dini

  1. M

    JamiiForums Tanzania DED Monduli na TANESCO wamedhulumu taasisi za dini fidia ya ardhi

    Hii imetokea katia kijiji cha Makuyuni tangu 2017 hadi leo ambapo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli amedhulumu taasisi za dini ya kiislam na kikristo na baadhi ya wananchi fidia ya ardhi yao baada ya TANESCO kupitisha umeme wa kilovolti 400 katika maeneo yao. Makuyuni ni kijiji lakini ili...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kigoma ni sawa na Makete dini iliingia mapema lakini wamechelewa sana kupata maendeleo, Waha na Wakinga matajiri wa Kariakoo!

    Nimeliangalia jimbo la Muhambwe na kule Kibondo kwa kweli pamoja na mbwembwe za Zitto na Kafulila lakini Kigoma bado ni maskini sana. Naweza kuufananisha mkoa wa Kigoma na wilaya ya Makete mkoani Njombe kwa akina Jah People, yaani full umaskini Ila ukipita mitaa ya Kariakoo matajiri ndio hao...
  3. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Israel na Palestina, ni mgogoro unaotokana na maslahi ya kiuchumi na kisiasa ya kimataifa

    Watu wengi huuchukulia mzozo sa Israeli na Palestine kama wa kidini, lakini kiuhalisia ni mgogoro unaotokana hasa na maslahi ya kiuchumi na kisiasa ya kimataifa i.e Geopolitics. Kwa dhana ya kidini pia mgogoro huu unatazamwa kuwa umeanza miaka zaidi ya 1,000, kiuhalisia umeanza miaka ya 1910...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Waafrika hadi sasa tunashindwa nini ku-document dini zetu kama waarabu, wahindu, wajapan, Wachina, wayahudi?

    Duniani kuna dini zaidi ya 99 na madhehebu ya dini mengi yasiyo na idadi. Wakristo wana madhehebu zaidi ya 43,000. Takwimu zzinaonyesha angalau nusu 54% ya wakazi wa Dunia hii wanaamini kwenye miungu ya mashariki ya kati, yaani miungo ya waarabu na wayahudi, sehemu nyingine wanaamini miungo wao...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi: Baba yangu alinipeleka Zanzibar ili nikajifunze dini (Q'uran) ili niwe Sheikh maarufu, nilitokea Mkuranga

    Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze Dini ya Kiislamu na aweze kuja kuwa Sheikh maarufu. Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya Kiislamu. Mzee Mwinyi anasema...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wamewaombea Wafanyakazi nyongeza ya mishahara siku ya Mei mosi, lakini maombi hayakufika juu

    Leo niliona viongozi wa vyama vya wafanyakazi katika maandalizi yao waliweka viongozi wengi wa dini kuzidi hafla zozote zilizowai fanyika hili hawa viongozi wafikishe maombi kwa Mungu ya maslai bora, mishahara juu kazi iendelee lakini imekuwa tofauti sijui vipi. sijajua kama tatizo liko wapi.
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini dua zenu kwa wanasiasa zimejaa machukizo na unafiki

    Huwezi kuwa unaomba Mungu kwa dhati halafu Mungu azibe masikio yake kwako. Tatizo mnaombea wanasiasa na taifa kinafiki kwa maslahi yenu ya duniani. Mh. Rais JPM aliwapenda sana lakini mlishindwa kumuomba Mungu ampe afya na maisha marefu kwakuwa hamkuwa na dhamira ya kuomba bali maslahi. Mtu...
  8. mama D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini na Watanzania, hiki ni kipindi cha kumuombea sana Rais wetu Sami zaidi kipindi kingine chochote

    Tukiwa tunapitia kipindi hiki cha mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa juu wa nchi yetu ambayo hayakuhusisha uchaguzi. Watanzania tunatakiwa kusimama imara sana, tunatakiwa kuiangalia nchi na kuweka matakwa yetu binafsi kando, tunatakiwa kulinda tunu za taifa letu na kuweka itikadi zetu pembeni...
  9. Sema Kimeumana

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kupuuza kushiriki kongamano la dini ni aibu na fedheha kwa chama chao

    Wadau, Recalling back to Kongamano lililoandaliwa na viongozi wa dini zote (wakristu/wakristo na waislamu), Kongamano ambalo pamoja na mada na jumbe mbali mbali zilizowasilishwa, lakini pia ilikuwa na mada moja kuu ambalo ilikuwa ni Kumshukuru Mungu kwa ajili ya maisha ya Hayati Dr. John Pombe...
  10. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Bila maombi maalum kwa Rais, hatuwezi kuishi kwa Amani na Utulivu nchini

    Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hili ni jambo zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu wetu. Kwa mfano imeandikwa hivyo katika 1TIMOTHEO 2:1-4 “Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya WAFALME NA WOTE WENYE MAMLAKA...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kundi lipi lipo upande wa Mungu, Je ni CHADEMA au viongozi wa dini?

    Viongozi wa dini yaani wakristo na Waislam wakiwemo Mapadri, Mashekh, Wachungaji, Maaskofu wanamuenzi, wanamsifu na kumtukuza Magufuli. Lakini CHADEMA na uongozi wote wa mnanga, wanamponda, wanamtusi na kumkashifu Magufuli. Kwania njema kama kuna wadadavuaji wa mambo ya imani, ni kundi lipi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Magufuli na kuwabariki Rais Samia na Mwinyi

    Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote. Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini. Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa. Updates: Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma. Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
  14. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa viongozi wa dini ni hatari kuliko hata waganga wa kienyeji

    Inasikitisha sana viongozi wengi kuacha kufanya walichoagizwa na kuanza kuogopesha watu. Badala ya kufundisha kilicho kwenye maandiko na kuacha mtu afanye uamuzi, wengi wanapamba zaidi kuwatisha. Kiongozi anaedai anahubiri anahubiri hivi Hapo amehubiri nini? Amefundisha nini? Umeamua...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini na mashaka tuliyonayo

    Dini siku hizi imejaa na vibweka na vitiko vya kila aina. Si ajabu ukakuta Mchungaji kawapa mimba kondoo zake hata Saba na woye wanajuana.
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wachungaji na Masheikh wa mishahara wanaoshindwa kukemea wanasiasa waovu, ndio wanaofanya watu waidharau dini

    WACHUNGAJI NA MASHEIKHE WA MISHAHARA WANAOSHINDWA KUKEMEA WANASIASA WAOVU, NDIO WANAOFANYA DINI IDHARAULIKE. Kwa Mkono wa Robert Heriel. Kazi hudhaulika pale uasi unapotamalaki, hata ile kazi iliyonjema na halali hudharaulika na kuwa ya aibu pale waovu wanaposhika kazi hizo. Zama hizi, kazi...
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari waache kuidhalilisha dini safi ya Uislam. Aliyeiba nguruwe sio "Imam" kwa maana alichokifanya ni kinyume na miongozo ya dini yake

    Habari zenu jamiiforums Kwa wale msiomfahamu vema Infantry Soldier ni kwamba, mimi ni mkristo tena mkatoliki ila ninafahamu fika ya kuwa uislamu si ugaidi na si dini ya wizi na wala waislamu si magaidi na wala sio wezi bali wahalifu wachache hujificha katika kivuli cha uislamu ili kutenda...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini tuwaelimishe viongozi wanasiasa kutosogelea Madhahabu wakati wa Ibada

    Viongozi wa dini hasa dini za Kikristo mnaombwa kuwakumbusha viongozi wa kisiasa kuheshimu Mimbari wakati wa ibada. Mimbari ni sehemu ambayo Walawi wanaruhusiwa kufanya Ibada na matamko yao kama walivyoamrishwa na Mwenyezi Mungu. Waislamu wenyewe hili lipo wazi Masheikh ndio huruhusiwa...
  19. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania na tamko lake juu ya sherehe za pasaka April 2021. Je, mmewashirikisha viongozi wa dini husika?

    Habari za muda huu jamiiforums Leo muda kama wa saa 9 alasiri nikiwa ninapitia mambo kadhaa kule Facebook nimekutana na kauli ya Jeshi la Polisi juu ya sherehe za pasaka kwa mwaka huu wa 2021 ambazo zimeangukia katika kipindi ambacho nchi yetu ipo katika maombolezo mazito kufuatia msiba wa...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Je, tabia njema hujengwa na malezi bora, dini au ni hulka asilia ya mtu?

    Salaam wakuu, Nimeuliza hili kwa sababu kuna watu wamepata malezi bora, pia wazazi wana dini lakini wao wanatabia mbovu but kuna wengine hawakupata malezi bora bt wana tabia njema sana. Je, kwa upande wako tabia njema inajengwa na malezi bora, dini au ni hulka asilia ya mtu?
Back
Top Bottom