Uchaguzi 2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

Braza umekanwa hadharani. Tuliaa acha kuhadaa wananchi hii nchi ya wote hatutaki udini wako. Hivi huwa najiuliza kama hizi dini zisingekuwapo watu sijui wangefanyaje. Nyie endeleeni kuabudu mapango mizimu na miti ndio size yenu. Udini uwe ndani kwako tu nje ishi kipagani
 
Wangeanza Kukanusha habari ya BAKWATA Mtwara ningewaona wa maana ila ya Mtwara sawa ila ya PONDA wanakanusha shuwaini kabisa, wangekua wahadhiri wa maana wangekanusha kuhususu dua iliyoombwa kwa jina la YESU.

Kwani wahadhiri ndio kinanani si nawatoa mawaidha tu kama wengine katika uislamu

Kudadeki PONDA kawashika kende sasa wanahaha, huyo kipozeo mwenyewe mla mirungi mzee wa mizigo hata akikanusha inakusaidia nini kanusho lake kwa kifupi ni kama kanusho la mtu mwingine yeyeote katika Jamii ya Kiislam. Kwa kifupi sisi answar sunna tumekubaliana wooote kwa pamoja isipokuwa bakwata na wahadhiri wake
 
Jambo kubwa..Maneno yao sio sheria.

Kura ni siri ya mtu binafsi hata kama total yake hutangazwa public!

Hakuna Sheikh wa kunilazimisha nimpigie kura mgombea fulani na wa chama fulani!

Hizi kwangu ni kama kelele tu, Nitamsapport public then kwenye kura namtupilia mbali kama walivyonifanyia "WAJUMBE".

Kikubwa tusichochee sana Masuala ya kidini yana negative effect kubwa sana.
 
Back
Top Bottom