Diamond Platnumz interview with Sports Arena (Exclusive)

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
7,995
2,000
Msanii nguli wa kimataifa diamond platnumz a.k.a baba lao and CEO wa WASAFI MEDIA akihojiwa na sports arena baada ya kurudi kutoka misri kwenye tuzo za CAF mahojiano Kama ifuatavyo

Mtangazaji: kwanii una connection nyingi za kufanya show kubwa

Diamond:Africa Kuna wasanii wengi Sana na niwazuri lakini asilimia kubwa sio performer ndo maana nipata nafasi nyingi Kama hii hii inakuwa kwangu Mara yangu ya pili kufanya show kwenye tuzo za soka CAF.

Mtangazaji: baadhi ya watu wanasema unajiwakilisha wewe

Diamond: nikiwa na tambulishwa watanitaja jina langu lakini pia na jina la nchi yangu ukienda baadhi ya nchi za nje utaheshimika cos umetoka kwenye nchi yenye diamond.

Mtangazaji: unampango wowote wa kuwa na team yako ya mpira

Diamond: huo mpango nilikuwa ninao muda mrefu lakini focus yangu kwanza ni kujenga kituo Cha kukuza vipaji ambapo muda si mrefu tutaumaliza kwasababu process yake ni kubwa na ili wazo nilipewa na e'too.

Kuna wataalamu wa soka teyali tumeshawapa kwaajili ya kuendesha kituo hiko lakini pia lazima tuwe na facilities nzuri baada ya kumaliza hili ndo nitaamua kununua team ambayo teyali ipo ligi kuu na tutabadilisha jina lake litaitwa WASAFI football club sitaki nianze from scratch kabisa.

Mtangazaji: sasa hiv wasafi fm inasikika maeneo machache una mpango gani kufikia mikoa mingi

Diamond: wakati nimeifungua Wasafi fm nilitaka isikike maeneo machache na tuahakikishe tumeteka kwelikweli ili tutapoanza kutambulisha mikoani tutuwe kwa kishindo sio kinyonge na sema kweli teyali wasafi imefanya vizuri Sana na tumefanikiwa lengo letu kuanzia j'3 ya wiki moja ijayo tutaanza kutambulisha mikoa itayoanza WASAFI FM kusikika na hatutaki iwe kiholela watu hawajanizoea hivyo so tutambulisha kwa namna tofauti na kwa ukubwa.

Tumeichagua siku hiyo ya j'3 cos ni siku ambayo nitakuwa free baada ya hapo nitakuwa busy cos nitakuwa ninashow Nigeria kwenye tuzo za SOUNDCITY baada ya happy nitakuwa na show ufaransa na visiwa vya Madagascar, Mayotte then ninashowa Los Angeles Marekani baada ya hapo Nina European tour ambayo nitafanya kwwnye miji mingi.
 

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
30,521
2,000
Haters wakiona kaitwa CEO au babalao roho inawakauka..

Mbaya zaidi wakisoma hayo malengo ya kuwa na timu then waje kwenye hiyo orodha ya shoo anazitakiwa kufanya ndio wanashikwa na yumbo kabisa..

Hongera D, jitahidi ukamilishe huo mpango wa kuwa na timu umsajili kabisa Kingkiba asije kufa njaa..
Wait hivi bado kiba anaitwa King?
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
29,262
2,000
Dah haka kajamaa kanatu-outsmart Sana tuliopita pita vyuoni. Shame on us
Apart from he's working hard lkn pia he got balls ambazo wasomi wote hatuna.

Kwa mfano hapo chin:

dddd.jpeg


dodge
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom