dhambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mapadri na mashehe wanavuta sana sigara. Je, hawajui kuwa hiyo ni dhambi mpya iliyosahaulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu?

    Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya. Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara...
  2. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Kwanini ZINAA ni dhambi?

    Naomba kufahamu kwa nini zinaa inakuwa dhambi? Vitabu vyote vya dini vinapiga maarufu zinaa. Hata mila karibu zote zinakataza zinaa. Naamini hakuna kinachotokea bila sababu, lazima kuna sababu ya msingi kuikataza zinaa. Kama kitendo cha watu kukutana kimwili kingekuwa kibaya. Mbona watu walio...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaomtetea Godfrey Nyange Kaburu kwanini amekatwa katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa Dhambi hizi Mbili Kisheria angetufaa?

    1. Godfrey Nyange Kaburu alishtakiwa kwa Tuhuma nzito za Ubadhirifu ndani ya Klabu ya Simba. 2. Godfrey Nyange Kaburu nae alishawahi Kuishtaki Klabu ya Simba SC baada ya kutokubaliana na Maamuzi fulani Tayari 99.9% ya wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kwa mapungufu yake haya walishakosa...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Dua ya mwenye dhambi haina nguvu ya kushambulia

    Duniani kuna mzaha na utani mwingi sana, utakuta mtu yaani mlimwengu mzinifu, msherati,mlevi, mla rushwa, mbea, muongo, mwizi, mnafiki, mfitini, mtu wa dhuluma,muuaji. Hivi hawa watu wanapata wapi nguvu ya kusema oooh Mungu atakulipia, Mungu yupi huyo anaekuongoza kwenye hizo dhambi zako zote...
  5. Side Makini Entertainer

    JamiiForums Tanzania Sababu 10 za Kuamini Mungu Yupo

    Mungu yupo na sababu za kuamini zipo. Sababu zimeandikwa mbinguni na duniani kwa herufi kubwa kiasi kwamba kila aaminiye aweza kuzisoma; nimesema, kila aaminiye aweza kuzisoma. Nikwambie mapema, sina ushahidi wa kumthibitishia asiyeamini uwepo wa Mungu hata asiweze kuutafsiri vinginevyo; kama...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga ndoa ni dhambi?

    Na kama ni dhambi, ni nani alithibitisha hilo na alitumia vigezo vipi vya kisayansi? Wapo wanao amini ni dhambi, au wengine wanakuwa na hofu ya kuachwa, au wengine wanakuwa na ile hali ya kutokujiamini kwa kujiuliza, atanionaje baada ya kuona utupu wangu n.k. Kwa upande wangu nina ushuhuda wa...
  7. Dr Ahmed Albah-Shahwa

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya dhambi zinazoweza kukufanya kuwahishwa ahera ukiwa China

    Nchini China, baadhi ya makosa ya jinai yanayostahiki adhabu ya kifo na marejeleo ni kama ifuatavyo: 1. Usaliti wa Nchi (Kifungu cha 102) 3. Kushirikiana na adui na usaliti (Kifungu cha 108) 4. Upelelezi au ujasusi (Kifungu cha 110) 5. Kuiba, kupeleleza, kununua na kutoa siri za serikali na...
  8. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Dkt. Bashiru ajibiwe kwa hoja, hajafanya kosa lolote acheni kumshambulia

    WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafsi. --- Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema alichokisema Mbunge Dkt. Bashiru...
  9. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Dhambi Ni kazi Kama kazi zingine na mshahara wake Ni mauti

    Warumi 6:23 “Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.” Shalom Mtu wa Mungu karibu tujifunze Maneno ya Mungu wetu, kama wengi wetu tunavyojua hakuna maisha nje ya Yesu Kristo, yeye pekee ndio sababu ya sisi kuendelea kuishi leo...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wakemee pia Uharibifu wa Mazingira wanapohimiza watu waache dhambi ili mvua zinyeshe

    Pichani ni mti niliokuta umekatwa sehemu ambayo hakuna miti kabisa na kuna shule ya sekondari. Na pia eneo ambalo mti ulikuwepo sio hata uwanja wa mpira. Mimi kama mpenda mazingira nikajiuliza maswali mengi sana yanayoweza kuwa sababu ya kukata huu mti nikakosa sababu yenye mashiko. Nimepanga...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu asema "Punguzeni dhambi mvua zinyeshe"

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaasa Watanzania kupunguza na kuacha kabisa kutenda dhambi na badala yake wamrudie Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na adha ya ukame ulioikumba nchi. Amesema kukosekana kwa mvua, uwepo wa ukame na kukauka kwa maji ardhini ni ishara kwamba watu wanatenda...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dhambi hizi zifuatazo ndizo zinaigharimu Wala Mihogo (Masikini) Yanga SC Mechi za Kimataifa

    1. Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji (hasa wazawa na Wageni) na hili GENTAMYCINE zaidi ya mara Mbili nimelisema hapa hapa JamiiForums ila mkanichukulia poa ila lipo tena sana tu 2. GSM na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Makamu wake Kujimilikisha Yanga SC na Kuwadharau wenye Yanga SC...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

    Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market. Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa...
  14. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Mungu anaweza kutenda dhambi?

    Wakulungwa vipi? Kuna swali huwa linanitatisha. Kama tuliambiwa Mungu anaweza kila kitu. Na mungu ana free will. Je, Mungu anaweza kutenda dhambi?
  15. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba unachokifanya kwenye Bwawa la Nyerere, hii dhambi itakutafuna milele

    Hivi mnafanya hivi kumkomoa mwendazake au kunufaisha mabeberu? Mimi sikuwahi kumpenda mwendazake hadi leo na sitokuja kumpenda ila kwenye suala la madini, SGR na Bwawa la Nyerere nilimuunga mkono maana huo ni utaifa na ni suala la utaifa. Ila kwakweli kwenye Bwawa la Nyerere mnayoyafanya...
  16. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania John Mnyika wakabidhi chama chao, si dhambi kurudi CCM. Ukishindwa kabisa nenda kaungane na Zitto Kabwe kuendeleza Siasa za Upinzani

    Ndugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako. John Mnyika, kwa namna ulivyo...
  17. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Hata uwe deep zaidi kwenye dini hizi dhambi za asili huwezi kuziacha

    Dini/madhehebu yapo kwa ajili ya kutufanya tuishi kwa amani na kutokutenda madhambi. Lakini kuna vitu hata uwe deep kwenye dini huwezi kuviacha kwa wepesi yaani ni ngumu sana. UZINZI Aisee kuchomoka hapa sio rahisi unaweza ukatoka masjid au umetoka kwenye mfungo wa siku nzima lakini ukafanya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mabeberu: Ni haki wao kudhulumu ardhi na rasilimali za nchi zingine, bali ni dhambi kwa wengine kukaribishwa na nchi nyingine kuwa washirika!

    Mpaka leo Marekani inakalia kwa nguvu sehemu kubwa tu ya ardhi ya Syria na wanachimba mafuta huko kwa kuwatumia waasi!! Hutawasikia umoja wa mataifa ukilalamikia hilo!! Marekani iliingia Syria kwa nguvu kwa lengo la kumng'oa rais Saad wa Syria. Urusi ilialikwa na syria ili itoe msaada na urusi...
  19. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Watu kuachana siyo dhambi, talaka siyo dhambi

    Ndugu zangu habari, kichwa cha habari hapo juu chahusika. Huwa kwenye harakati zangu za ulinganiaji wa dini ya kiislamu nikiwa mimi ni mwalimu, mwanafunzi na mlinganiaji wa dini kwa Quraan na Sunna katika njia ya waja wema waliotangulia, ninakutana na kesi nyingi za ndoa ambazo mimi ninapewa...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchezaji Hafai, na Ataenda Motoni kwa Dhambi hii. Subirini tu muone

    Clatous Chotas Chama. Jamani huyu mchezaji ni muongo, ni muongo sijapata kuona. Muongo sana. Na uongo ni dhambi ambayo katika amri kumi ipo. Usiseme Uongo. . Chama anaweza kukudanganya kuwa anaenda mbele kumbe haendi. Anarudi nyuma. Anaweza kukudanganya kuwa anapiga kumbe hapigi. Anaweza...
Back
Top Bottom