Kumlinganisha Diamond Platnumz na Ali Kiba ni kumkosea nidhamu

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Nimekuwa nikisikia mara kadhaa mijadala ya vijana wakijaribu kumlinganisha Diamond Platnumz na Ali Kiba, nionavyo mimi kwa mahali alipofika Diamond, hakuna msanii wa kulinganisha naye kwa hapa nchini.

Ali Kiba ni msanii mzuri kwamaana ya talent lakini level zake ni akina Harmonize tena asipokuwa serious hata Harmonize anaweza kumkimbiza siku chache zijazo. Sijui anakwama wapi, sijui ni ku panic maana alianza kutoka kabla ya Diamond pengine huenda akifikiri jinsi Diamond alivyokuwa underground wakati fulani alimwomba collabo labda haya yanampa frustration.

Kwanini nasema Kiba hana uwezo wa kujilinganisha na Diamond, nikwamba ukitoka nje ya Afrika Mashariki Kiba hajulikani, lakini nenda nchi yoyote Africa uliza Diamond uone shughuli. Nimefanya tafiti kwenye website kadhaa za Entertainment za Afrika kusini, nimeona zimemtaja Mond mara nyingi sana yaani wanamfuatilia kama vyombo vya huku kwetu vinavyo fuatilia wasanii kama Davido na wengineo.

Kuna siku Diamond alisema yuko tayari kumsaidia Ali Kiba kutoka kama Ali Kiba ataomba msaada, wito wangu kwa Ali ni kujishusha na kuomba Mond akupe msaada ili sauti yako na kipaji chako kivuke mipaka ya Afrika Mashariki na Tanzania iwe na ma giant wa Muziki hata 10 ambao wanatikisa Africa na Dunia. Mambo yakuwaona walio fanikiwa kuwa ni Wajenzi Huru ni mambo ya kipimbi, huu si wakati wa kujitutumua kujiweka katika level ambazo haupo.

Nawasilisha.
 
Kiifasaha kabida diamond lever yake ipo kingine kabisa hakuna msanii wa bongo alofikia kwa sasa kiba ni dharau na jeur na akiendelea na dharau zake mda si mrefu atamalizia kuangukia pua maana hapo alipo tayar kaangukia mdomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena mkuu, jamaa huwa ana ka dharau fulani, sasa mond yeye huwa anajifanya mjinga ndomaana amefanikiwa, anajua jinsi ya kula na vipofu
 
Japo simkubali mondi ila ni upuuzi kumlinganisha domo na kibakuli

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Ali kiba ni msanii mzuri Ila diamond ni msanii mzuri ,zaidi na kafanikiwa kwa kiwango kikubwa kuliko wenzake hapa bongo ,but ana uswhili mwingi Sana ambao hauna maana ,kubishana na akina diva ni ujinga tu pia ajielewe yy n msanii mkubwa na alinde heshima yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ali kiba ni msanii mzuri Ila diamond ni msanii mzuri ,zaidi na kafanikiwa kwa kiwango kikubwa kuliko wenzake hapa bongo ,but ana uswhili mwingi Sana ambao hauna maana ,kubishana na akina diva ni ujinga tu pia ajielewe yy n msanii mkubwa na alinde heshima yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri mkuu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom