Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,461
- 9,470
Hakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki.
Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM.
Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili timamu anajua kabisa amewekwa ndani bila kosa lolote.
Mahakama inatambua hilo na ndio maana ilikataa hata kielelezo ambacho wao serikali walitegemea kitakuwa na mashiko.
Ufisadi na nepotism ni tatizo kubwa kwenye taifa lolote.