Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT Dr Shoo amewaasa viongozi wa dini kutojifungamanisha na siasa kwani siasa ni mvhezo mchafu na viongozi wa dini hawapaswi kuwa sehemu ya uovu huo.
Askofu Shoo amefafanua kuwa hata hivyo hiyo haimaanishi viongozi wa dini wakae mbali sana na siasa bali wawe washauri...
Anaandika Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu kilichoitwa Kongamano la Viongozi wa Dini
Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya:
1. Hakuna DINI inayoiwakilisha...
Kwanza nipende kutambua umahiri wa Rais wa Tanzania katika kumtegemea Mungu. Hajaanza leo wana jana. Tangu achagliwe amekuwa akiomba aombewe na kama binadamu anamapungufu yake anajua kumtegemea Mungu tena hadharani sio kwa kujificha.
JPM amejihusisha na kazi za kidini nyingi sana ikiwemo kutoa...
Siasa na Dini zinafanya kazi moja tu ya kuwaunganisha binadamu kwa njia ya kuwatawala ili kuwaletea maendeleo ya kimwili na ya kiroho.
Kiongozi wa dini siyo lazima awe anamuamini Mungu ndio maana kuna dini ya shetani.
Hivyo hakuna tatizo lolote endapo viongozi wa dini wataamua kuungana na...
Wako wapi wale viongozi wa dini ambao wengine walikuwa wajumbe wa halmashauli kuu ya taifa ya chama? Kwanini sasa CHADEMA kama waanzilishi na waliwaaminisha watanzania kuwa chama ambacho akikubariki na viongozi wa dini hakifai kuwa na dola au kuchukuwa dola. Mwenyekiti Mbowe alikwenda mbali...
Karibu.
Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa.
Up dates;
Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu mafanikio ya serikali ya awamu ya 5
Waziri mkuu anawashukuru viongozi wa dini kwa dua zao zilipelekea...
Hakika nimemuelewa sana Peter Msigwa. Kuna viongozi wa dini muda wote ni kusifu tu, hata pale yanapotolea mambo ya hovyo hutawasikia wakikemea. Wale wachache wanapokemea wanaitwa wachochezi na wanaingilia siasa.
Waacha unafiki. Wanapopata fursa ya kukutana na viongozi wasifie na kuonya,huo ndio...
Jamani habari ya mjini ndiyo hiyo.
Tangu uchaguzi wa 1995 viongozi wa Dini wamekuwa waangalizi wa uchaguzi mkuu.
Lakini uchaguzi wa mwaka huu Tume imeamua viongozi wa Dini wasishirikishwe.
Nilitegemea kwamba ili malalamiko yasiwepo basi waangalizi walipaswa kuwa wengi.
Waswahili tena msemo...
Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar.
Hapa anamaanisha mashekhe wa uamsho ama ni viongozi wepi hao?
Na je kurudishwa Zanzibar tu ama kuachiwa huru kabisa mbona ameweka...
Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA), Namba 3 ya mwaka 2010 inamruhusu Waziri kuleta Kanuni za kusimamia maudhui ya mtandaoni.
Waziri mwenye dhamana ya Mawasiliano amesitisha matumizi ya Kanuni za Maudhui ya Mtandaoni Namba 133 ya mwaka 2018 zilizochapishwa mwaka mnamo Machi...
Tarehe 28/10/2020 ni siku ya uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Hofu yangu ni mambo yanayoweza kujitokeza siku hiyo kuanzia saa1 jioni giza likiishaingia. Huenda kukawa na vurugu kubwa katika vituo vya kupigia kura maana kutakuwa na kunyang'anyana kura, kubadilisha matokeo...
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!
Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu...
BAKWATA ndio chombo cha juu kabisa cha waislamu nchini Tanzania kikiongozwa na Mufti.
Hizi taasisi nyingine ni jumuiya tu lakini chombo kikuu chenye utambulisho wa kuwawakilisha waislamu kitaifa ni Bakwata.
Ndio maana hata kwenye Bunge la Katiba waislamu nchini Tanzania waliwakilishwa na...
Viongozi wa dini mpaka sasa ishu ya Lissu vs Serikali mmeikalia kimya huku kila upande ukijihisi una haki.
Mpaka Sasa Lissu ni mshindi kwasababu hana kosa lililompasa kuuwawa katika mazingira Yale. Na Wala hana kosa lolote lililomstahili kifo.
Binafsi sijamsikia igp siro akisema lolote ila...
UHUSIANO KATI YA SIASA ZA TANZANIA NA DINI-PART1
Kwa Muda mrefu Kumekuwepo na Wanasiasa Uchwara wasiojua Maana ya Siasa na dini na kudanganya Umma Kwa Kuwaita Viongozi wa dini wanaoongelea mambo ya Siasa kuwa wanachanganya Dini na siasa.Upepo Huo umeshakaa Akili Mwa watu wengi wasielema maana...
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amefanya kikao na viongozi wa dini kupitia jukwaa lao la Kamati ya maridhiano.
Makonda amewataka viongozi hao wa dini kuuombea uchaguzi mkuu ili wakapatikane viongozi watakatifu watakaomsaidia Rais Magufuli katika awamu yake ya pili ya uongozi.
Makonda amesema...
Mbunge wa CHADEMA aliyehamia CUF Mhe. Sabrina Sungura amemtakia Mhe. Mbowe uponyaji wa haraka na kusema hiyo ni mitihani tu na Mungu atamjaalia kuishinda.
Sungura amewataka wabunge wenzake wawe washika dini kwa kutakiana mambo ya heri badala ya kuombeana vifo. Amesisitiza kuwa Mungu hapendi...
Mungu kupitia COVID-19 ameonyesha kuwa makao makuu yake yako Africa. Inawezekana ameyahamishia Africa kutoka huko yalikokuwa awali au yalikokuwa yako Africa muda ila dunia ilipotoshwa na wajanja.
Hata Mimi nilikuwa nikishangaa na kumshangaa Mungu muumba, kwanini makao makuu ya dini yawepo...
Kuna watu wana chokochoko, wakiona maji yametulia,wanayakoroga,almuradi tu hawapendi amani na upendo ndani ya taifa
Kuna watu wa ule upande mwingine wanasema hawawezi kusikiliza au kupokea na kuangalia maagizo yanayotolewa kanisani kwa njia ya hotuba.
Wanasingizia kwamba wao sio wa dini hiyo...
Mwalimu Nyerere alisema kuwaasa viongozi kuwa kwa kiongozi kuwa aware na mambo ya dini nchini mwake ni jambo zuri lakini asijisahau na kuzama huko.
Imezuka Tabia sasa nchini mwetu, viongozi wanakwepa wajibu wa kutoa uongozi sahihi katika masuala mbalimbali na kutokana na kutowajibika huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.