliamini kabisa kwamba wao...
Kwa hali ya joto inavyozidi kuwa mbaya kila uchapo huku mgao wa maji ukizidi makali yake na huenda Tanesco nayo iko mbioni wakati wowote kuanzia sasa kutangaza mgawo wa nishati ya umeme, hali ambayo itafanya watu wasiomudu majenereta kuyakimbia majumba yao usiku na mchana, nina maoni kwamba...
Marais wa dola mbili nguli wa siasa, uchumi na biashara, ulinzi na usalama; wenye nguvu za turufu duniani wamekutana kujadili mustakabali wa diplomasia baina yao zikiwemo agenda za mnyororo wa ugavi (biashara), hatima ya Taiwan, Olympics Beijing, muingiliano wa ki-uhamiaji, haki za binadamu...
Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo
Ameeleza, "Kwa hulka ya Ugaidi, Mtu yeyote bila kujali Rangi, Dini, Umri, Itikadi, Kipato au Uraia anaweza kuwa mhanga wa...
Na Pili Mwinyi
Ukame, mafuriko, moto wa msituni, ukosefu wa chakula, kutoka nchi zenye mapato madogo hadi zenye mapato makubwa duniani, athari za mabadiliko ya tabianchi zimekuwa zikishuhudiwa kila siku katika sayari hii. Kati ya mwaka 1998 na 2017, hasara iliyotokana na hali mbaya sana ya...
Bibi Justin ni mkazi wa kijiji cha Bwelanga, wilaya ya Wakiso, nchini Uganda. Siku hizi anafurahi sana, kwani kutokana na mradi wa msaada wa “Wancuntong” uliotolewa na China, kampuni ya China ilifunga vipokezi vya televisheni vya kidijitali nyumbani kwake, na sasa anaweza kutazama TV ili kuelewa...
Bwana Sani Dangote mdogo wa tajiri nambari moja Africa ameaga Dunia huko Marekani.
===
Sani Dangote, the vice president of theDangote Group and brother to Aliko Dangote, is dead.
Mr Dangote died in the United States Sunday after a protracted illness, PREMIUM TIMES learnt.
Relatively less...
Kuteua waliokataliwa Kiutendaji na aliyekuwa Bosi wako na Kuwaondoa katika Utendaji wale walioaminiwa Kiutendaji na Bosi wako.
Sasa naanza Kuamini kuwa ukifanya Kazi na Mtu mahala ( ofisi ) fulani si vizuri sana Kumuamini kwani huenda hata Maadui zako wakapitia Kwake na Kukuangusha na hata...
Bosi wa Benki ya Dunia (Managing Director of Development and Partenership), Raia wa Indonesia, Maria Pangestu, anatarajiwa kuja #Tanzania wiki ijayo. Ni katika jitihada za Rais Samia Suluhu kutuimarisha kidiplomasia.
Rais Samia anafanya kazi nzuri sana katika eneo la Diplomasia ambalo bila...
Watajwa wote hapa juu hawana Mafanikio ya Kujivunia na Wachezaji kuifunza kutoka Kwao cha Kushangaza eti na Wao ni sehemu ya Benchi la Ufundi la Taifa Stars kwanini Congo DR wasiupige mwingi na Kutufunga Goli Tatu nzuri.
Ingawa matokeo ya leo yamenisikitisha sana, ila naona sawa tu tulivyorabuliwa na wakongo.
Maana kama tungeshinda,CHAWA wa term hii ya uongozi wasingechelewa kuja na thread kama ;
RAIS SAMIA ANAUPIGA MWINGI KATOA BILLIONS OF DOLLARS ZA TOZO ILI STARS WAFUZU KOMBE LA DUNIA...
Na Fadhili Mpunji
Mwaka huu China inaadhimisha miaka 20 tangu ijiunge na Shirika la Biashara Duniani WTO. Tangu mwaka Novemba 2001 China ilipojiunga na Shirika hilo mjini Doha, uchumi wa China umekuwa kwa kasi na kutoka GDP ya Dola za Kimarekani Trilioni 1.3 ikiwa katika nafasi ya 6 duniani...
Maonyesho ya Nne ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa China (CIIE) yamefunguliwa mjini Shanghai, tayari kwa mikusanyiko ya wanaviwanda, wafanyabiashara na wajasiriamali zaidi ya elfu tatu kutoka nchi 127 duniani. Maonyesho hayo ambayo ni ya nne kufanyika toka yalipoanza kufanyika mwaka 2018, ni...
Ukweli mchungu NI kuwa toka mama arudi ameingia kwenye dira za kimataifa za diplomasia. Ameenda ughaibuni na amekuja na Zawadi kibao.
Inchi inarudi kwenye furaha. Mama anajaribu kuonesha kuwa nchi inarudi kwenye utawala wa sheria. Tena Sheria zinazotenda haki. Sio Sheria hizi za juzi juzi za...
BILIONI 1.6 KUCHAGIZA TAIFA STARS KUFUZU KOMBE LA DUNIA QATAR 2022
===
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri kwenye michezo yote...
Marathoner Eliud Kipchoge (left), President Uhuru Kenyatta (center) and his Tanzanian counterpart Suluhu Hassan at Glasgow Conference in Scotland on Tuesday, November 2, 2021.
PSCU
Legendary marathoner, Eliud Kipchoge, has offered potential solutions to world leaders on how to go about climate...
Na Fadhili Mpunji
Ripoti iliyotolewa kwa pamoja na Idara ya takwimu ya taifa ya China, Wizara ya sayansi na teknolojia, na wizara ya fedha ya China, inaonyesha kuwa mwaka 2020 fedha zilizotumiwa na China kwenye mambo ya utafiti na maendeleo zilikuwa ni zaidi ya dola bilioni 378 ambalo ni...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Watanzania wanatamani kuona timu zao za Taifa za michezo mbalimbali zikifanya vizuri katika mashindano ya Kimataifa.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameyasema hayo leo, Novemba Mosi, 2021 wakati wa kikao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent...
Hatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Mabeberu wanalenga kuvuruga usalama duniani
22:06 - October 29, 2021
TEHRAN (IQNA)- Hatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, harakati zinazofanywa na mabeberu kwa sasa zinalenga kuvuruga amani na usalama.
Hujjatul Islam wal Muslimin Sayyid...
Kama ulimwengu ukibadilishwa na kuwa quantified kama computer data, je, ni taarifa kiasi gani zingehitajika kutengeneza programme ya kugenerate ulimwengu, in terms of GB?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.