Msanii wa Marekani Neyo aguswa na mapokezi makubwa ya diamond kigoma nakumpa cheo Cha uking mond

Neyo anatafuta ugomvi tu, huyu mlugaluga mkimyang'anya na cheo cha uking siatabaki na ucindelela tu!?
 
Ungeweka hiyo comment humu basi mkuu!
.
Screenshot_20191230-143601.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20191230-143601.jpeg
    Screenshot_20191230-143601.jpeg
    48.6 KB · Views: 1
Ali Kiba ana mashabiki wengi na hela nyingi kuliko msanii yeyote Afrika sema tu hapendi show off
Kwa kazi hiyo anayofanya? Siku zote tumwona mjini show afanyi Sasa Kenya na Dubai. WCB ulimwengini anafanya show. West Africa ndio kwake. Viti tunaviona. Wewe uliviona wapi? Au ni Kule kujitetea wake Ali kuna eti ajionyeshi... Weee wachana hizo binadamu Lazima kuonyesha ulivyo vyako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichojifunza cheo cha king muziki kinapewa na sisi wafatiliaji wa muziki, sio msanii yeye kama yeye kutumia nguvu kubwa kujiita yeye ndio king wakati hicho cheo hatujampa.

Sipati picha na kwenye muvi kanumba asingefariki tz tungekua mbali mno, ila ndio hivyo tena mungu alimpenda zaidi.

Narudia tena cheo cha mfalme katika sanaa tunakitoa sisi, kuna msanii analazimisha hiki cheo cha ajabu hata watoto wa king kina harmonize wanamkimbiza mchaka mchaka😂😂😂
 
Baada ya diamond kupost mapokezi aliyopata kigoma msanii legend wa Marekani Neyo na mshindi wa tuzo ya Grammy akakoment nakusema A king period.comment hiyo imewafurahisha watu wengi ikiwemo professor Jay, ecejay na mastaa wengine

Ningependa kufahamishwa jinsia ya mleta mada tafadhali..
 
Back
Top Bottom