Marekani yaishambulia kwa makombora Iran kwa walichokiita ni hali ya kujilinda dhidi ya vitisho vya Iran

Marekani yaishambulia kwa makombora Iran kwa walichokiita ni hali ya kujilinda dhidi ya vitisho vya Iran

Protect

Senior Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
121
Reaction score
430
Jeshi la Marekani usiku huu wa tarehe 26/05/2026 limefanya mashambulizi ya kijeshi kwenye sites za kurushia makombora za Iran na boti ambazo wamedai zilikuwa zinajaribu kusimika mabomu baharini
==========

US military says it struck southern Iran in 'self-defence'​

The US military said it conducted "self-defence" strikes on Iran on Monday, targeting a number of sites in the south of the country.

In a statement, US Central Command (CENTCOM) spokesperson Captain Tim Hawkins said the targets included "missile launch sites and Iranian boats attempting to emplace mines".

Capt. Hawkins said the move was to "protect our troops from threats posed by Iranian forces", adding that CENTCOM continues to use "restraint during the ongoing ceasefire".

Chanzo: Sky News
 
Tuliambiwa mazungumzo yanaendelea vema na wanakaribia kuhitimisha ili wasaini mikataba.
Kinachoendelea sasa ni dalili kwamba mazungumzo yalikuwa ya Hila.
Hili litaongeza joto la mapigano na kuvuruga kabisa Diplomasia ya kumaliza vita.
 
Trumpth katishiwa na mayahudi , hana jinsi .
 
Makafiri ya iwambi na itezi roho kwatu wakiona kobaz wanakufa, halaf baadae watasema dini yao ya kigalatia inafundisha upendo, aman na haki Iran ndo mchokoz
 
Makafiri ya iwambi na itezi roho kwatu wakiona kobaz wanakufa, halaf baadae watasema dini yao ya kigalatia inafundisha upendo, aman na haki Iran ndo mchokoz
si mnasema marekani ni wapagani, sasa wagalatia wa kuitwanga iran wametokea wapi hapo?
 
Back
Top Bottom