Diamond kuwa mbunifu unaiga mpaka unakera sasa

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,578
7FF33A85-937D-4BAD-9F51-A89B36FA469A.jpeg
4BA14F56-3AFD-4B9C-98F4-84C1A2CC01B4.jpeg
4BA14F56-3AFD-4B9C-98F4-84C1A2CC01B4.jpeg
Sikupendi aisee kwa hii tabia yako
 
Hahah kachezea vitasa hajaamini hadi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo kabisa mtoa mada alikuwa anakuja na gia ya udini lengo lake achafue WCB alisemaga Rayvanny kazuiliwa kujenga kanisa na uongozi wake pamoja na kulazimishwa kuvaa kanzu mtu hatakakama unachuki basi tengeneza hoja zenye nguvu ili ushawishi watu hata Kama ni uongo lakini mtoa mada hajifunzi ndomaana nyuzi zake anashambuliwaga Sana still anashindwa kujifunza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom