Nguvu iliyotumika kudhibiti Waandamanaji Oktoba 29, 2025 ilikuwa kubwa kuliko uhalisia
Katika historia ya Tanzania, suala la matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji imekuwa ni suala geni na lenye gumzo kubwa ndani na nje ya mipaka ya nchi.
Jamii ya kidemokrasia, maandamano ni moja ya njia...
Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali...
Familia za wazamiaji wengi kutoka west africa walibaki na maswali kuhusu ukimya mkali wa ndugu zao walio waaga kwenda kutafuta maisha ughaibuni kwa kupitia njia za north africa.
Miaka ilipita na ukimya mkali, wanafamilia walidhani wamefariki au pengine kukamatwa na makosa mbali mbali...
Wakuu,
Kwa mujibu wa takwimu za Taasisi ya Transparency International, ambayo huandaa ripoti ya kila mwaka ya kuonesha takwimu na mwenendo wa rushwa duniani (Corruption Perception Index Report) Tanzania imepata alama 40 chini ya 100 ikiwa ni pungufu wa nafasi moja ukilinganisha na mwaka 2024...
Sidhani kama kuna mtu anamsumbua Trump akili kama huyu mwanamke wa Kisomali Ilhan Omar ambaye ni raia wa Marekani na congresswoman wa jimbo la Minnesota, Marekanii
Ilhan anapenda sana kupinga utawala wa Trump kuhusu policy zake za immigration, serikali yake, ICE, chuki dhidi ya waislamu nk...
Jamani habarini wana jf kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa huyu mwanamke hivyo nahitaji uzoefu kwa wanawake na wanaume walio oa na kuishi na wanawake wenye mimba.
Ni kwamba mm nina mke tumeishi vizuri tu lakini ndani ya wiki tatu zilizo pita kujinunisha bila sababu,majibu ya hovyo ndani...
Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
Mazoezi si tu kwa ajili ya kuonekana vizuri, bali ni uwekezaji katika usalama wa ndani wa mwili wako. Kwa kujenga misuli imara na mifupa migumu, unatengeneza ngao ya asili inayoweza kukuokoa dhidi ya madhara makubwa ya ajali au mapigo ya ghafla.
Katika ulimwengu wa afya, mazoezi mara nyingi...
Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada.
Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na Nchi zote za Jumuiya ya Ulaya na Mataifa mengine ya Magharibi kama Uingereza na Canada kwa namna...
Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji.
Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo;
1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
Siku ya 29 Oktoba 2025 ilianza kama siku nyingine ya kawaida kwa George Chipeta, fundi wa umeme wa magari anayejitafutia riziki kwa jasho la mikono yake. Asubuhi hiyo alichukua pikipiki yake mwenyewe, akaondoka Vingunguti, akavuka daraja kuelekea Tabata kufuata spare ya mteja. Aliipata spare...
Siku zote haki imekuwa ikitajwa kuwa inatafutwa, inapiganiwa. Huwezi kuletewa kwenye sahani.
Kitendo cha kupinga dhulma, hatimae kikaleta maridhiano. Na mechi ikaendelea.
Wameacha funzo kubwa hasa katika medani za siasa, maalum kwa Tanzania ambao tunapiga kelele za amani bila kujali haki...
Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na washirika wao wote kufikishwa kwenye Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Kimataifa pale ndipo Serikali ya Tanzania itaanza kuongozwa kwa akili na sio ujinga na upumbavu wa ki ccm.
Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na...
Ubinadamu haupo kwa kila mtu kuna wengine kimaumbile ni watu lakini ndani ni wanyama wakatili sana pengine zaidi hata ya hao wanyama mwitu.
Ukilitambua hilo utakuwa makini sana kwa sababu furaha yako itamaliza na mtu ambaye ulitarajia mazuri kwake .
Leo hii unaweza kutumia mtumbwi wako...
Mashabiki wengi wa timu ya Taifa ya Nigeria wanahofu ya kukosa nafasi ya kuingia uwanjani kuiunga mkono timu yao hii leo , kwa sababu mashabiki wa Morocco wamenunua tiketi zote. Hii sio mara ya kwanza kwa Morocco kufanya hivyo, walifanya hivyo mwaka jana wakati wa fainali ya timu ya wanawake...
Ufuatiliaji wangu mdogo wa masuala ya kisiasa, umenifanya nifahamu kuwa asilimia tisini na tisa nukta tisa tisa (99.99%) ya machafuko ya kisiasa na kijamii kwenye nchi zote duniani, husababishwa na wanasiasa walioko madarakani.
Lakini miongoni mwa nahau ambazo hutumiwa na watawala dhidi ya...
SWALI KWA KIKWETE: KAMA AMANI YA KUDUMU SIO TUNDA LA HAKI WATANZANIA TUNATOKAJE OKTOBA 2025 NA KUFIKA KWENYE UFALME WA HAKI NA AMANI TUNAKOPASWA KWENDA?
Mpendwa Jakaya Kikwete,
Rais wa Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Tangu 21 Desemba 2005 hadi 5 Novemba 2015.
Nakuandikia tena...
Ndugu zangu waislam na wakristo
Watu wa mungu hawaogopi kufa wala kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli na hao ndio walio changia nchi kupata uhuru hapo awali.
Mungu ataki waoga anataka mashujaa wenye msimamo wa haki kwenye hali yoyote ile wakati huu nchi inapo pitia majaribu tunapaswa...
Watu maarufu, hasa viongozi wa kisiasa au wanaharakati, huwekewa sumu mara nyingine kwa sababu ya misimamo yao, ushawishi mkubwa, au kuwa tishio kwa maslahi ya watu fulani wenye mamlaka au maslahi ya kisiasa, kiuchumi au kijeshi.
Hapa kuna sababu kuu zinazochangia hali hii:*
1. Migogoro ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.