Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Chini ya utawala uliopita tumeshuhudia matukio mengi ya ovyo yenye kulifedhehesha taifa kwa kiasi kikubwa.
Ni katika utawala huo kulikuwa na matukio ya watu wengi kupotea katika mazingira ya utata, na hawajawahi...
MZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako..
hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania...
Uwajibikaji ni dhana inayochukuliwa kwa pande mbili katika viongozi mbalimbali wa umma na wale wa siyo wa umma kutokana na mazingira yanayoweza kusababisha viongozi kuingia kwenye hofu ya kuonekana kuwa ni dhambi na ni aibu kufanya hivo.
Mosi,wanaona aibu baada ya kufanya makosa katika utendaji...
Kulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja lakini walishindwa kusogea hii hatua,walau hata kuinusa tu achilia mbali kushinda !!.
Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine.
Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu?
Mithali 6:16-17 inasema
16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba...
Mishahara ya watumishi ni midogo saaana kuliko huduma/jasho wanayoitoa kipindi chote Cha ujana yao. Mishahara ya watumishi haiwatoshi kuishi, kuSomesha, na kujenga nyumba. Kima Cha chini cha mfanyakazi ni shilingi 4000 kwa siku nzima wakati kule Marekani ni dollar 8 (TSH 18,400) kwa saa TU. Hii...
Nikisema niandike hapa ukurasa hautoshi, Chuo pekee Dar cha walemavu Yombo Kiwalani kinapiga Uturn badala ya kusonga mbele tangu Nyerere alipokijenga na Mzee Mengi akawa anafadhili na akajenga madarasa.
Cha kusikitisha kuna mama anaitwa Mariam Chilangai yeye anakaimu ukuu wa Chuo sasa kwa miaka...
Kikristo ni kwamba tunapaswa kutendeana kwa upendo na ukarimu kama Kristo alivyotutendea. Kama Wakristo, tunapaswa kufuata mfano wa Kristo ambaye alijitoa kwa ajili ya wengine na kuwa mfano wa upendo, huruma, na unyenyekevu.
Kadhalika, tunapaswa kuelewa kuwa kila mmoja wetu ana wajibu wa...
Kwa uchache wa ujuzi wangu kwenye Biblia sijawahi sikia mahala ikisema kwamba Punyeto ni dhambi. Lakini viongozi wa kidini wanasema ni dhambi.
Kipi ni kitu kinaonekana au kusemwa ni dhambi lakini hakipo kwenye Biblia?
Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku Waziri Mkuu ndo kwanza anachekelea. Hivi nchi za kiafrika tunelaaniwa?
Rais hawezi kumwambia Waziri...
Nachokoza hii mada naomba tuchangie Kwa weledi na ustaarabu. Kulingana na masimulizi ya Biblia kitabu cha Mwanzo, binadamu wa kwanza Adamu na Eva waliumbwa na kuishi wakiwa uchi mpaka walipotenda dhambi ndipo walipoona soni maumbile yao ya uzazi kutokufunikwa.
Najiuliza kama hawangehalifu...
Habari zenu ndugu zangu, naombeni ufafanuzi
Mungu alishakataza pombe agano la kale na hata Yesu katika ile sala ya baba yetu ulie mbinguni kuna sehemu ya kuomba tuepushwe na majaribu ili tuepuke uovu.
Sasa inakuwaje tena kwamba hii pombe inabidi tuwe wanywaji na sio walevi?
Pombe ni dawa ya...
DSTV waheshimiwe sana. Haka kamvua kidogo tu AZAM haioneshi. Yaani imekata matangazo kabisa.
Kwa manyunyu tu. Tuwaheshimu sana. Miaka yote natumia DSTV hawajawahi kuwa waduanzi hata kidogo.
Itifaki izingatiwe - Mimi ni mkristo
Kuna dem nimempangia sehem hivi karibuni sasa kwa bahati mbaya tumekuja kugundua kuwa nilipompangia ni pemben ya kanisa (haya ya kilokole ambayo ibada ni kila siku)
Sasa shida inakuja wakati wa kuzagamuana unakuta ibada inaendelea hapo au nyimbo ndio...
Habari wakuu!! Leo kuna madhehebu na dini zinadanya watu kuhusu kubagua vyakula mfano nguruwe nk kuwa ukila ni dhambi! Naomba niwatoe hofu kuwa sio dhambi wewe kuleni tu chochote kile kiwekacho mbele yako labda uwe hautumii tu lakini sio kwa maana ya kwamba ukitumia ni dhambi!! Uthibitisho kuwa...
Mi naamini kila dhambi lazima uilipie, ulipaji unaweza chelewa ila lazima muda ufike uwajibike.
Usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio. Usipende kuvuruga amani ya moyo ya MTU Mwingine kwa kumkomoa tu huku wewe ukiendelea kuenjoy.
Unadanganya kibiashara, kifedha, kifamilia, kijamii na...
Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja.
Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa dhambi.
Mbona sasa maovu, maasi na dhambi ndio kwanza zinazidi kuongezeka. Au aliyekuja na kufa sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.