dhambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Pope Francis: Ndoa za jinsia moja ni dhambi lakini wahusika wakaribishwe kanisani wasitengwe na ikibidi kupewa baraka

    Kiongozi wa kanisa katoliki duniani ametoa waraka unaoelezea kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo suala la mahusiano baina ya waumini. Katika waraka huo Kiongozi huyo ameruhusu makasisi wa kanisa hilo kuwapokea na ikibidi kuwabariki wale wanaojihusisha na mahusiano ya jinsia moja. Akisisitiza kwamba...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Shetani anawapepeta vijana kadri atakavyo, vijana wanakufa wakiwa wadogo. Acheni dhambi vijana hamtatoboa

    Hello! Tangu kale na kale vijana, wazee, watoto na watu wa Rika zote wanakufa lakini sasa hii trending ya vifo vya vijana ina walakini. Nimetafakari kwanini vijana wanakufa sana, kijana anakufa anawaacha wazazi wake wakiwa na nguvu, kijana anakufa anawaacha bibi na babu zake wangali hai...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwani Makonda alitenda dhambi ngapi? Mbona anataka kuombewa na kila mtu?

    Kiukweli sijawahi kuona mtu anayetaka kuombewa na kila dhehebu, huyu ni wa kwanza , yaani ukivaa msalaba au Baraghashia , au ukishika Tasbih au Rozali basi atakuvamia umuombee! Kwanini anataka aombewe na kila mtu , alitenda Makosa gani? Je ni mzima au amepata matatizo ya Ubongo , hivi hawa...
  4. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania According to Islam, masterbation si dhambi

    Jana wakati napitapita zangu YouTube nikisikiliza mawaidha ya Dr Zakir Naik, I stepped on this little piece information kutoka kwa bingwa mwenyew. Huyu jamaa kweny video hapo chini nadhani waislamu wengi watakuwa wanamjua, ni bingwa wa kuwasilimisha wakristo, anasifika duniani kote na waislamu...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ushamba sio dhambi skendo ya Loveness Tarimo jibu jepesi kwa sisi Tuliofika nchi za Asia hasa Thailand huyu ni Ladyboy wa mchongo

    Niwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu. Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Salaam shalom. INTRODUCTON. Imeandikwa, Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na haki, hata atuondolee dhambi zetu na kutusafisha na udhalimu wote.( 1 Yoh 1:9). Dhambi ni kutotii, kwenda kinyume na maelekezo ya Mungu. Na Roho mtakatifu yupo kutukumbusha dhambi zetu Ili tuzitibie Ili...
  7. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wateule wa Kristo watakaa mbinguni na kujifunza hukumu ya wenye dhambi kwa miaka elfu moja (1,000) pekee yake?

    Leo nimekaa na kujiuliza. Kwa wakristo tunaambiwa baada ya Yesu kurudi na kuwachukua wateule wake hao wateule watakaa mbinguni kwa miaka 1,000 wakijifunza hukumu ya wenye dhambi. Hiyo miaka 1,000 ni sawa na masaa 8,760,000. Na katika kujifunza hiyo hukumu hao wateule watakuwa wanaangalia "video"...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dhambi kubwa na ndogo?

    Bado najaribu kujiuliza mtu aliyeuwa maksudi kabisa mfano hao mafreemason na mtu aliyeiba machungwa mawili akiwa na njaa wote watahukumiwa sawa mbele za bwana kama iwapo hawatatubu?? Kumbuka Amri zinasema kuiba na kuua zote ni dhambi .
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wenye imani kwamba mitandao ya kijamii haiwezi kukupa mke, mume au mpenzi wa kweli bora wajitoe wabaki kwenye mfumo wa kizamani na sehemu za ibada

    Utandawazi na njia za masiliano zime rahisisha namna ya kukutana na kufahamiana na watu tofauti na njia za kizamani za hadi ukutane na mtu uso kwa uso, mfano kanisani, kongamano, bar, harusini, dukani, barabarani, msibani, etc.etc. kufahamiana kwa namna yoyote ile ni halali, kitu muhimu ni...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Je, nimetenda dhambi?

    Nianze kwa ku kiri kuwa nimelelewa kwenye maadili ya kikristu lakini pia nimebahatika kuishi maeneo ambapo Waislam ni wengi. Tukiwa wadogo wazazi wetu walituruhusu tuhudhurie Madrasa. Watoto wengi hapo mtaani kwetu walitoka familia za Kiislam. Katika harakati zangu za kijipanga kupambana na...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kila dhambi unayofanya kuna majini (mapepo) maalumu yako nyuma yake

    Majini (mapepo) ua roho wachafu ni mengi kwa idadi hayahesabiki. Yote yako hapa duniani. Sasa tofautisha mtu kupagawa na majini (possessed) na mtu kutawaliwa na majini (Controlled). Watu wanaopagawa na majini ni asilimia kama moja tu asilimia 99 ya watu wanatawaliwa na majini. Hawa huwezi...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Je, madai ya Hellen White yana ukweli kuwa shetani na malaika zake walitubu dhambi baada ya uasi lakini Mungu aligoma kuwasamehe?

    Wadau hamjamboni nyote? Naomba kujua kama upo ushahidi wa Maandiko kuthibitisha madai kuwa Shetani na Malaika zake baada ya uasi mbinguni waliamua kumlilia Mungu wao awasamehe ila aligoma? Nimeweka nukuu ya Mama Hellen G White Nabii wa Wasabato hapo chini. "After Satan was shut out of heaven...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeanzisha biashara ya parking Muhimbili?

    Ni nani alieanzisha biashara ya parking MUHIMBILI? Pesa inayopatikana inamnufaisha nani? Ni haki kumtoza pesa mgonjwa kwa kupaki gari lake tu? Ni kweli binadamu mtanzania amekosa utu na huruma kiasi Cha kutoza pesa WAGONJWA?
  14. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Wale waliosema Bandari imeuzwa tubuni mapema dhambi zenu Mkataba wenu feki unawaumbia Mchana kweupe Samia hadi 2030

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imealika kampuni kutuma zabuni kwa ajili ya kusimamia kituo cha makontena (Container Terminal II) kinachohusisha gati namba 8 hadi 11 katika Bandari ya Dar es Salaam, Hii ni eneo ambalo hapo awali lilisimamiwa na kampuni binafsi ya kimataifa ya kuhudumia...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Tusijisahaulishe, masikini ni matokeo ya dhambi. Kabla ya hapo Mungu alipanga tuishi kifalme

    Hii ni kweli. Mungu ni Tajiri mkubwa anayemiliki vyote. Na sisi ni watoto wake, na sifa ya mtoto ni kurithi vya baba. Hivyo kila anachomiliki Mungu ni cha kwetu. Kabla ya udanganyifu wa Adam na Eva kula tunda tulikusudiwa binadamu wote kuwa matajiri sana na kuishi kifalme. Tukio la kuacha...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kidini wanaondoa dhambi?

    Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hakuna ondoleo la dhambi linalotokana na kiongozi wa dini; vitabu vitakatifu vyote vimekabidhi mamlaka yakuondoa dhambi kwa Mungu siyo kwa wanadamu. Kwanini watanzania tumekuwa wepesi kuamini maaskofu na masheikh wanaweza kutuondolea dhambi? Hawa ni viongozi wa...
  17. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kikristo hayakemei maovu na dhambi matokeo yake dhambi zinazoeleka, Sishangai ongezeko kubwa la wanaume wanaoacha kwenda makanisani

    Kitu kisipowekewa juhudi ya kurekebishwa huwa ni suala muda tu kinabomoka, usipoziba nyufa ukuta utabokoka Nimewataja wanaume maana wengi wamebarikiwa uwezo mkubwa wa kutafakari, kwa wanawake ni dhaifu sana kwenye imani, ni ngumu kukuta mwanaume atoe hata elf 3 ya maji wanayonadi ni ya miujiza...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Azam na Dhambi ya Fei Toto itakayowaandama

    Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting. Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli! Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Asema "Kuwatenga Watu Wenye Ulemavu ni Dhambi Kubwa Sana

    Mbunge Martha Mariki Asema "Kuwatenga Watu Wenye Ulemavu ni Dhambi Kubwa Sana WAKAZI wa mkoa wa Katavi wameaswa kutowatenga watu wenye mahitaji maalumu badala yake wawe sehemu ya kuwaelimisha juu ya fursa mbalimbali zinazotolewa na serikali Kwenye kundi hilo. Wito huo umetolewa na Mbunge wa...
  20. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

    Habarini nyote, Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo. Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa nuksi. Itoshe kusema hayo chukueni tahadhari. Yangu ni hayo tu.
Back
Top Bottom