dunia

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Messi: Sifikirii kucheza Kombe la Dunia 2026

    LIONEL Messi amethibitisha kuwa “hafikirii” kama atacheza Kombe lingine la Dunia baada ya kuiongoza Argentina kutwaa ubingwa wa mashindano hayo mwaka jana nchini Qatar. Messi ambaye ana umri wa miaka 35 alisema hayo katika mahojiano na vyombo vya habari vya China kuhusu mustakabali wake kwenye...
  2. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitahadharisha Kenya kuhusu ongezeko la Kodi

    Benki ya Dunia imeionya Kenya kutokana na ongezeko la kodi katika mwaka mpya wa fedha ujao, ikisema ongezeko hilo linaweza kupunguza na kuathiri shughuli za kiuchumi katika nchi hiyo. Muswada wa Wizara ya Fedha wa 2023 Kenya unapendekeza ongezeko la kodi kwenye maeneo kadhaa na kupendekeza kodi...
  3. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Dunia inaishangaa Simba, Simba nayo inaishangaa Dunia!

    Wakuu, Kuna vitu sometimes huwa vinashangaza sana. Hii dunia hasa Tanzania inaishangaa sana team moja pale Kariakoo yenye jezi nyekundu, Simba. Wao wamemaliza msimu bila kombe lakini mchezaji wao kuchukua kiatu kwao ni mafanikio makubwa zaidi ya team iliyobeba kombe tena double. Wao kwao...
  4. African Geek

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ameumbwa na mali ndani yake ila sio mwanaume

    Siku hizi vijana wengi wa kiume wanaona ni haki yao kusaidiwa na mwanamke kwenye mambo ya kiuchumi, yaani mwanamme atafute na mwanamke atafute. Kuna wengine ndo wanataka walelewe kabisa yani wao ndo watafutiwe na mwanamke wapewe. Ila nawakumbusha. Mwanamke analetwa duniani akiwa na mali ndani...
  5. Victoire

    JamiiForums Tanzania TANZIA Silvio Berlusconi afariki dunia, aliongoza Serikali tatu za Italia na kumiliki timu ya AC Milan

    Silvio aliwahi kumiliki team ya AC Milan. Kwa kipindi chake AC Milan ilikuwa ya moto. ====== Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86. Nguli huyo kwenye tasnia ya habari ameongoza Serikali tatu za Italia kutoka mwaka 1994 mpaka 2011...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ila hii nchi hii sijui dunia inatuonaje sio kwa vituko hivi

  7. Palestine Will be free

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mohamed Raza afariki dunia. Ni mfanyabiashara, mwanasiasa na mdau mkubwa wa michezo Zanzibar

    Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar na Mwanasiasa ambaye aliwahi kuwa Mwakilishi Jimbo la Uzini Mkoa wa Kusini Unguja, Mohamed Raza amefariki leo hii wakati alipokuwa akipatiwa matibabu, Allah amrehemu ndugu yetu huyu, na amuingize katika pepo. Itakumbukwa May 09,2023 Rais wa Zanzibar na...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya teknolojia ya China yamekuwa na manufaa makubwa kwa nchi za dunia ya tatu

    Mwishoni mwa mwezi Mei (30 Mei) China iliadhimisha siku ya saba ya wafanyakazi wa sekta ya sayansi na teknolojia. Siku hii iliadhimishwa kwa mwito wa kuhimiza utamaduni wa uvumbuzi, na kuendelea kujienga China kuwa nchi yenye nguvu kwenye sekta ya sayansi na teknolojia, huku ikifanya juhudi...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania India: Zaidi ya Watu 300 wapoteza maisha katika ajali ya treni

    INDIA: WATU ZAIDI YA 300 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA TRENI Taarifa za awali zinaeleza idadi ya waliopoteza maisha ni 288 huku wengine 850 wakijeruhiwa katika hiyo iliyotokea Jimbo la #Odisha, lakini kumekuwa na ongezeko la idadi ya waliofariki kwa kuwa zoezi la kutoa miili iliyonasa kwenye...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mwisho wa Dunia au mwisho wa ulimwengu(universe)?

    Kuna mambo mengine kwenye hizi simulizi za vitabu vya kiimani yanafikirisha. MWISHO WA DUNIA! Dunia hii sayari yetu au? Mifumo mingine ya ulimwengu ambayo ina mamilioni ya mifumo ya jua na sayari zake kama yetu na mamilioni ya galaxies nayo ambayo ndani yake Kuna mamilioni ya nyota na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: NATO na USA kufanya maamuzi magumu kuiokoa Dunia na WW3

    Zipo Tetesi ambazo sio rasmi ila sasa uwenda Tetesi hizo zikawa kweli japo yatupasa kujiandaa kwa lolote linaweza tokea hasa ukizingatia tembo wanapo pigana nyasi ndio zinazo umia. Kwa muda mrefu sasa USA na washarika wake wameamua ku mute mjibu Russia kwa maneno na Vyombo vya Habari kama pale...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kinda Nigeria aacha gumzo Kombe la Dunia U20

    Nahodha na beki wa timu ya Taifa ya Nigeria U20 inayoshiriki World Cup ya U20 huko Argentina, kinda mwenye miaka 17, Daniel Kolocho Bameyi imebainika kuwa alidanganya. Imezoeleka wachezaji wengi wa Kiafrika wanadanganya umri, lakini kwa Bameyi imekuwa tofauti kabisa. Bameyi katika taarifa...
  13. mrangi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Tina Turner afariki dunia akiwa na miaka 83, alikuwa na Saratani ya Utumbo

    Nyota huyo mkongwe wa Muziki wa Rock’n’Roll amefariki akiwa na umri wa miaka 83 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, Turner alianza kuwa na hali mbaya ya Kiafya baada ya kugundulika kuwa na Saratani ya Utumbo mwaka 2016 na kupandikizwa Figo mwaka 2017. Enzi za uhai wake...
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo awamu ya kwanza, Mzee Herman Kirigini afariki dunia

    Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Mifugo na Mjumbe wa Baraza la mwisho la Mawaziri la mwl. Julius k. Nyerere mhe. Herman Kirigini afariki dunia nyumbani kwake Musoma. ---- ALIYEKUWA mbunge wa zamani wa jimbo la Musoma vijijini na Waziri wa Kilimo na Mifugo Herman Kirigini amefariki dunia...
  15. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa dunia ukifika sasa hivi utaenda Peponi au Motoni?

    Yaani kila nikiwaza mimi na haya mazungumbaru yangu najiona moja kwa moja motoni tu, vipi wewe jirani utakuwa upande upi Peponi au ndio tutasindikizana motoni kuwa kuni za milele?
  16. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mjadala wa "debt ceiling" unaondelea sasa USA: ni anguko la dollar ya Amerika au kitisho kwa uchumi wa dunia?

    "Debt ceiling" ni mjadala fikirishi. America kama ipo kwenye anguko la kiuchumi vilee.., na pia wapo kama vilee kwenye kubana mzunguko wa dollar yao kutishia uchumi wa dunia kuanguka kama mbinu ya kutafuta uungwaji mkono wa kidiplomasia kutengeneza washirika wapya juu ya vita vya kuinusuru...
  17. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Masalia ya vita kuu ya dunia ni haya ya Urusi na Ukraine

    Operation ya Urusi huko Ukraine ni matokeo ya mabaki ya vita vya dunia na sera ya upanuzi wa Irusi ili aweze kufikia pande zote za dunia bila kikwazo. Kitendo cha Ujerumani kuadhibiwa vibaya kipindi kile ndio kilichopelekea rise of dictatorship in Germany hence WW, na sasa ninaiona hii kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nani aliwachagua kuwa viongozi wa dunia? G7 ni viongozi wa nchi 7 tu si zaidi ya hapo

    Viongozi wa G7 naona wameamua kujibatiza kama viongozi wa dunia!! Vyombo vya habari vya magharibi viko mstari wa mbele kuwatangaza kama viongozi wa dunia. Watu husema kuwa uongo ukisemwa sana, na watu wakaumezea hubadilika pole pole kuwa ukweli. Dunia lazima ikatae sasa kuwa marais wa...
  19. Intelligent businessman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabadiliko au maendeleo ya dunia, huja na maumivu!!

    Kila mtu anatamani kuona dunia ikiendelea, ikisonga kutoka hapa ilipo. Mabadiliko ama maendeleo ya dunia huja na maumivu makubwa sana, maendeleo hayaji burebure tu, ni lazima uumie. Unataka kutajirika, basi itakubidi uanze kuamka saa kumi na mbili asubuhi na kulala saa saba usiku, ni lazima...
  20. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Biden: Urusi haitashinda Ukraine

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Urusi haiwezi kushinda vita dhidi ya Ukraine. Matamshi hayo ameyatoa mjini Warsaw, Poland ikiwa ni saa kadhaa baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema Urusi itaendeleza mashambulizi yake ambayo yanakaribia kutimiza mwaka sasa. Rais Biden akionekana wazi...
Back
Top Bottom