dini

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP): Yeyote mwenye lengo la kuvuruga amani ya nchi atashughulika bila kujali dini, jinsia wala cheo chake

    Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP) Biswalo Mganga amesema yeyote mwenye lengo la kuvuruga amani ya nchi atashughulika bila kujali dini, jinsia wala cheo chake. Biswalo ameeleza hayo leo Ijumaa Oktoba 23, 2020 wakati akizindua ofisi ya Taifa ya mashtaka wilaya ya Mufindi iliyopo mjini...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Siasa ni kipaji siyo akili za darasani. Ya siasani hayapelekwi kwenye dini ila kinyume chake ni sahihi

    Askofu Gwajima amesema mtu kuwa mwanasiasa mahiri hakuhitaji kwenda darasani kwani uanasiasa ni kipaji " taranta" Siasa ni swala zima la kuwaletea watu maendeleo ikiwemo maji, umeme, elimu na Huduma za afya na kuyaweza hayo siyo lazima uwende darasani, amesisitiza. Askofu Gwajima pia amesema...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wizara ya Mambo ya Ndani yawataka Viongozi wa Dini kutofanya kampeni

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewaasa viongozi wa kidini kutojihusisha na kampeni za kisiasa kwa kuwaambia waumini wao kuhusu viongozi wa kuwachagua bali wabaki kuhubiri amani, upendo na umoja Wizara imesema jumuiya za kijamii na taasisi za dini husajiliwa na Wizara ya Mambo ya ndani kwa...
  4. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Misingi ya katiba yetu na uchaguzi mkuu: CCM na viongozi wa dini mnaijua/ mnaikumbuka/ mmeisoma?

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, toleo la 20 Juni 2005 imeainisha misingi inayohakisi maamuzi mazito ya watanzania wote juu ya nchi yao kwenye utangulizi wake. Misingi hiyo ni uhuru, haki, udugu na amani. Nukuu yake ni: "KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa...
  5. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inakuwaje viongozi wa dini wanapowasifia watawala wa CCM ionekane sawa, lakini inapotokea wengine wakawasifia Wapinzani wanaonekana wachochezi?

    Kila mara tumekuwa tunamsikia Rais wetu akitamka kuwa Maendeleo hayana chama. Kwa maana nyingine ni kuwa nchi hii ni ya mfumo wa vyama vingi, kwa hiyo mwananchi yeyote anaruhusiwa kuwa mshabiki wa chama chochote anachokitaka. Lakini tunashuhudia kutokea "double standard" ya kiongozi wa dini...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kikwete: CCM ni chama cha dini zote, makabila yote, taaluma zote na wanasanaa wote kichagueni

    Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni. CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120 CCM ni chama cha wataalamu wote CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara CCM ni chama cha...
  7. Libya

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

    Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu. Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Atipas Lissu. Soma pia > Uchaguzi 2020 - Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wafika kumuona Maalim Seif

    Viongozi wa kidini wa Kamati ya Amani Tanzania inayojumuisha viongozi wa kidini na madhehebu mbalimbali Tanzania waonana na Maalim Seif. Kiongozi wa ujumbe wa Kamati ya Amani alibainisha ni wao ndiyo walimuandikia barua kuomba waonane naye Maalim Seif na wakatoa shukurani kwa mgombea wa...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Askofu Frederick Shoo: Viongozi wa dini wanapaswa kutoegemea upande mmoja wa siasa kwa kuwa watu wa vyama vyote ni waumini wao

    MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Frederick Shoo, amekemea vitendo vya kupigwa na kudhalilishwa kwa baadhi ya wagombea hasa wanawake katika kampeni za uchaguzi na kutahadharisha kuwa iwapo vitendo hivyo, vikiaachiwa viendelee vitahatarisha amani. Sambamba...
  10. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini viongozi wetu wa Dini wanatusisitiza sana tudumishe amani yetu, lakini wanashikwa na kihoro kuwaambia wanasisiasa wetu watende haki?

    Imeandikwa kwenye Biblia takatifu, katika kitabu cha Mithali, sura ya 14:34 nanukuu kama ifuatavyo "Haki huliinua Taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu. Kwa maandiko hayo ya kwenye Biblia takatifu, maana yake ni kuwa huwezi kuitenganisha HAKI na AMANI na kwa maana nyingine...
  11. Mkaa wa mawe

    JamiiForums Tanzania Dini zimechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika

    Straight to the topic. Africans wengi wanaamini kwenye dini kuliko chochote kile hapa duniani. Na watu wanaomini kwenye dini wanaamini wapo hapa duniani ili kumuabudu mungu tu na si kingine. Well hapa kwetu africa kuna dini kubwa mbili yaani uislamu na ukristo. Na kwenye hizo dini kubwa...
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Naibu Rais Rutto apigwa mabomu ya machozi akiwa Kanisani ili kuzuia kuchanganya dini na siasa

    Huko Kenya leo polisi walizingira Kanisa na kupiga mabomu ya machozi ili kuwazuia wafuasi wa Naibu Rais William Ruto kufanya siasa. Rutto aliyekuwa ndani ya Kanisa ameilaumu serikali yake mwenyewe kwa mashambulizi hayo lakini polisi wamemjibu walikuwa wakitimiza majukumu yao ya kikatiba...
  13. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vitendawili vya uchaguzi(1): Kupinga sera ya kutenga dini na siasa ni kunadi sera ya kuunganisha kofia hizo

    USULI Uchaguzi Mkuu huzalisha vitendawili vingi vinavyopaswa kujibiwa na wapiga kura katika harakati zao za kusimamia ujenzi wa jamii inayowajibika kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kitendawili kimojawapo ni swali lifuatalo: Kati ya Taifa linalotekeleza sera ya kutenganisha kofia ya kisiasa na...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa njimbo za dini njooni tule kionjo hiki

    Kwa wale wapenzi wa nyimbo za dini njooni tule kionjo hiki. Nawatakieni siku njema.
  15. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu haina dini: huyu mgombea anayezunguka na 'viongozi' wa dini wakimnadi, anapeleka wapi taifa letu?

    Nchi yetu haina dini ila kila mtu anaruhusiwa kuabudu dini yo yote apendayo. Hii ni kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu. Tangia aanze kampeni zake mgombea huyu amekuwa akiambatana na askofu mmoja wa kanisa fulani anayeitwa Askofu Mwamakula na sheikh mmoja anayeitwa Sheikh Katimba. Katika mikutano...
  16. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wasipojua nyakati wanaweza kuchelewa kugundua wanaongozwa na siasa na sio Bibilia au Msahafu

    Trend inaonyesha licha ya kuwepo maagizo ya kidini kusambaza imani zao. Bado wanasiasa wa ulaya watafuta Mali wakiarabu waliwatangulia wana dini kusambaa duniani. Yaani walianza wapererezi wamisionary nao wakafuata. Wengi walijikuta wanasambaza dini kisiasa. Wanasiasa walipoanza kuhimiza Elimu...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Pemba: Vyama sita vya siasa vyalaani vurugu za Alfajiri ya leo, waomba msaada wa IGP baada ya wananchi kukatwa mapanga

    Mgombea Urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir(Demokrasia, makini): Katika barua yetu ya tarehe 15 kumuomba msajili wa vyama vya siasa pamoja na IGP, tulimuelezea kwamba, kuna baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa hapa nchini kwetu Zanzibar, wameanza tabia ya kuanza kuwashajihisha wanachama wao au...
  18. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania NEC na ZEC wanaweza kulipasua taifa. Wanaharakati na viongozi wa dini mko kimya? Subirini tatizo

    Haiwezekani nchi nzima wanaokosea kujaza forms ni wagombea wa upinzani, haiwezekani wanazijaza forms vizuri ni wagombea wa ccm tu.Wagombea wa CCM wamesomea shule za nchi tofauti? Wakati NEC na NEC zinatoa semina kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa, CCM walikua na semina yao ya tofauti? Liwake...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu anaanza kutumia lugha chafu

    Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi. Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Rais Magufuli Mwizi pamoja na MaRais wote waliopita isipokuwa Nyerere. Yeye ni mwana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM atukana viongozi wa dini nchini, asema washike adabu zao!

    Katika hali inayoonekana kulewa madaraka na utovu wa nidhamu nchini, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Kheri James ametoa maneno yasiyo na staha kwa viongozi wetu wa kiroho nchini kwa kuwaambia kuwa washike adabu zao. Hii inafuatia baada ya viongozi hao akiwemo Sheikh Ponda, Baba Askofu Niwemugizi...
Back
Top Bottom