dunia

  1. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Bwana harusi afariki dunia akifungua zawadi iliyotegwa bomu

    Bwana harusi Adlyyne Wangusi amefariki dunia baada ya kufungua zawadi ambayo ilikuwa imetegwa bomu na mume mwenza. Bomu hilo lilidaiwa kutegwa na mpenzi wa zamani wa bibi harusi, ambaye alikuwa na hasira kutokana na mwanamke huyo kuolewa na mwanamume mwingine. Taarifa ya Jeshi la Polisi...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Msajili wa Makandarasi, Joe Malongo afariki dunia

    Engineer Joseph Malongo, aliyewahi kuwa mfanyakazi hatimaye Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, amefariki dunia asubuhi leo, katika hospitali ya Mlonganzila. RIP Eng Joe Malongo.
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jay-Z, Rihanna na Lebron James watajwa kwenye orodha ya Forbes ya Mabilionea wa Dunia

    Kupitia orodha hiyo inayojumuisha Matajiri 2,640 wakiongozwa na #BernardArnault na Familia yake wakiwa na Utajiri wa Tsh. Trilioni 493.9 akifuatiwa na #ElonMusk mwenye utajiri wa Tsh. 421.3 na #JeffBezos mwenye Trilioni 266.8. Kwa upande wa Mastaa, #JAYZ yuko nafasi ya 1217 akiwa na Tsh...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ajali yaua Wanandoa Dodoma, kichanga wao anusurika

    Watu wawili mke na mume wamefariki dunia kwenye ajali iliyohusisha gari ndogo na treni katika makutano ya reli, Kata ya Tambukareli, Dodoma. Akizungumzia marehemu hao Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Ibenzi Ernest amesema walipokea mwili wa mwanamke Furaha Rashid huku...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Watu sita wafariki Dunia na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya boti kuzama Ziwa Kivu

    Takriban watu sita wamefariki dunia, na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya boti kuzama katika upepo mkali Ziwa Kivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Boti hiyo ilikuwa imesheheni wafanyabiashara na bidhaa zao zikitoka Mugote katika mkoa wa Kivu Kusini kuelekea Goma, mji...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Benki ya Dunia adai Mikopo ya China kwa Afrika imejaa Mitego na haina uwazi

    Rais wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass, amesema ana wasiwasi kuhusu baadhi ya Mikopo inayochukuliwa na Mataifa yanayoendelea Kiuchumi Barani #Afrika kwa maelezo kuwa Masharti yake mengi hayana uwazi. Kauli hiyo inafuatia mvutano wa madeni kwa baadhi ya Nchi zikiwemo #Ghana na #Zambia ambazo...
  7. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Jamaa amrekodi mkewe akinywa sumu, mpaka kufariki dunia

    Hii habari nimekutana nayo Twitter, sijajua ukweli wake hasa ni nini lakini si mbaya niki-share nanyi -- Anaitwa DJ Brownskin... Alimrekodi mkewe akinywa sumu. Alimshawishi mwanamke huyo anywe sumu, kisha akamwita housegirl ili amnyweshe maziwa huku akiendelea kurekodi mambo yote. Mmoja wa...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askari aliyejeruhiwa kwenye Maandamano ya Raila Odinga afariki dunia

    Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Kisumu, Alphonse Wambua amesema Koplo Ben Oduor, alikimbizwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Aga Khan saa 10 jioni na kufariki wakati akipata matibabu. Afisa huyo kutoka katika Kituo cha Polisi cha Keroka katika Kaunti ya Nyamira...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania FIFA yaivua Indonesia nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michuano ya Kombe la Dunia U20

    Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) limechukua maamuzi hayo baada ya Serikali ya Indonesia kukataa kuipokea timu ya Israel kutokana na mgogoro wa Kidiplomasia baina ya Mataifa hayo. The Football Association of Indonesia (PSSI) said Fifa was forced to cancel the draw after Bali's governor Wayan...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

    Mwaka mmoja nilienda hospitali kumjulia mke wa jamaa yangu akiwa kalazwa pale siku ya 2. Kulazwa kwake ilitokana na tukio la aibu lililofanywa na mkewe katika hali ya kushangaza sana. Kabla ya kumuona mkewe jamaa alinipokea kituoni tukapata sehemu ya kujadili maendeleo ya mgonjwa tukiwa...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya matatani na balozi wa Marekani kuhusiana na ushoga

    Nchi ya Marekani ndiyo muamuzi wa Dunia. Mbungea wa Kenya amemlaumu balozi wa Marekani kuwa ndiye anayeeneza ushoga nchini Kenya, pia amesema Marekani ndiyo inayoharibu dunia Ukweli ni kuwa Kenya hailingani na Marekani hata theluthi hivyo haiwezi kupingana na Marekani, Marekani wakiamua Kenya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Dunia ina mambo ya ajabu hii, nikisikia mtu kajiua sishangai kabisa

    Habari wadau, hebu waza hii kwanza umezaliwa kwenye familia ya nje na hio familia ya nje ina familia za nje mmmmh apo siongei sn jiongeze mwenyewe Halafu baba na mama yako na wao pia watoto wa nje ambazo zina familia za nje yaan ni maelezo tu hawa wameshare baba hawa wameshare mama...
  13. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Urusi imeonesha Afrika ndiyo msingi wa dunia kwa sasa

    RUSSIA IMEONESHA AFRICA NDIYO MSINGI WA DUNIA KWA SASA Mafahali wawili wanaposhindana wanyonge hupita salama ndugu zangu utaona Rais Putin kwa sasa ameikumbatia sana Africa kama moja ya msingi mkuu wa uchumi wa Russia hii ni kudhihirisha kuwa Africa ni dude kubwa lililolala lililotumi na...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Abweka kama mbwa kisha afariki dunia

  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania ipo tayari kuilisha Dunia

    Kwa mujibu wa takwimu kutoka Benki ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Kilimo, Tanzania imeongeza mauzo ya nje ya chakula mwaka hadi mwaka, huku chakula hicho kikiuzwa nchi za Afrika Mashariki, Kusini mwa Afrika, Pembe ya Afrika (Horn of Africa) na sehemu nyingine mbalimbali duniani. Takwimu hizo...
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mama afariki Dunia akiwa nyumbani kwa kukosa pesa ya matibabu, aacha watoto wadogo

    Marehemu Happiness Kasmiry kutoka kijiji cha Usari, Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro alishikwa na ugonjwa wa tumbo wa kuhara na kutapika kwa siku kadhaa kabla ya kufariki dunia akiwa nyumbani kwake kutokana na Kukosekana kwa fedha ya matibabu. Mume wa marehemu huyo ajulikanae kwa jina la John...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa Mchekeshaji Hakika Ruben adai amekata tamaa na mwanaye, asema Dunia ndio itamfunza

    Baada ya taarifa kuibuka mitandaoni na kusambaa kwa kasi zikimhusisha mchekeshaji Hakika Reuben kuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kuna mengi kadhaa yameendelea kuzungumzwa na kuacha maswali mengi. Licha ya kuwa Hakika mwenyewe hajatoka hadharani na kutoa ufafanuzi rasmi kuna mambo...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kufungua mlango kwa China kuleta fursa zaidi kwa dunia

    Katika Mikutano Miwili Mikubwa ya China iliyomalizika hivi karibuni, China, kwa mara nyingine, imesisitiza kuwa itahimiza ufunguaji mlango wa hali ya juu. Ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, nia thabiti ya kufungua mlango zaidi ya China bila shaka italeta fursa kubwa kwa dunia...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Utashangaa baada ya Afrika sasa Kuingiza Timu 10 Kombe la Dunia 2026 kwa Kulaanika Kwetu bado tutatoka Kapa tu

    Nawalaumu mno FIFA kwa Kuamua hivi kwani kwa Waafrika tunavyojijua na tunavyojuana pamoja na Kuingiza Timu (Nchi) Kumi (10) kutoka Bara la Afrika bado tutatoka tu Kapa / Peupe. Kwangu Mimi GENTAMYCINE naona ni Kheri (Bora) hawa FIFA wangeongeza idadi ya Timu / Nchi kwa Mabara yaliyo Serious...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mpiga Gitaa maarufu, Lokassa ya Mbongo afariki dunia

    Mpiga gitaa maarufu wa Kongo Denis Lokassa Kasiya, almaarufu Lokassa ya Mbongo, alifariki Jumanne usiku nchini Marekani baada ya kuugua kwa muda mrefu. Lokassa, ambaye hivi majuzi alifikisha umri wa miaka 80, alikuwa kiongozi wa bendi maarufu ya zamani ya Soukous Stars yenye makao yake Paris...
Back
Top Bottom