KERO Mamlaka zichukue Hatua Dhidi ya Apps za Mikopo. Zinatoza Riba zaidi ya 50%, BoT ifuatilie

KERO Mamlaka zichukue Hatua Dhidi ya Apps za Mikopo. Zinatoza Riba zaidi ya 50%, BoT ifuatilie

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
photo_2026-05-19_17-42-37 (2).jpg
photo_2026-05-19_17-42-37.jpg

Mamlaka zichukue hatua kuhusu hizi Apps za mikopo online imekuwa ni tabia ukiingia kukopa unaoneshwa unaweza kukopa mfano Shilingi 25,000 marejesho ni Shilingi 41,600 ndani ya siku 7 hiyo Interest rate ni more than 50% hapana hii sio sawa.

Kwanza zingekuwa na nafasi ya kuchagua kwa mkopaji muda wa kulipa mkopo huo labda wiki 2 ama siku 20 lakini wao wanataka ndani ya siku 7 na ukiangalia wanapiga simu siku kabla hazijatimia za kulipa mkopo na vitisho kibao. Hii sio sawa.
 
Hao watu hawakawii kukutia aibu. Achana nao tu.

Mikopo ya kukopa mtandaoni ni ile tu ya makampuni ya simu.
 
Watu wamesha lalamikia sana Hilo BOT wamesha wahi kutoa mpaka statement na kusema kwamba hawazitambui hizo kampuni

Lakini Cha ajabu hizo kampuni bado Zina run business seems Kuna viongozi wana nufaika na uwepo wa hiyo biashara so wana jifanya wanaikana in public lakini wanaiunga mkono gizani

Maana nilitegemea kuona zinafungiwa na wahusika wana fikishwa kwenye Vyombo vya Sheria lakini ndio kwanza company Zina operate kazi zao licha ya BOT kutoa tamko kuwa haizitambui

Nchi ya ajabu sana hii
 
Back
Top Bottom