Wale waliosema Bandari imeuzwa tubuni mapema dhambi zenu Mkataba wenu feki unawaumbia Mchana kweupe Samia hadi 2030

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Feb 13, 2017
324
910
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imealika kampuni kutuma zabuni kwa ajili ya kusimamia kituo cha makontena (Container Terminal II) kinachohusisha gati namba 8 hadi 11 katika Bandari ya Dar es Salaam, Hii ni eneo ambalo hapo awali lilisimamiwa na kampuni binafsi ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania (TICTS) kwa miaka 22, kampuni inayomilikiwa kwa kiasi kikubwa na Hutchison Ports ya Hong Kong.

Tanzania pia kwa sasa inaendeleza mazungumzo na DP World, kampuni kubwa ya huduma za bandari ya Dubai, ili kusimamia gati namba 1 hadi hadi 7 katika bandari hiyo. Tanzania inaboresha miundombinu kwenye Bandari ya Dar es Salaam ili kuongeza ufanisi utakaoiwezesha kushindana na bandari nyingine, ikiwemo bandari ya Mombasa nchini Kenya. Kama sehemu ya mipango ya Tanzania, DP World itasimamia magati 1-7, huku mwendeshaji mwingine wa kimataifa wa bandari akiendesha gati namba 8-11 kwa lengo la kuleta ufanisi wa hali ya juu.
Haya wale wapambe Mkataba mliuona au mlilishwa tango pori?
 
Hyo 2030 kwenye familia yako au una maanisha Nini?
 
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imealika kampuni kutuma zabuni kwa ajili ya kusimamia kituo cha makontena (Container Terminal II) kinachohusisha gati namba 8 hadi 11 katika Bandari ya Dar es Salaam, Hii ni eneo ambalo hapo awali lilisimamiwa na kampuni binafsi ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania (TICTS) kwa miaka 22, kampuni inayomilikiwa kwa kiasi kikubwa na Hutchison Ports ya Hong Kong.
Ni matokeo ya mabango yaliyoshikwa, na bado
 
Unafiki na uchawa ni kazi ngum sana, waambie waanze kutubu kwanza hao wanaokupa ugali kwa kusaini Mkataba batili.
 
MWALIMU NYEREREANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imealika kampuni kutuma zabuni kwa ajili ya kusimamia kituo cha makontena (Container Terminal II) kinachohusisha gati namba 8 hadi 11 katika Bandari ya Dar es Salaam, Hii ni eneo ambalo hapo awali lilisimamiwa na kampuni binafsi ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania (TICTS) kwa miaka 22, kampuni inayomilikiwa kwa kiasi kikubwa na Hutchison Ports ya Hong Kong.

Tanzania pia kwa sasa inaendeleza mazungumzo na DP World, kampuni kubwa ya huduma za bandari ya Dubai, ili kusimamia gati namba 1 hadi hadi 7 katika bandari hiyo. Tanzania inaboresha miundombinu kwenye Bandari ya Dar es Salaam ili kuongeza ufanisi utakaoiwezesha kushindana na bandari nyingine, ikiwemo bandari ya Mombasa nchini Kenya. Kama sehemu ya mipango ya Tanzania, DP World itasimamia magati 1-7, huku mwendeshaji mwingine wa kimataifa wa bandari akiendesha gati namba 8-11 kwa lengo la kuleta ufanisi wa hali ya juu.
Haya wale wapambe Mkataba mliuona au mlilishwa tango pori?
Umeandika ushuzi baridi
 
Back
Top Bottom