Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 6,897
- 14,222
Baada ya kutumia social media nimeona comments nyingi sana za chuki baina ya mataifa
For example kukiwa na topic yoyote ile inayosifia Tanzania, utaona a lot of negative comments za Wakenya. Watanzania ni mara chache sana kukuta wanacomment negatively kwenye posts za Kenya. Zaidi utawakuta kwenye posts za Tanzania wakijaribu kutetea nchi yao dhidi ya comment negative za Wakenya
Hii trend nimeiona sio tu Tanzania vs Kenya, bali mataifa mengi. Most common ones ni
Kukiwa na post inayosifia jinsi Africa inavyoendelea kukua na life expectancy imeongezeka etc na vitu kama hivyo, ukiingia comment section utakuta wazungu mainly from Europe wanatoa comments kama "Thanks to colonisation" au "They still can't feed themselves" " They have low IQ" "They couldn't make it without Europe" and a lot of racist comments
Aidha, topics zinazohusu how developed Europe is, utakuta Africans kwenye comment section wakicomment vitu kama "Wamejenga Ulaya kwa resources zetu" "Bila Africa Ulaya ingekuwa msitu" nk
Recently imeongezeka beef kati ya Black Americans vs Africans, Black Americans wengi wameanza kukana kuwa wao hawajatokea Africa na kwamba Ancestors wao walikuwepo America always. Wameanzisha hadi jina la FBA (Foundational Black Americans) ili kujiondoa kwenye African ancestry. Walianza kupush agenda ya kuboycott saluni za Waafrika Marekani kwa sababu wanadai waafrika wakienda Marekani hawawaheshimu Black Americans
All in all, katika hizi chuki za mitandaoni sijaona watu wenye chuki kama wazungu (kutoka pande zote Marekani na bara zima la Ulaya)
Wote hawa wengi wao wanapondea post kuhusu nchi za Asia au Africa. Pia kuna beef kubwa kuliko hata la nchi za Kiafrika kati ya USA (as a country) vs Europe (as a continent)
Watu wa Ulaya wanadai Wamarekani wengi ni uneducated, arrogant, rude, wanaongea kwa sauti kubwa sana hadharani, wanadai Europe has more diversity than USA na American people are so dumb
Aidha watu wa USA wanapenda kusema they are the greatest nation on Earth, richer than all Europe combined, more diverse population na kuwa ni superior than Europe, kwamba Europeans are just jealous
So, huwa napitia comments mara nyingi nikiwa free na ninaishia kucheka tu ila bado sielewi kama hizi online wars ni chuki za mitandaoni tu, au hadi in reality watu wanachukiana hivi.

- Nigeria vs South Africa
- Nigeria vs Ghana
- Nigeria vs Kenya
- Zambia vs Zimbabwe
- Malaysia vs Indonesia