Shalom Shalom wakuu...!!
Katika kuperuzi kwangu mtandaoni nimekutana na taarifa kutoka kwa shirika la habari la kimataifa la Al Jazeera ikisema kuwa bei ya mafuta imeshuka sana katika viwango ambavyo havijapatwa kushuhudiwa toka vita ya Marekani akishirikiana na Israel dhidi ya taifa la Iran...
Katika wodi za uzazi, sauti za uchungu na matumaini hukutana. Wakati mwingine, dakika chache ndizo hutenganisha uhai na mauti. Ndipo upasuaji wa dharura unapokuwa tumaini la mwisho. Lakini nyuma ya kila uamuzi huo, kuna swali lisiloepukika: je, hatua hiyo imechukuliwa kwa sababu sahihi za...
Belgium na Senegal Kukutana Katika Hatua ya 32 Bora Kombe la Dunia 2026
Belgium walijihakikishia kumaliza kileleni mwa Kundi G baada ya ushindi mnono katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi, na sasa watavaana na Senegal katika hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026 mjini Seattle.
Belgium...
"Wakati Serikali ikijitetea kuifanya TPDC kuwa muagizaji pekee wa mafuta kwa kigezo cha kwamba itapunguza bei ya mafuta nchini, viwango vya faida (premium) vilivyowekwa na Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) kwa miezi ya Mei na Juni baada ya mfumo wa ushindani kufutwa, viko juu zaidi...
Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la nuclear isingeweza kufanya hivyo kwakua ni kinyume na maadili ya kidini.
Leo kiongozi mkuu wa kidini...
Nikikumbuka, TAARIFA ya waziri mkuu mstaafu dhidi ya Afya ya Hayati magufuli kwa wananchi wa Tanga, aliwambia naomba kunukuu" Rais WENU ni mzima wa buheri WA afya, yupo imara kama CHUMA na anawasalimia wotee" wananchi heheeeeeeee vicheko na nderemo😚🤣😊😁😂😊🤣 staki niamini km pm hakuwa na TAARIFA...
Kwa mujibu wa rekodi za kihistoria, yalifanyika maandamano siku ya Jumamosi, 22 Oktoba 1966. Hapa chini kuna mfuatano wa matukio kwa tarehe:
4 Oktoba 1966:
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria iliyofanya National Service (JKT) kuwa ya lazima kwa wahitimu wa Kidato cha...
Mara.zote.watawala wakiishiwa nguvu hizi ndo mbinu wanazoweza kuzitumia maana kuua siyo suluhisho.
1. Divide them and rule..
2. Fake Propaganda and illusions..
3. If you can't convince them, confuse them rejea history ya ujenzi wa mnara wa babel (Mwz 11, 1-9)
4. Let them fight each other...
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Post zilizopita nilisema serikali au mtu hutawaliwa na kwa kutumia mambo matatu. Yaani ili serikali yeyote dunia iongoze hutumia. Mambo haya matatu;
a) Hofu
Kile watu wanachokiogopa. Serikali nyingi za kimabavu hutumia njia hii. Hata hivyo hasara ya njia hii ni...
Nimetafakari sana matukio yanayoendelea Tanzania hivi karibuni. Kuna jambo moja la kutisha sana nimegundua.
Ni kwamba haya mambo yanayoendela Tanzania, hususa kinachoonekana kama ni mgogoro wa CCM dhidi ya Chadema na suala la Katiba, ni mambo yalipangwa na yanaratibiwa ili kuwagawa Watanzania...
Ripoti ya The Economist Intelligence Unit (EIU) kwa kushirikiana na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama UN Women na UNFPA inasema kuwa ukatili unaochochewa na teknolojia na mifumo ya Akili Unde (AI) umekuwa dharura kubwa ya kimataifa, ambapo kati ya asilimia 16 hadi 58 ya wanawake duniani...
Ghana imepitisha moja ya sheria kali zaidi barani Afrika dhidi ya ushoga baada ya Bunge kuidhinisha Muswada wa Haki za Kijinsia za Binadamu na Maadili ya Familia wa mwaka 2025.
Sheria hiyo inaweka adhabu ya kifungo cha hadi miaka mitatu kwa vitendo vya ushoga, na hadi miaka mitano au zaidi kwa...
ANDIKO LA Jebra Kambole
Amri ya hivi karibuni ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iliyotolewa tarehe 28/05/2026 na Meya wa Kinondoni Mh. Songoro Hamis Mnyonge ya kuwaondoa kwa nguvu watu wanaoomba kwenye mitaa ya Dar es Salaam ni sehemu ya wimbi linaloongezeka la hatua kali za manispaa dhidi...
Baada ya kutumia social media nimeona comments nyingi sana za chuki baina ya mataifa
For example kukiwa na topic yoyote ile inayosifia Tanzania, utaona a lot of negative comments za Wakenya. Watanzania ni mara chache sana kukuta wanacomment negatively kwenye posts za Kenya. Zaidi utawakuta...
Yawezekana msomaji unajiuliza mie sifi Leo wa jf nayakuaje ya mafile yaliyopo mezani kwa mama tena ndani ya ikulu mpya?
Unapijiuliza hivyo jiulize niliwezaje enzi za jiwe kuwa namtajia mafile aliyokuwa anayarika ruka wakati wa UTAWALA wake dhidi ya operesheni yake ya kupasua jipu?
Enzi hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.