matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,587
- 15,370
Majini (mapepo) ua roho wachafu ni mengi kwa idadi hayahesabiki. Yote yako hapa duniani.
Sasa tofautisha mtu kupagawa na majini (possessed) na mtu kutawaliwa na majini (Controlled). Watu wanaopagawa na majini ni asilimia kama moja tu asilimia 99 ya watu wanatawaliwa na majini.
Hawa huwezi kuona wanafurukuta au wanaanguka hovyo na kutoa povu.
Kila aliyewahi kwenda kwa mganga anamapepo.
Kila addiction (pombe, madawa, bange) kuna majini yake.
Kila dhambi kuna majini yake nyuma yakishawishi uendelee.
Ushabiki hasa wa mpira na movie unamajini yake special kuhakikisha hushikiki. Bora utoroke kanisani ukaangalie match. Sio akili yako ni majini.
Sio kila unayemtamani ni akili au wazo lako, sio kila hamasa ya kuangalia porno ni akili yako, nyumq yake kuna ushawishi mkali wa mapepo.
Sasa ufanye nini?
Uwe mkweli kwa Mungu, ukili udhaifu uombe ulinzi wa damu ya Yesu na malaika wenye nguvu kuliko majini. Ruhusu roho mtakatifu na neno ndio lishawishi akili yako sio majini.
Ni hayo tu.
Barikiwa