Samia Suluhu kumuomba Putin ampe Backup dhidi ya Donald Trump? Anamjua hayati Ayatollah Ali Khamenei?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,353
Reaction score
61,376
Je,, Samia Suluhu anaenda Urusi kumuomba Putin ampe Backup dhidi ya Donald Trump? Anamjua hayati Ayatollah Ali Khamenei yaliyomkuta? Alijuwa rafiki wa Putin kufa kuzikana.. Hakuamini atakufa mapema.

Ukiua binadamu hakuna wa kukutea. 29.10.2025 mliua Watoto wetu mkidhani Urusi atawatetea.

Kwa ufupi Marekani hawakwepeki, ushaingia kwenye rada yao. Na hivi Samia anavyounga mkono Palestina waziwazi..

Waulize marafiki wa Urusi Venezuela kilichowapata na Maduro wao.

Halafu kuna wapuuzi wanafananisha Ziara ya Julius Nyerere Nchini Urusi na hii ziara ya Mzanzibari Samia alikosa dira zaidi ya kuua na kufunga Wapinzani wake wa kisiasa.

Nyerere alienda Urusi Kutafuta msaada kwa sera ya Ujamaa na kujitegemea na kutafuta msaada wa harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika kwani Nyerere alikuwa mstari wa mbele kuunga mkono mapambano dhidi ya ukoloni na ubaguzi.

Samia nini kinampeleka kama si umbea na kupewa vyeti feki vya kupigia picha.

Samia anatuzwa kafanya nini zaidi ya kugawa bure maliasili za Tanganyika?

Trump akitaka anaweza akakunyakulia huko huko Moscow
 
Je,, Samia Suluhu anaenda Urusi kumuomba Putin ampe Backup dhidi ya Donald Trump? Anamjua hayati Ayatollah Ali Khamenei yaliyomkuta?

Kwa ufupi Marekani hawakwepeki, ushaingia kwenye rada yao.

Waulize marafiki wa Urusi Venezuela kilichowapata na Maduro wao
Kuna nyakuanyakua, USA!
 
USA kama kweli wanataka kuwa wajibisha wahusika wa uovu unaoendelea nchini Binafsi naona wapo slow sana

Wanachelewesha sana mambo ,

Halafu Hilo ulilolisema ni sahihi kabisa 😄

Kuna namna kubwa sana ya hiyo safari watu wanataka kwenda kuihonga Nchi yetu Kwa Russia ili Russia amtongoze USA wagawane pasu Kwa pasu then USA aachane na mpango wa kutawala kuwawajibisha mboga mboga
 
Naona hii ziara inaenda kuwasha moto zaidi kwenye ule mswaada wa Marekani kwa Tanzania. Timing ya kwenda Russia nadhani haijawa well calculated. Hata kama ulikuwa mpango wa huko nyuma before mswaada wa Marekani bora wangehairisha kwa sasa.
I think inaweza kuwa hiyo safari pia inatumika kama mkakati wa kuwaomba Russia aongee na USA wauchune

Wapewe Madini na baadhi ya resources Kisha wapige kimya naliona Hilo zaidi
 
Je,, Samia Suluhu anaenda Urusi kumuomba Putin ampe Backup dhidi ya Donald Trump? Anamjua hayati Ayatollah Ali Khamenei yaliyomkuta?

Ukiua binadamu hakuna wa kukutea. 29.10.2025 mliua Watoto wetu mkidhani Urusi atawatetea.

Kwa ufupi Marekani hawakwepeki, ushaingia kwenye rada yao.

Waulize marafiki wa Urusi Venezuela kilichowapata na Maduro wao.

Halafu kuna wapuuzi wanafananisha Ziara ya Julius Nyerere Nchini Urusi na hii ziara ya Mzanzibari Samia alikosa dira zaidi ya kuua na kufunga Wapinzani wake wa kisiasa.

Nyerere alienda Urusi Kutafuta msaada kwa sera ya Ujamaa na kujitegemea na kutafuta msaada wa harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika kwani Nyerere alikuwa mstari wa mbele kuunga mkono mapambano dhidi ya ukoloni na ubaguzi.

Samia nini kinampeleka kama si umbea na kupewa vyeti feki vya kupigia picha.

Samia anatuzwa kafanya nini zaidi ya kugawa bure maliasili za Tanganyika?

Trump akitaka anaweza akakunyakulia huko huko Moscow
Hela zote za misaada na mikopo kutoka Marekani, China na ulaya kasafisha. Sasa hivi anaenda kula za walipa kodi wa Urusi.
 
I think inaweza kuwa hiyo safari pia inatumika kama mkakati wa kuwaomba Russia aongee na USA wauchune

Wapewe Madini na baadhi ya resources Kisha wapige kimya naliona Hilo zaidi
Unadhani kwa hali ilipofikia US anaweza kuback down completely asifanye chochote. Possibly anaweza asiguse baadhi ya maeneo mostly their assets.
 
Kwa uswahili wa Watanzania wao wanajua kua wanaikomoa marekani
Naona hii ziara inaenda kuwasha moto zaidi kwenye ule mswaada wa Marekani kwa Tanzania. Timing ya kwenda Russia nadhani haijawa well calculated. Hata kama ulikuwa mpango wa huko nyuma before mswaada wa Marekani bora wangehairisha kwa sasa.
 
Naona hii ziara inaenda kuwasha moto zaidi kwenye ule mswaada wa Marekani kwa Tanzania. Timing ya kwenda Russia nadhani haijawa well calculated. Hata kama ulikuwa mpango wa huko nyuma before mswaada wa Marekani bora wangehairisha kwa sasa.
Wamefanya hivi kuwadindishia wamarekani,kwamba mkijifanya kutubana,tunao wa kuwakimbilia!
 
Je,, Samia Suluhu anaenda Urusi kumuomba Putin ampe Backup dhidi ya Donald Trump? Anamjua hayati Ayatollah Ali Khamenei yaliyomkuta? Alijuwa rafiki wa Putin kufa kuzikana.. Hakuamini atakufa mapema.

Ukiua binadamu hakuna wa kukutea. 29.10.2025 mliua Watoto wetu mkidhani Urusi atawatetea.

Kwa ufupi Marekani hawakwepeki, ushaingia kwenye rada yao. Na hivi Samia anavyounga mkono Palestina waziwazi..

Waulize marafiki wa Urusi Venezuela kilichowapata na Maduro wao.

Halafu kuna wapuuzi wanafananisha Ziara ya Julius Nyerere Nchini Urusi na hii ziara ya Mzanzibari Samia alikosa dira zaidi ya kuua na kufunga Wapinzani wake wa kisiasa.

Nyerere alienda Urusi Kutafuta msaada kwa sera ya Ujamaa na kujitegemea na kutafuta msaada wa harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika kwani Nyerere alikuwa mstari wa mbele kuunga mkono mapambano dhidi ya ukoloni na ubaguzi.

Samia nini kinampeleka kama si umbea na kupewa vyeti feki vya kupigia picha.

Samia anatuzwa kafanya nini zaidi ya kugawa bure maliasili za Tanganyika?

Trump akitaka anaweza akakunyakulia huko huko Moscow
Sijui lakini.PUTIN ana damu nyingi mikoni mwake.wa ukraine kawafanyia kitu kibaya sana.
 
Wamefanya hivi kuwadindishia wamarekani,kwamba mkijifanya kutubana,tunao wa kuwakimbilia!
Vikwazo vya Marekani wakikuwekea asilimia kubwa ya mataifa duniani yanakukimbia. Hata hapa Afrika wanakutenga au wanaishi nawe kimachale sana, usije kuwapaka mavi yako wakanuka pia.😆😆
 
Je,, Samia Suluhu anaenda Urusi kumuomba Putin ampe Backup dhidi ya Donald Trump? Anamjua hayati Ayatollah Ali Khamenei yaliyomkuta? Alijuwa rafiki wa Putin kufa kuzikana.. Hakuamini atakufa mapema.

Ukiua binadamu hakuna wa kukutea. 29.10.2025 mliua Watoto wetu mkidhani Urusi atawatetea.

Kwa ufupi Marekani hawakwepeki, ushaingia kwenye rada yao. Na hivi Samia anavyounga mkono Palestina waziwazi..

Waulize marafiki wa Urusi Venezuela kilichowapata na Maduro wao.

Halafu kuna wapuuzi wanafananisha Ziara ya Julius Nyerere Nchini Urusi na hii ziara ya Mzanzibari Samia alikosa dira zaidi ya kuua na kufunga Wapinzani wake wa kisiasa.

Nyerere alienda Urusi Kutafuta msaada kwa sera ya Ujamaa na kujitegemea na kutafuta msaada wa harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika kwani Nyerere alikuwa mstari wa mbele kuunga mkono mapambano dhidi ya ukoloni na ubaguzi.

Samia nini kinampeleka kama si umbea na kupewa vyeti feki vya kupigia picha.

Samia anatuzwa kafanya nini zaidi ya kugawa bure maliasili za Tanganyika?

Trump akitaka anaweza akakunyakulia huko huko Moscow
nadhani sio muhimu na sio dhumuni la ziara ya kihistoria ya Dr Samia Suluhu Hassan huko Rassia.

hakuna haja ya kujenga dhana potofu na useless gentleman 🐒
 
Baada ya kuwahonga waarabu misitu na mbuga kisha kutupwa nje bado anahangaika na mrusi? Mmarekani kapewa Gas kule Ngara
 
Back
Top Bottom