Kuna story imeleta mjadala mkubwa sana kwa wananchi baada ya mwanamke mmoja kufungua kesi dhidi ya Kenya Medical Research Institute (KEMRI) kutokana na conflicting HIV results.
According to taarifa, mwanamke huyo alipimwa HIV positive mwaka 2023 katika hospitali ya serikali na akaanza ART treatment kama kawaida. Records zake zinaonyesha alikuwa under care kwa muda, kitu inaonyesha diagnosis ilikuwa confirmed.
Lakini mambo yalibadilika ghafla baada ya yeye kushiriki maombi ya kidini. Baada ya hapo, akaanza kupimwa HIV negative mara kadhaa katika different facilities. Hii imeacha maswali mengi: ilikuwa misdiagnosis ama ni miracle healing?
KEMRI baada ya kufanya uchunguzi wao, wamesema hakuna evidence kuwa huyo mwanamke aliwahi kuwa HIV positive kauli ambayo sasa imeleta utata mkubwa na hata kupelekea kesi kufunguliwa.
Kwa wananchi wa kawaida, hii issue inaleta hofu kubwa. Kama results zinaweza kinzana hivi, je tunaweza trust vipimo vya hospitali zetu? Na wale wako kwa medication bila uhakika je?
Serikali na wadau wa afya sasa wanatazamiwa kutoa majibu ya wazi, kuhakikisha mfumo wa testing uko reliable kwa sababu afya ya mwananchi si ya kubahatisha.
Source: TV47