Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto watano kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushiriki Kongamano la nane la dunia la watoa huduma za matibabu ya magonjwa ya moyo kwa watoto linalofanyika nchini Marekani.
Kongamano hilo linatarajiwa kuanza tarehe 28 agosti hadi 3 septemba...
#BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai.
Nape ameandika kupitia Twitter
--
MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA...
mfano
1: JAPAN Ilikuwa na uwezo mkubwa na ikatawala kuanzia China, Korea, na viunga vyote vya maeneo jirani na nchi hizo. Hakuna aliyefurukuta.
2: Watu wa Visiwa vya uingereza, enzi zao walitawala karibu dunia nzima. Hadi kukawa na msemo, Uingereza jua halizami, wakimaanisha likizama huku hata...
Summary
Licha ya wasiwasi ulimwenguni kama janga la COVID-19, kutokuwa na utulivu kifedha, na mivutano ya kijiografia, uchumi wa Tanzania uko imara.
Ripoti ya Hali ya Kifedha ya Benki Kuu ya Tanzania inasisitiza ukuaji thabiti wa uchumi wa taifa, ambapo mwaka 2022 ulishuhudia ongezeko la 4.7%...
Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja.
Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha...
Umuofia kwenu wana JF,
Msanii wa Bongo fleva aliyetikisa kanda ya Ziwa G RICO amefariki dunia leo ,G Rico alitamba na nyimbo kama Pole ya moyo, kesho etc. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
Taarifa ya WB, imesema uamuzi huo unatokana na Serikali ya Rais Yoweri Museveni kupitisha Sheria inayopingana na wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja.
"Maono yetu ya kutokomeza umaskini yanaweza kufanikiwa ikiwa yatajumuisha kila mtu bila kujali Rangi au Jinsia, Sheria hii inadhoofisha...
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria (The Super Falcons) imeshindwa kutamba mbele ya England huko Brisbane, Australia baada ya kuchapwa goli 4-2.
Licha ya kuongoza katika kiwango cha ubora katika mchezo huo, Nigeria imekwama kutumia vizuri nafasi ikiwemo kikosi cha England kuwa pungufu kwa...
Bila shaka wazungu wako na mpango mkakati mkubwa sana yaani kuhama dunia na kuhamia sayari nyingine au kwenye "space"
Hatuna budi sasa kuwaruhusu vijana wetu kuhamia marekani,uingereza ,uchina n.k kwenda kuchukua nafasi.
Sarafu ya pamoja itatupa nguvu ya kuingia makubaliano ya kutumia sarafu yetu kwenye biashara za kimataifa badala ya dola ya Marekani.
Hususnani baina yetu wenyewe na pamoja na mataifa tunayofanya nayo biashara kwa wingi kama vile Afrika Kusini, India na China.
Kama inashindikana kuelewana na...
Nimeonja vitu vyote vitamu lakini sijaona kitu kitamu kama kuwa na afya njema, hivyo jitahidi ujitahidivyo lakini usisahau kutunza afya yako. Nimeonja mengi yaliyo machungu, lakini sijaona kitu kichungu kama kupuuzwa na mtu ambae unamjali sana. Nilibeba vitu vyote viwili, chuma na jiwe lakini...
Cloud amefariki dunia akiwa na miaka 25 kwa kile kilichoelezwa na familia kuwa ni tatizo la Afya ya Akili ikiwa ni wiki 1 tangu atoke kwenye mazishi ya baba yake mzazi.
Kupitia tamthilia za Euphoria inayotayarishwa na kampuni ya HBO, alifahamika kama Fezco ‘Fez’ O’Neill ambaye ni Muuza Dawa za...
Moja kati ya Ma-DJ ambao waliowahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki dunia jioni ya leo Julai 31, 2023 katika Hospitali ya Muhimbili Mloganzila alipokuwa akipatiwa matibabu.
Kwa muda mrefu...
Kwa vyovyote vita ya conquest iiliyoanzishwa na Urusi dhidi ya Ukraine ni tabia ya kizamani sana hata kabla UN haijaundwa na diplomatic channels kufunguliwa duniani.
Vita hiyo imeirudisha dunia katika mfumo wa kizamani sana wa kunyang'anyana ardhi kama wanyama kulingana na ukubwa wa jeshi la...
Mwanazuoni na sheikh maarufu Maalim Basaleh amefariki dunia leo Jumapili katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu akisumbuliwa na matatizo ya figo na saratani.
Mtoto wa marehemu Abdullatif Ali Basaleh amesema baba yake amefariki saa 12 jioni baada ya kulazwa kwa takribani...
Ni karibu miaka sita tangu Marekani izushe mgogoro wa kibiashara kati yake na China, na kuubazita mgogoro huo jina la vita ya biashara kati ya China na Marekani, wakati uhalisia wake ni vita ya biashara ya Marekani dhidi ya China iliyoanzishwa na aliyekuwa Rais wa Marekani Bw. Donald Trump...
Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.
Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?
Are we...
Kwa mujibu wa AFP, Klabu ya Paris Saint-German imeruhusu Al Hilal ifanye mazungumzo na mshambuliaji Kylian Mbappe baada ya kuweka mezani dau hilo ikiwa ni siku chache zimepita tangu itume barua ya kuhitaji saini ya nyota huyo.
Mbappe aliyebakiza mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia PSG, amedaiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.