diamond

  1. aka2030

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz punguza uongo na kujikweza, wadanganye hukohuko Insta

    Umeenda kwenye fiesta ya Sierra Leone now unasema show ilikuwa ya peke yako?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio sijapenda kwenye 40 ya mtoto wa Diamond

    Kwanza nampongeza Mondi na Tanasha kupata mtoto iliopekea kufanyika kwa arobaini ya mtoto. Kwa sisi tulioangalia kwenye tv sharehe ilikuwa nzuri kuanzia mapambo na mambo mengine. Jambo ambalo honest sijafurahishwa nalo ni wakati kwenye kipengele cha utunzwaji wa Mondi ambapo Lulu Diva anaenda...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Stanley enow ft diamond my way remix ni noma

    Huu ni wimbo upo kwenye album ya Stanley enow track number 13 ambayo amemshirikisha kijana kutoka Tanzania na msanii mwingine anaitwa Ariel sheney.stanley enow ni msanii mkubwa kutoka nchini Cameroon pamoja na Ariel sheney. Vitu nilivyopenda kwenye wimbo Huu 1.ujumbe Huu wimbo unahusu...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Diamond: Nitakuja na kitabu changu kitakachoelezea maisha yangu

    Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania naseeb Abdul a.k.a baba lao amesema atakuja na kitabu chake kinachoelezea maisha yake binafsi na hii imekuja baada ya mashabiki wake kukuuliza leo kwenye Twitter wanataka kuona msanii wao ana kitabu chake ambacho kinaweza kusaidia watu wengi kujifunza na mondi...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Jux ft Diamond sugua ni fire

    Leo msanii jux ameachia video yake aliyomshirikisha mondi a.k.a baba lao.Hii video unaweza kusema mambo manne creativity, passionity, proactivity and timing 👏👏 Yaani imewakutanisha wakali wa fashion na wametisha ile mbaya.Hii ngoma itampaisha Sana jux kimataifa ni hit song
  6. H

    JamiiForums Tanzania Diamond awapa tuzo Wizkid na Tiwa Savage

    Leo wakati diamond na crew nzima ya wasafi pamoja na baadhi ya wasanii wakifanya press conference ya kutoa shukrani zao kwa mashabiki kwa kuudhuria kwa wingi Sana pamoja na wadhamini waliosponsor tamasha la wasafi. Diamond ametumia fursa hiyo Kama suprise kwa kuwakabidhi tuzo za heshima Wizkid...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Segerea ampongeza Diamond kwa show ya Wasafi Festival

    Mwanadada mbunge wa Segerea anaitwa Bonnah K Ladslaus ametoe pongezi za dhati kupitia mtandao wake wa Instagram kwa Diamond kwa kumuita baba lao kwenye show kali aliyofanya Jana kwenye tamasha lake la Wasafi Festival ambalo liliteka Jana jiji la Dar-Es-Salaam.Lakini pia akatoa pongezi kwa namna...
  8. kajengwa makunduch

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba ana cha kujifunza kwa Wizkid na Diamond, sanaa sio uadui

    Mdogo Wangu Ally Kiba acha uzazwa, umoja ni nguvu. Wizkid na mafanikio yote yuko humble na ameweza kuonesha upendo kwa kuimba na Diamond Platnumz lakini wewe unajiona mkubwa kuliko Wizkid. Kaka jishushe ili Mungu akupandishe
  9. muhala.jr

    JamiiForums Tanzania Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

    Najaribu kufuatilia show ya Wasafi Festival grand finaly, what I see jamaa bado wana long way to go. Kuna matchup na Fiesta maana hata arrangement yao ni hovyo plus wasanii wao wengi ni wale Old School tu. Sasa sijui wameshindwa kulipa hawa curently artsist!
  10. playboy babu

    JamiiForums Tanzania Diamond, acha wizi wa nyimbo

    Baba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY --------------------- Nyimbo ya Diamond Platnumz Nyimbo ya Naira Marley
  11. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania Bora Diamond wa Mbagala kuliko huyu wa Madale

    Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ WANAOUCHEZEA muziki wa Bongo Fleva hawajui historia yake na hawawafahamu waliotoka jasho na damu kuufanya ukubalike na uwe biashara. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayetamba kwa mafanikio anapita kwenye barabara ya kimuziki iliyochongwa na kuwekwa lami kwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Diamond umefanya la maana kumchukua Marlaw

    Kama mnakumbuka vizuri Diamond alikutana na Marlaw wakati Marlaw alienda kwenye Tamasha la Wasafi lilofanyika Tabora na kumuomba awe sehemu ya tamasha but hakumpa nafasi lakini kumbe lengo lake Diamond lilikuwa kumpa Marlaw hiyo nafasi Dar-es-Salaam na kweli kwenye Tamasha la Wasafi...
  13. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba, Harmonize wamjibu Diamond kuhusu tamasha la Wasafi Festival

    ALI KIBA ANA MAJIBU YA KIKE, KAMA KUNA UMAFIA ALIFANYIWA NA MOND SI AFUNGUKE??
  14. Lawrichie

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

    ''Usiniletee mambo ya darasa la Pili unaniiibia penseli alafu unanisaidia kutafuta .(UNIKOME) Mwanaume huwa anaongeaga mara moja tu sasa ukitaka nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia hata kwenye hilo tamasha hatokuja mtu sasa tuishie hapo nakutakia tamasha njema @diamondplatnumz ''
  15. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kuzungumza na vyombo vya habari kesho saa 5 asubuhi

    Jioni hii Diamond (Chibu) ameripoti kuwa kesho atazungumza na vyombo vya habari nchini. Je, Chibu anaenda kujibu mawe anayorushiwa juu Million 500 ya Konde boy? Usikose kesho saa 5 asubuhi kupitia Wasafi TV na Wasafi FM (88.9).
  16. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Chege zina ujumbe murua kuliko za Diamond

    Nyimbo za Diamond wa sasa ni takataka tupu na ndio zimepata wafuasi (siyo true fans wa muziki) wengi, maajabu. Nimelinganisha na nyimbo za Chege, huyu bwana ni mwanamziki. Anaimba muziki haswa wenye kila kitu in terms of qualities. Diamond wa sasa anaimba takataka zinazo haribu vijana wengi...
  17. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Zarina Hassan na Tanasha ni ndugu, Diamond anachezewa mchezo tu

    Nimeisikia mahali kuwa kumbe mke wa zamani wa Diamond Platnumz na yule wa sasa Tanasha Dona, sijui Sembe, ni ndugu na kwamba Zari anamtumia Tanasha kum-monitor na kum-control Diamond. Lengo ni kumfilisi kabisa na mwisho wa siku wamwache solemba. Unaambiwa Zari ni mafia aliyeshindikana na kwamba...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Msanii Harmonize anatengenezwa kimakusudi ili kuumaliza Ufalme wa Diamond baada ya Kiba kujimaliza mwenyewe?

    Kwa niliyoyasikia juu ya hawa Watatu ni mengi ila kati yao makubwa matatu yanahusu nyanja za kisiasa hasa kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2020, chuki yenye kisasi dhidi ya Vyombo Viwili vikubwa vya Habari nchini Tanzania vilivyopo hapa Mkoani Dar es Salaam Wilaya ya ‘Kitajiri‘ ya Kinondoni na la...
  19. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Diamond : Sina ujinga wa kununua nguo Milioni 6 au 7 katika maisha yangu yote ila kwa Harmonize ni tofauti

    “Harmonize ana nguo ameshanunua kwa gharama ya Tsh. Milioni 6-7 na zipo zimekaaa kabatini, kitu ambacho mimi katika maisha yangu yote sijawahi kukifanya na wala ujinga huo kwanza sina” Hayo sio maneno yangu mimi ni maneno ya Diamond mwenyewe akimuongelea Harmonize Unajifunza nini katika...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe ampongeza Diamond na Wasafi kuzindua kipindi cha sports arena

    Waziri wa habari sanaa na michezo Dr Harrison mwakyembe ametoa pongezi zake kwa mwanamziki diamond kwa uzinduzi wa sports arena alioufanya kwa ukubwa kuanzia maandalizi pamoja na ubunifu walitumia kwa kitendo Cha kuwashusha kwa helikopta watangazaji waliowasajili lakini kuwepo kwa red carpet na...
Back
Top Bottom