Hii imetokea usiku wa kuamkia leo, mkesha wa mwaka mpya wa 2020 baada ya Rais kumpigia simu akiwa jukwaani na kumpongeza Diamond.
Diamond amemhakikishia ushindi wa kishindo 2020 kwenye uchaguzi mkuu October.
Hii inaitwa double target kwa wale waliopitia courses za strategies kama mimi from...
HABARI ZA KAZI WAKUU,
Napenda kutumia muda huu kujadili kuhusu muziki wetu kwa sasa, mahali ulipotoka na unapoelekea... Awli ya yote tuwapongeze wasanii wetu baadhi wanaopeperusha bendera kimataifa.
Wengi najua tunajua habari kubwa zilizotikisa kiburudani katika kufunga mwaka ni kuhusu tamasha...
Huyu jamaa ameenda Kigoma kwa 10 yrs yake kuanzimisha,
Hivi huko pia ni asili ya baba yake.
My take kama babu yupo hai amchimbe mkwala kuwa kwanza akapatane na mwanae kisha ndio amtambue kama.mjukuu,ila pesa sasa ndio tatizo
Baada ya diamond kupost mapokezi aliyopata kigoma msanii legend wa Marekani Neyo na mshindi wa tuzo ya Grammy akakoment nakusema A king period.comment hiyo imewafurahisha watu wengi ikiwemo professor Jay, ecejay na mastaa wengine
Ahlan wassalan wana jamvi, baada ya pilika pilika za sikuu ya Christmas hopefully mko poa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mrithi wa kiti cha ufalme wa bongo fleva hatatoka kwenye mikono ya hawa manguli wawili wanaotifuana na kupelekana mchaka mchaka kunako game ya bongofleva...
Kwanza kabisa na mpongeza kwa kufikisha miaka 10 ya mziki wake SI rahisi kuwa on top kwa miaka hiyo yote lakini huyu mwamba kaweza.Haya ni baadhi ya mambo aliyofanya kwenye kipindi chake chote Cha mziki
1.kutengeneza wasanii wakubwa from scratch kupitia label yake ya WCB Kama vile Rayvanny...
AliKiba:
huyu jamaa ni mwanamuziki mzuri kwakweli. anafanya kazi kivyake na hana shobo za kijingajinga. anatoa nyimbo anapoona inafaa kufanya hivyo. anapondwa kweli humu JF na watu wanaojiita ni magreat thinkers. ukiziangalia sana sababu zenyewe za kupondwa kwake, utagundua kuwa shida ni wivu...
Jana Dk. Tulia Ackson alimpokea Diamond na Rayvanny Mbeya na baadhi ya mashabiki wa CHADEMA kiliwauma na kuuliza kwanini Mbunge wao Sugu asiwe mgeni rasmi badala ya Dk. Tulia Ackson.
Kwanza kabisa Dk. Tulia ni fan wa Diamond na hilo lipo wazi na amekuwa akimsapoti Mondi kwenye kazi zake nyingi...
Msanii ngwiji wa kimataifa kutoka Tanzania Jana alipata mapokezi makubwa mkoani mbeya ikiwemo kusafishiwa Barabara wakati gari lake linanapita na wanambeya Kama vile ni Raisi na shangwe kubwa wakiimba Simba Simba pamoja na kuimba wimbo baba lao kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
NB: binafsi...
Kamwene!
Binafsi si mfuatiliaji wa visa na mikasa ya wanamuziki hasa `Bongo`.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia juu juu kuwepo kwa kinachosemekana kuwa 'beef' kati ya msanii Nasibu Abdul Juma maarufu kama Diamond Platnumz na baadhi ya vyombo vya habari nchini.
Clouds Media, IPP Media na EFM...
Na. M. M. Mwanakijiji
Naomba kupendekeza kuwa huyu kijana apewe rasmi hati ya kusafiria ya Kibalozi (Diplomatic Passport). Nimekuwa nikifuatilia jinsi anavyoshirikiana na wasanii wengine ndani na nje ya nchi lakini pia jinsi gani anakubalika katika sehemu mbalimbali za Afrika. Nimefuatilia kwa...
Juzi Diamond Platnumz alikuwa Guinnea Bissau akipiga show ,
Wimbo wa mdogo mdogo ulipopigwa uwanja wote ulizizima na ikawa shangwe kila Kona chek video, video ni fupi ya dk moja
Fahamu: Diamond Platnumz anaogopa kuoa mapema kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake wengi wa kike kwani wapo wanaompigia mahesabu ya kumnasa kimapenzi hivyo akioa mapema haijulikani watakuwa na hali gani! Queen Darleen pia amekiri hilo
Takribani mwezi au wiki mbili tatu mfululizo, Clouds Fm wamekuwa wakiendesha mjadala redioni unaoangazia mambo kadha wa kadha ya game ya muziki wa Bongo Fleva, tangu kuasisiwa kwake.
Mijadala hii, iliyopewa jina la Bongo Fleva Round table, inayofanyika jumamosi kwenye kipindi cha Bongo Fleva...
Hivi karibuni nimeona kwenye baadhi ya vipindi vya Clouds vikirusha madongo na kumpiga majungu Diamond Platnumz.
Ushauri wangu: Clouds kama ngoma za Diamond hampigi kuna haja gani ya kumzungumzia kitu gani kinachowafanya mteseke na Diamond.
Mbona wasanii wengi tu hampigi ngoma zao lakini...
Kijana yupo kwenye level kubwa Sana tulizoea kuona mapokezi makubwa akiyapata hapa home lakini sasa anayapata hata nje ya nchi.Big up kwa hiyo step kubwa uliyopiga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.