dunia

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kuna Watanzania ni makatili sana na hawana upendo kabisa. Wanafurahia nini kuona dunia ikikosa amani?

    Nchi ina mijitu ina roho mbaya hii sijapata kuona. Watu wanauana huko Ukraine 🇺🇦, watu wanashangilia utadhani mechi ya mpira wa Mrs Simba na @mr Yanga. Hawa wanajiita team Ukraine 🇺🇦 wakiongozwa na Mkenya anayetamani sana kuwa Mtanzania MK254 , na pia kuna team Russia 🇷🇺 inayoongozwa na...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya: Afrika iungane na dunia yote kuipinga Urusi

    Umoja wa Ulaya (EU) umetoa tamko la kuendelea kulaani kitendo cha Urusi kuivamia Ukraine na kushawishi mataifa mbalimbali zikiwemo nchi za Afrika kuipinga Urusi kwa kitendo chake cha kuivamia Ukraine kijeshi. Tamko hilo limetolewa na baadhi ya mabalozi wa nchi za Ulaya waliopo nchini Tanzania...
  3. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 ijayo Dunia ni tofauti kabisa, Rais anaongelea kuongoza miaka 9 ijayo leo hii?

    I mean, nani anajua Dunia itakuwaje miaka 2 ijayo?, USA might have conservative right wing Christian leader, EU watakuwa na priority nyingine hatujui ugomvi na Urusi utaiacha EU na western world katika hali gani, hivyo wanaokupa support leo hii miaka 2-3 ijayo watakuwa na watu wengine kabisa...
  4. John Haramba

    JamiiForums Tanzania TANAPA yatangaza kifo cha Faru Rajabu (mtoto wa Faru John) katika Hifadhi ya Serengeti

    Shirikia la Hifadhi la Taifa Tanzania (TANAPA) limetangaza kifo cha Faru Rajabu aliyekuwa na umri wa miaka 43, leo Jumatatu Machi 21, 2022 akiwa katika Hifadhi ya Serengeti sababu ikitajwa kuwa ni uzee. Faru Rajabu alikuwa mtoto wa Faru John ambaye alifariki mwaka 2015 akiwa na miaka 47. Faru...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ajali Morogoro: Gari la abiria lagonga lori kwa nyuma, wawili wafariki dunia

    Watu wawili wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Toyota Coaster kuligonga kwa nyuma lori lililokuwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara kuu ya Dar es Salaam- Morogoro eneo la Oilcom Nanenane. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Fortunatus Muslimu...
  6. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Papa ni Rais wa nchi ya Vatican na pia ni kiongozi wa Kanisa la Katoliki duniani. Dini na Serikali vimechanganyikana

    Habari zengu wenzangu wanaJF. Kwa staili tumekuwa tunazugwa kuhusu ukraine ni cha mtoto kulinganisha na hili nnalowaletea wenzangu. Nivumilieni mapicha mengi ila nataka mtambue picha halisia - na wenye hisia wapingane na ushahidi. Naomba sote tuzingatie na tukumbuke kwamba warumi...
  7. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Mbivu mbichi Vita vya Ukraine; Je, Urusi akishinda dunia itakuwa kwenye hali gani?

    Habarini za muda huu, Kumekuwa na Vita nchini Ukraine ambapo majeshi ya Ukraine yanalinda nchi Yao dhidi ya uvamizi wa Rassia katika nchi Yao. Dhamira ya nje ya Ukraine ni kujilinda dhidi ya uonevu wa Rassia. Dhamira ya nje ya Rassia ni kuwalinda wa Ukraine wanaonewa na serikali yao wenyewe...
  8. Scars

    JamiiForums Tanzania Endapo Yesu angejaribu kuwalisha watu 5,000 katika dunia ya sasa

  9. dubu

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

    Salaam Wakuu, Baada ya Paul Makonda kuwalalamikia Polisi kwamba kuna baadhi ya Askari Polisi wanadhalilisha Jeshi la Polisi sababu wanatumiwa na Matajiri. Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Klabu ya mpira wa Miguu ya Yanga SC ya Tanzania, amesema atulie tuli kama ananyolewa. Haji kadai Wakati...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais Mstaafu wa Zambia Rupia Banda afariki dunia

    Rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 baada ya kusumbuliwa na saratani ya tumbo. Mtoto wa Banda ameeleza kuwa baba yake amefikwa na umauti Ijumaa Machi 11, 2022 baada ya kuumwa kwa muda mrefu. Banda, raia wa nne wa Zambia alikuwa madarakani mwaka 2008...
  11. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich awekewa vikwazo na Uingereza

    Tajiri wa Urusi, Mmiliki wa Club ya Chelsea awekewa vikwazo, vikwazo hivyo vinahusu mali zote zilizo UK na Club ya Chelsea yahusika Uuzwaji wa Chelsea umesitishwa kwa muda. Chelsea haitaruhusiwa kuuza, kununua wachezaji. Chelsea haitaruhusiwa kuongeza mikataba ya wachezaji waliopo. Chelsea...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Dunia inategemea vipi mafuta na gesi ya Urusi? Tanzania itaathirika vipi?

    Marekani, Uingereza na Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa zitazuia uagizaji wa mafuta kutoka Urusi. Hatua hiyo ilichukuliwa baada ya Urusi kuonya kuwa inaweza kukata usambazaji wa gesi kwa nchi za Ulaya ikiwa marufuku ya mafuta itaendelea. Je, kuna vikwazo gani kwa mafuta na gesi ya Urusi...
  13. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Msanii Pasha Lee wa Ukraine afariki Dunia

    Msanii maarufu wa Ukraine anayejulikana kwa jina la Pasha amefariki Dunia kutokana na kushambuliwa kwa makombora na wavamizi wa Urusi huko Irpin, Ukraine. Kifo cha msanii huyo kiliripotiwa na mwanasheria na mwandishi wa habari Yaroslav Kuts. "Hawakuwa na hata wakati wa kupiga picha ambazo...
  14. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliokwama Ukraine kusaidiwa kuondoka na Russia kutaichafua Sana nchi kipindi ambacho Russia inatengwa na Dunia

    Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani. Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Inawezekana jeshi la Urusi sio tishio sana kama dunia inavochukulia

    Ukraine ambayo jeshi lake kwenye makaratasi linashika nafasi ya 22 kidunia limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mpaka sasa kudhibiti mashambulizi kutoka Russia kwa takriban siku kumi sasa. Kumbuka Russia inashika nafasi ya 2 kwa jeshi bora duniani kwenye makaratasi. Kutokana na Russia kuogopeka na...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la Urusi latengwa na dunia, kutouziwa spare parts, na kuzuiwa kwenye anga za mataifa mengine

    Huku Putin akiendelea kuingia hasara kwa uwekezaji mkubwa wa wanajeshi wengi Ukraine ambao kama wameshindikana kusonga mbele kwa uhitaji wa chakula na vyombo, nyumbani Urusi mambo yanaendelea kuharibika, shirika la ndege la Urusi limeanza kutengwa na dunia. Kwenye huu ugomvi Putin alikurupuka...
  17. soine

    JamiiForums Tanzania Albert Einstein: Sijui silaha gani zitatumika kupigana WWIII, lakini lakina zana za mawe na miti zitatumiwa kupigana WWIV

    Dunia inaenda kasi sana, hivyo hivyo technolojia na ugunduzi wa mashine na vifaa mbalimbali. Kasi ya ukuaji wa science na silaha za maangamizi kama atomic bomb wakati uhai wake ulimfanya Albert Einstein kushindwa kujua vita vya 3 vya dunia zitakuwepo silaha gani za kivita. Leo hii AI, defensive...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Msinililie mimi bali jililieni ninyi nafsi zenu na watoto wenu

    Leo nakuja na aina nyingine ya mawazo kwa dhamira njema ya nchi yangu na taifa, hii siyo kwa ajili ya maslahi ya mtu mmoja mmoja ila kwa maslahi ya nchi Hivi toka uhuru hakujawahi kutokea mjumbe, balozi wa nyumba kumi, mwenyekiti wa mtaa au mjumbe wa kamati ya ya ulinzi na usalama wa mtaa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Said Mohamed (baba yake GSM) afariki dunia

    Mzee Said Mohamed ambaye ni Baba Mzazi wa Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) amefariki dunia alfajiri ya leo Machi 1 2022 na anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioni kwenye makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. Marehemu Mzee Said ni Mfanyabiashara wa muda mrefu Tanzania ambapo alianzisha...
Back
Top Bottom