dini

  1. The suspender

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita, Muleba leo yupo Bukoba Mjini mkoani Kagera Uwanja wa Gymkana. MGOMBEA Ubunge jimbo la Bukoba Mjini Stephen Byabato amewaomba...
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya shule za Kiislamu kuungua kipindi hiki? Mivumoni Islamiki nayo inaungua muda huu!

    Lazima ipo sababu tena inahitaji hatua za haraka. Leo kuna darasa linaungua huko Mivumoni Islamic
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

    Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha. Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tutavikumbuka Vyombo vya Habari Tanzania na baadhi ya Viongozi wa Dini kwa kuliaibisha Taifa 2020

    Kwakweli katika mambo ambayo naona ni doa kubwa katika Nchi yetu kwa mwaka huu wa 2020 na pengine miaka hii mitano yote ya utawala wa Rais Magufuli ni namna viongozi wa dini walivyoufyata mkia mbele ya dola kandamizi. Ukiwatoa viongozi wachache Kama MWAMAKULA na BAGONZA pengine na wachache...
  5. Patriot

    JamiiForums Tanzania Siasa za kuegemea Ukabila, Dini na Ukanda ni tatizo linalokuja

    Katika kampeni zinazoendelea, tumeona sasa hata nyinbo za kisukuma zinatumika kueneza sera za chama. Kwa nini wa-TZ wanaanza kuona lugha za kienyeji ni muhimu kuliko ujumbe wa kitaifa? Je ni kufurahisha nafsi ya mkuu wa nchi bila kujali umma unaotawaliwa? Si mara ya kwanza. Kuna wakati...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yashtushwa kwa wingi wa Wairan kubadilika dini na kuwa Wakristo

    Inakuwaje wanaJF! Ni rahis sana kwa mkristo kuwa Muislam kuliko Muislam kuwa Mkristo kwasababu kwa wakristo wengi kuna uhuru na siyo kulazimishwa na hakuna kutishiwa kuuwawa kama kwa Waislam ulibadilisha dini. Ndio maana kuna msemo wa wale waliobadilisha dini kutoka uislamu hadi Ukristo...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Viongozi wa Vini kwanini wanamdhihaki Mungu kwenye mikutano ya Kisiasa?

    Ninaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hawa Viongozi wa Dini ambao huongoza dua na maombi kwenye mikutano ya kisiasa. Ninachojua mimi ni kwamba, hawa ni viongozi wanaoongoza waumini wenye itikadi tofauti ndani ya madhehebu yao, chaajabu ni kwamba ukisikiliza Sala na maombi yao unakuta badala ya kua...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais na Mwenyekiti wangu Dkt. John Magufuli kamwe usikubali hizi 'Sifa za Kilaana' unazopewa na Viongozi wa Dini hasa wakiwa 'Wanakuombea' mbele yako

    Sina shida na Wewe katika 'Utendaji' wako na unajitahidi japo 'Kibinadamu' bado kuna maeneo mengine hujaweza 'Kukamilisha' na pengine Watanzania tunaokuamini na hata wale waliokuwa hawakuamini nao kwa pamoja katika Uchaguzi huu Mkuu ujao wa tarehe 28 Mwezi Oktoba tukikupa tena 'ridhaa' zetu na...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Taasisi za dini na siasa 100 mbioni kufutwa

    Na ASHA BANI -DAR ES SALAAM WAKALA wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umezitaka bodi za wadhamini wa taasisi zaidi ya 100 ambazo hazijafanya marejesho ya wadhamini hadi kufikia Juni, mwaka huu kufanya hivyo mara moja kabla ya hatua kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria ikiwa ni pamoja na kuzifuta...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nawauliza viongozi wa Dini wanaionaje TBC kama Sauti ya Taifa letu?

    Kwa unyenyekevu mkubwa na hofu ya Mungu naomba niwaulize viongozi wa Dini zote Tanzania je? Wanalionaje Shirika la Utangazaji la Taifa TBC katika utendaji wake?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho wanachotakiwa kuhubiri Viongozi wa Dini kipindi cha Uchaguzi na si vinginevyo

    Mamlaka za uchaguzi ziweke mazingira sawa kwa wagombea woote bila kuegemee upande wowote. Vyombo vya dola visikubali kutumika kisiasa. Wagombea mtoe hoja na siyo lugha za matusi Tukumbuke amani ya Taifa letu ni muhimu sana" .
  12. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa Dini Mungu anawaona! Yanayoendelea hamyaoni?

    Siku chache zilizopita mlifanya kongamano la kuliombea taifa kuingia katika uchaguzi mkuu. Mlisisitiza amani, amani, amani. Haya yanayoendelea hamyaoni? Wagombea ubunge na udiwani kupitia upinzani hasa CHADEMA wameenguliwa katika majimbo zaidi ya 20 kwa uonevu huku tume ya uchaguzi ikikaa...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tusipoangalia Rais atazungukwa na wabaguzi wa Dini na Wakabila

    RAIS ASIZUNGUKWE NA WATU WENYE UKABILA NA UDINI. Na, Robert Heriel Tupo katika kipindi cha Kampeni, leo ndio ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi. Huu ni wakati muhimu kwa taifa letu. Tunachagua viongozi watakaotuongoza kwa miaka mitano. Tunapaswa tuchague viongozi wasio na dalili za ubaguzi wa...
  14. Libya

    JamiiForums Tanzania Shibuda azua balaa! Awaambia viongozi wa Dini kuacha unafiki na kujipendekeza

    John Shibuda amezungumza kwenye Kongamano la maombi na maridhiano ya amani lililofanyika Mjini Dodoma. Shibuda amenukuu maneno ya baba wa taifa iliyosema 'watanzania hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya hayapo' au kutumia mbinu za kifalsafa za kuyafubaza lakini yapo. Anasema Rais...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa viongozi wa dini wanishukia kama mwewe

    WAFUASI WA VIONGOZI WA DINI WANISHUKIA KAMA MWEWE Na, Robert Heriel Juzi niliandika makala inayomzungimzia kiongozi wa kidini aitwaye Gwajima. Nikizungumzia baadhi ya kauli zake mbaya ambazo kimsingi ndizo zinanifanya nimuandame, yeye na watu wenye tabia kama zake. Sikuandika kwa sababu...
  16. harakati za siri

    JamiiForums Tanzania Majina ya radio za Dini Mbeya

    Wapendwa wana JamiiForums, Naomba kujulishwa radio za ki Kristo zilizoko Mbeya, ni ngapi? Na majina yake tafadhali.
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mungu anisamehe inaniwia vigumu kuwaamini viongozi wetu wa dini

    Najaribu kuwapima viongozi wetu wa dini kwangu hapa namaanisha wachungaji wa kikristo naona kama wamepotoka na hawalisaidii taifa. Kwanini? 1. Angalia idara pendwa wakati ipo chini ya RO . 2. Angalia idara pendwa wakati ipo chini ya mchungaji MK. 3. Angalia idara pendwa wakati huu ipo chini...
  18. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, amewaomba viongozi wa dini kukemea baadhi ya maneno yanayotamkwa na wanasiasa badala ya kukaa kimya

    Ametoa ombi hilo leo Agosti 22, 2020 akiwa anaongea na viongozi wa dini visiwani Zanzibar, kuhusuiana na suala la amani, katika kipindi chote cha uchaguzi ambapo amesema viongozi wa dini ni moja ya wadau wa amani nchini. "Niwaombe sana kwasababu mnasikia baadhi ya maneno yanayotamkwa na baadhi...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Viongozi wa vyama vyote na viongozi wa dini mkutane kujadili mada moja tu-haki katika uchaguzi huu. Baada ya hapo muwaombee wagombea wote

    Waheshimiwa Viongozi wetu wa vyama na Wagombea, Waheshimiwa viongozi wetu wa Dini zote, Wadau wa uchaguzi. Amani iwe kwenu. Wapendwa viongozi wa dini na viongozi wa vyama vya siasa vinavyogombea urais mwaka huu, kwa unyenyekevu mkubwa ninaomba kutoa pendekezo kwenu, ikiwapendeza mkaufanyia...
  20. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde viongozi wa dini. Tanzania haina dini

    Wasalaam, Tarehe 24 viongozi wa dini wanategemea kufanya kongamano kuombea uchaguzi mkuu na taifa hii ni sawa kabisa. Inasikitisha kuona viongozi wetu hawa wakichanganya dini na Siasa, mnafanya maombi huku mkipigia kampeni CCM haya ni machukizo mbele za Mungu. Mnamwalika mwenyekiti wa CCM...
Back
Top Bottom