"Fezco" Muigizaji wa Tamthilia ya Euphoria afariki dunia akiwa na miaka 25

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,120
1690859521124.png

Cloud amefariki dunia akiwa na miaka 25 kwa kile kilichoelezwa na familia kuwa ni tatizo la Afya ya Akili ikiwa ni wiki 1 tangu atoke kwenye mazishi ya baba yake mzazi.

Kupitia tamthilia za Euphoria inayotayarishwa na kampuni ya HBO, alifahamika kama Fezco ‘Fez’ O’Neill ambaye ni Muuza Dawa za Kulevya, nafasi ambayo mashabiki wake wamedai aliimudu na watamkosa zaidi kwa hilo.

Msemaji wa HBO amesema "Tuna huzuni kubwa juu ya kifo cha Angus Cloud. Alikuwa na kipaji cha hali ya juu na alipendwa sana na HBO na mashabiki wa Euphoria. Tunatuma rambirambi zetu kwa marafiki na familia yake katika kipindi hiki kigumu."

==============

Euphoria star Angus Cloud has died. He was 25.

The actor, who starred as Fezco in the hit HBO series, died at his family’s home in Oakland, California on Monday, his family confirmed to PEOPLE.

"It is with the heaviest heart that we had to say goodbye to an incredible human today,” Cloud’s family said in a statement. “As an artist, a friend, a brother and a son, Angus was special to all of us in so many ways."

The family noted that Cloud’s father was buried last week and the actor “intensely struggled with this loss.”

“The only comfort we have is knowing Angus is now reunited with his dad, who was his best friend,” the statement continued. “Angus was open about his battle with mental health and we hope that his passing can be a reminder to others that they are not alone and should not fight this on their own in silence."

"We hope the world remembers him for his humor, laughter and love for everyone. We ask for privacy at this time as we are still processing this devastating loss."

THE PEOPLE
 
Sija angalia hizo tamthilia kwa zaidi ya miaka 18 sasa... Poleni kwa msiba
 
Kumbe nao wanakufaga. Nilijua kwenye maigizo tu.hadi ukweli. Rest in peace
 
Back
Top Bottom