Mrithi wa kiti cha ufalme wa bongofleva hawezi kutoka kwenye mikono ya Ali Kiba wala Diamond Platnumz,

gonamwitu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
703
707
Ahlan wassalan wana jamvi, baada ya pilika pilika za sikuu ya Christmas hopefully mko poa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mrithi wa kiti cha ufalme wa bongo fleva hatatoka kwenye mikono ya hawa manguli wawili wanaotifuana na kupelekana mchaka mchaka kunako game ya bongofleva japokuwa mmoja anaonekana amezidiwa ujanja na mwenzie.

Kwanini nasema mrithi wa kiti cha ufalme wa bongofleva hawezi kutoka kwenye mikono ya hawa majamaa mawili simba na kaka ake tembo, nifuatilie vizuri hapo chini.

1.Ali kiba a.k.a tembo na rekodi lebo yake ya kings music hadi sasa hivi kwa muda ambao hao madogo wamekaa ndani ya kings music wameshindwa kuwa wakubwa na hata ngoma zao kuwa kubwa na wameshindwa kabisa kuiteka showbiz ukilinganisha na wcb na wakina vanny,mbosso,na harmo wakati wanatoka ngoma zao zilikuwa kubwa,waliweza kuiteka showbiz ndani ya muda mfupi pili kiba the way anavyofanya muziki anataka na wasanii wake wafanye hivo hivo yaani wimbo mmoja ndani ya miezi6 au mwaka mmoja so hii itawachelewesha sana wasanii wake tatu kiba hana mbinu bora za kimuziki za kuwafanya wasanii wake wawe hot topic so simuoni mrithi wa kiti cha ufalme wa bongo fleva akitoka ndani ya kings music

2. Mond a.k.a simba wa maboksi ktk suala la kuwafanya wasanii wake wawe wakubwa na waikamate showbiz kafanikiwa kwa 100% kongole kwake but tatizo ninaloliona anawapiga pini wasanii wake dizaini km hataki wawe wakubwa km yeye kwenye kila wimbo anaoona utakuwa hit anadandia,kwenye show za wasanii wake yeye ndo anaperfom sana utadhani yeye ndo mwenye show,halafu show kubwa za nje zote anaenda yeye madogo anawacha madale wamsaidie tanasha kuchambua dagaa, mbosso hana muziki wa international so hawezi kuwa mrithi sahiihi vanny ana muziki wa international ila inshu ya kupigwa pini na boss inamfelisha lakini pia dizaini km mwamba kafika katika kilele,climax so hana pa kwenda either amaintain au ashuke japokuwa sioni akishuka but mwamba hawezi kuwa mrithi sahihi,lavalava sijamuongelea coz huyu anasindikiza wengine na kwa habari za chini ya kapeti nasikia ni houseboy wa tanasha.

3. Vipi kuhusu harmonize a.k.a konde boy a.k.a nsyuka kafanana naye sana hasa hasa ule ufupi,hadi sasa hivi kwa aina ya nyimbo anazozitoa bado simpi nafasi sana coz sailimia 85% ya kila kitu alichonacho hadi mafanikio ya kimuziki yanatokana na kivuli cha mond, so kwakua sasa hivi kaamua kusimama mwenyewe acha tumpe muda,but mashabiki wa mond kumchukia hili ni tatizo kwake coz angekuwa anapata sapoti ya mashabiki wote in full force ingemuongezea kitu, coz mond wakati anatoka Tanzania nzima ilikuwa nyuma take ndio maana aliweza kutusua vizuri,

4. Vipi kuhusu marioo a.k.a kichwa dungu huyu dogo nae simpi nafasi sana coz kwa umri alionao na muda aliopo kwenye game ukimlinganisha na mond alivyokuwa na umri sawa na huyu dogo mond a.k.a simba wa maboksi alikuwa mkubwa Mara 3 ya huyu dogo pili dogo hana mambo mengi,mbogamboga,kachumbari na showbiz dogo hajaiteka na sidhani km ana mpango wa kufanya hivo, inshort dogo anafanya muziki kipaji na hana menejiment powerful yenye fitna na figisufigisu za hapa na pale,

5. Mentality za mashabiki zimegoma kabisa kuamini nje ya mond a.k.a chai jaba na Ali kiba a.k.a mange kimambi hili ni tatizo pia,lakini pia ugomvi baina ya media unafanya baadhi ya wasanii upcoming wasiwe na full support hii pia inakwamisha, coz unakuwa unafanya muziki kwenye mazingira magumu yenye mipaka ukiwa unaogopa kubaniwa mond hii kitu hakukumbana Nayo wakati anatoboa media zote zilikuwa zinamsapoti,

Je unadhani nani ni mrithi wa kiti cha ufalme wa bongofleva? Hebu tiririka mdau,

Naitwa Gonamwitu a.k.a Santiago pandamunio a.k.a masokolindo mavi ya kuku, a.k.a girls most wanted guy,
 
I

Sasa huyo kiba amefanya Nini kwenye industry ya mziki?
Kautangaza muziki wa bongofleva east Africa na afrika kiujumla,interview ya kwanza Kenya alikiba kafanya mwaka 2006 kipindi hicho muziki wa kenya ulikuwa upo juu sana compared to bongofleva, kafanya kolabo kubwa afrika na dunia through one8 na rkelly na kuifanya bongofleva itazamwe ktk angle mbalimbali kutoka duniani kote kashashinda tuzo kibao za muziki,from Tanzania,east Africa na afrika unaikumbuka tuzo ya international act aliyomgaragaza wizkid,unakumbuka tuzo aliyoshinda nchini Nigeria? Kawa inspire mamilioni ya vijana waliopo mtaani kupenda muziki ,kufanya muziki na kuona through muziki unaweza kuwa na maisha mazuri, ni mmoja kati ya msanii waliodumu kwenye game kwa muda mrefu akiwa ktk ubora ule ule, ana rekodi label yake,ana studio yake,ana wasanii wake anaowasimamia na wanafanya vizuri tu,ana hitsongs za kutosha, ambazo zimeshawahi kukamata namba moja kwenye top charts za radio mbalimbali Tanzania na east afrika na afrika ,
 
Acha utani kijana watu walioitangaza before hata ya huyo alikiba wako Tanzania ni Ay, Mr nice na Hadi sasa hiv anakubalika sana kenya, juma nature, Professor Jay, jide n.k huyo Kiba hakuna hata kitu special alichokifanya ili apewe heshima
 
Umejaribu kujitafuna sana dada, pole sana. Alikiba Unaweza kumzungumzia kama Mondi hayupo labda. Yaani tumuweke level za akina Harmonize kisha ndipo utaje hizo ngonjera zako. Eti Kafanya show kubwa na RKelly.Sasa ukianza kutaja Collabo si Mondi anampiku mara 10000000000! Mengine muwe mnakubali tu Mondi ni Mrithi wa Michael Jackson Kwa Africa
 
Mkuu unapoteza mda wako kumuelesha huyo otimbi haya yote anayajua ila anaweka kichwa ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha utani kijana watu walioitangaza before hata ya huyo alikiba wako Tanzania ni Ay, Mr nice na Hadi sasa hiv anakubalika sana kenya, juma nature, Professor Jay, jide n.k huyo Kiba hakuna hata kitu special alichokifanya ili apewe heshima
Sikia we mavi ya kuku ukitaka kubishana tafuta team kiba na wapumbavu wenzio mje mbishane Mimi nimekutajia vitu alivyo achieve kiba na wewe nitajie vitu walivyo achieve wote hao uliowataja ambavyo Ali kiba hajawahi kuachieve, na ukiweza kutaja nakupa laki moja cash, pia nitajie tuzo kubwa mbili afrika ambazo profesa jay kawahi kushinda ukinitajia nakupa milioni moja,
 
Umejaribu kujitafuna sana dada, pole sana. Alikiba Unaweza kumzungumzia kama Mondi hayupo labda. Yaani tumuweke level za akina Harmonize kisha ndipo utaje hizo ngonjera zako. Eti Kafanya show kubwa na RKelly.Sasa ukianza kutaja Collabo si Mondi anampiku mara 10000000000! Mengine muwe mnakubali tu Mondi ni Mrithi wa Michael Jackson Kwa Africa
Mavi ya kuku wewe hivi unajua hata kusoma wewe? Hivi umeishia darasa la ngapi wewe? Umeelewa nilikuwa namaanisha nini kwenye hii post? Umekuja kimatako matako bila hata kuelewa nazungumzia nini nimekudharau sana,
 
Alikiba unamuweka kwenye list ya ma legend kwa kipi alichofanya kwenye huu Music....

sasa unawezaje kuitaja bongofleva bila waasisi wake?

Rayvanny anamtaja, Babu Tale anamtaja, wewe kurungu unagoma, una akili? au ushajazwa chuki kama mwafrika halisi imekujaa haujielewi
 
Alikiba ni mtu anayependa kufanya mambo yake mwenyewe mwenyewe tofauti na Diamond. Alikiba hata collabo na wasanii wa njee amna kama zipo zinahesabika halengi mbali kastick one place tofauti na mwenzake ndiyo maana mwenzake anamzidi leo hii ukienda Congo,Nigeria,Kenya,na nchi zingine wanamjua sababu ya Kazi alizofanya na wasanii wao watz tuwe wakweli jmn. .....
Unamuongelea Mbosso na Lavalava umeangalia aina ya mziki wanaofanya?Wao mziki wao umestick in one area ndio maana hawamove sana. Ryvanny ni msanii mkubwa sana atafute collabo na wasanii wa njee kama boss wake alivyostruggle atafika mbali sana huyu kijana
 
Back
Top Bottom