dhambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka anaponzwa na sifa kutoka mitandaoni

    Kiufupi RC Mtaka ni mtu anayeamini katika kufurahisha watu washangilie kwa muda baadae kombe linafunikwa mwanaharamu anapita bila mabadiliko kutokea au kufanyika. RC ni mtu anayejijenga kupitia mitandao ya kijamii kwa lengo la umaarufu bali si utendaji. Nashangazwa sana ni kwa namna gani...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa lawama anazopewa Hayati Magufuli na Antony Diallo wa Sahara Media ni wazi CCM ya 2015 - 2021 ina Dhambi za Dhuluma

    Kama muda huu unatizama 'Mubashara' Star Tv Mahojiano ya Mmiliki wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Tajiri Antony Dialo huhitaji Elimu Kubwa kujua ya kwamba 'ameteseka' sana na 'kudharauliwa' mno na uliokuwa Utawala wa Hayati Rais Dkt. Magufuli na CCM yake. Na 99% ya Mazungumzo...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nimesababisha kutosamehewa dhambi nimejamba wakati nikiungama mbele ya padri

    Nilibanwa na ushuzi ghafla nikajikuta nimeachia kiduchu duchu harufu ndio iliyoniumbua. Ghafla nimeskia padri ananimbia kabla sijasema naungama na dhambi nilizosauau basi niitaje dhambi ya kumjambia padri kwenye chumba cha kuungamia. Je nitakuwa nimesamehewa kwel? Maana ushuzi haukuwa wa kawaida.
  4. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Dhambi ipi inakutesa huweezi kuiacha

    Uzinzi/kuchepuka Uuaji Kujichua Utapeli Wizi Kutamani mke wa jirani yakoo Ulevi Uongo Ufiisadi Na mengine.kama hayooo Comt 0753 466675 past mzuri sana haitaji hela yakyako imwone Mungu
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama aliyeharibu Uchaguzi Mkuu 2020 nae aliimiliki hii ' laana ' kwanini Wabunge aliowapitisha ' Kimabavu ' laana hii isiwaandame tu?

    Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza bungeni alipokuwa akiwaonya wabunge kutoleta taarifa za kutambulishwa bungeni waume au wake za watu wakidai ni waume au wake zao, alipokuwa akiongoza kikao cha bunge la bajeti, jijini Dodoma leo. Ndugai amesema amepokea malalamiko kutoka kwa wananchi...
  6. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu: Kutoa mimba ni kuua, tujihadhari na dhambi hii kubwa kuliko maelezo

    Huwa kuna kishawishi kuwa Mimba ni Kama kauvimbe tu, kwa hakika hata Kama ni mimba ya siku moja, kuitoa ni dhambi na wale wote wanaoshiriki kuitoa mf. Madaktari na Wauguzi waliofanikisha Mpango huo, Mume au boyfriend aliyesupport kwa namna yoyote, wote wana hatia mbele ya Muumba. Kila kiumbe...
  7. rodian

    JamiiForums Tanzania Ni dhambi kuvaa barakoa kwa kipindi hiki?

    Habari wakuu, Nadhani ni muda mrefu tangu nipost last thread. Nashukuru Mungu ni mzima wa afya na kutokana na majukumu ya hapa na pale, nikashindwa ku-post, naamini hakijaaribika kitu kwani pamoja na yote nimekuwa nikipata nafasi za kusoma thread za wanajamii wenzangu,🙂 ingawa ntaimiss free...
  8. A teller

    JamiiForums Tanzania Nilishindwa kumsaidia Mariamu

    Rafiki na ndugu yangu mpendwa, Nilikuja nyumbani kwenu kama tulivyohaidiana ili nipate kukuaga lakini kwa bahati mbaya nimekukosa, nilikuja kukuaga kwa kuwa hutaniona tena kwani nasafiri safari ya mbali sana. Baada ya kusubiri sana nimeamua kurejea nyumbani na ili kufanikisha safari...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

    Kabla ya kuasi shetani alikuwa malaika mkuu wa Mungu yani ni kama kiranja mkuu ama waziri mkuu.... Kwahiyo zile chembe chembe za uungu bado anazo mpaka Leo hii.... Chooni panachukuliwa kama mlango wa kuzimu na kuna mengi ya giza hufanyika chooni na kufanikiwa sana...... Ni jambo la kushangaza...
Back
Top Bottom