ded

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DED Sumbawanga amtimua fundi kutokana na ubabaishaji usiozingatia viwango vya ujenzi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Bi. Pendo Mangali katika ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo aliyoifanya Februari 22/2025, ameagiza kuondolewa kazini kwa fundi Yusuph Benias Mgogo na kutafutwa fundi mwingine kutokana na fundi huyo kuwa mbabaishaji na kushindwa kutekeleza majukumu...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania DED ana Amri Kisheria ya Kuwaweka Watu Ndani?

    Wanasheria tusaidieni kujua kama Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (DED) ana amri Kisheria ya Kuwaweka Watu Ndani masaa 24. Hata hivyo Kwa uzoefu wa Vijijini tulikokulima Watendaji Huwa wanawaweka watu ndani Kwa kutumia Migambo,Je sheria inawaruhusu? My Take Waziri tumechelewa sana kuonya...
  3. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania DED Emanuel Franci Namaumbo yupo wapi?

    Huyu ni DED wa ajabu kuwahi kutokea Hutembea na kuku na bata wake hata akipata uhamisho. mbaya zaidi anatumia muda mwingi kuongea kuliko kutenda. Mara anakwenda na mafailli nyumban nk. Mara ya mwisho nilikutana naye halmashauri moja iringa hko.. Yupo wapi huyu mwamba/ a typical CCM and...
  4. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa Bunda na wengine 11 Wafikishwa Mahakamani kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Watumishi tisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, akiwamo aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Amos Kusaja na wafanyabiashara watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkurugenzi wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Maulid Madeni: Wagombea wa CHADEMA walioenguliwa hawakujiandikisha kupiga kura

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo. Moja ya eneo...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shabiby: Mkipewa Uwaziri mnaanza kuweka mipango ya kuwa Rais

    Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.” Amesema hayo katika mkutano na...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DED Makete Awahakikishia Wakulima wa Ngano Soko la Uhakika

    DED MAKETE AWAHAKIKISHIA WAKULIMA WA NGANO SOKO LA UHAKIKA Halmashauri ya Wilaya ya Makete Julai 23, 2024, imesafirisha Tani 32, za Ngano, ikiwa ni awamu ya Pili ya Ununuzi wa Ngano baada ya hapo awali kusafirisha kiasi cha Tani 30, ambazo zote zimenunuliwa na Kampuni ya Bakhresa iliyopo...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Bunge halina manufaa yoyote kwa Watanzania. Lifutwe, ofisi ya DED ichukue majukumu ya wabunge

    Katika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika. Hawa wamachinga na bodaboda wanaoahindia mihogo na wali wa buku ndio wahanga. Majukumu ya wabunge wapewe wakurugenzi wa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yakamilisha uchunguzi wa DED aliyedaiwa kwenda China kwa fedha za Halmashauri

    Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imekamilisha uchunguzi safari ya China aliyokwenda aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi. Uchunguzi huo ulioanza mwanzoni mwa Novemba 2023, ulitokana na agizo la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya...
  10. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    INTRODUCTION: Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania...!! BODY Tarehe 18/04 Mtukufu Rais wetu alitengua uteuzi wa DED wa Mafia Bwana Kassim Seif Ndumbo, ila wajuzi wa mambo wanasema, kosa alilonalo ni kashfa ya kubaka binti (minor) ambae alikuwa "House girl" wake. SCENARIO Ila Mimi kwenye...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi wake wa ndani (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kuwa na umri chini ya miaka 18. Hatua hiyo imebainika...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwajuma Nasombe, DED Moshi Manispaa afukuzwe kazi

    Kwa furaha kubwa ya Wana mwanga, mungu amempeleka Makamu wa Rais Dr Mpango kuitembelea wilaya ya Mwanga . Madudu aliyayakuta huko, aliyekuwa DED wa mwanga akahamishiwa Moshi Manispaa, Mwajuma ,anastahiki kufukuzwa kazi na kufungwa. Miradi yote huko ni wizi mkubwa, na tuna hisi huyu mama...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Makonda na Nchimbi wapendekeza wakuu wa wilaya, mikoa, RAS na DED; utenguzi, uhamisho na utenguzi kufanyika hivi karibuni

    Kila kiongozi anayeingia ofisini kwenye chama jambo la kwanza ni kupendekeza kutengua na kuteua. Tayari wawili hawa wamewasilisha majina ya watu wanaotamani wapewe nafasi waonje keki ya Taifa. Kufuatia utamaduni huu wa kila mtu kumpa shavu rafiki yake, nawajulisha wakuu wa mikoa, wilaya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania DED Tunduru kwanini huu ubaguzi katika kulipa pesa za likizo?

    Wiki iliyopita baadhi ya walimu walilipwa pesa zao za likizo baada ya nafikiri kulalamika humu jukwaani. Pesa hizo wamelipwa baadhi ya walimu, tunauliza kwanini ubaguzi huu? Kwanini baadhi walipwe na wengine wasilipwe. Je ni kwasababu ya rushwa au kujuana? Mheshimiwa waziri Mchengerwa...
  15. mahahila

    JamiiForums Tanzania DED wa Gairo ana kiburi na majivuno, Waziri Mchengerwa fuatilia hili

    DED Gairo amekuwa kiburi na majivuno, halipi stahiki za watumishi akisema mapato madogo lakini yeye kutwa safari na anajilipa, anatukana watumishi bila kujali umri maana wengine wamemzidi sana. Anambeza na kumdharau DC wa Gairo ikiwa ni boss wake. Waziri Mchengerwa fatilia hili, watumishi Gairo...
  16. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa DED wa Halmashauri ya Mji wa Bunda

    Waraka kwa DED wa Halmashauri ya Mji wa Bunda, Emmanuel Mkongo Heshima yako mkuu! Nitajitahidi kuandika andiko fupi sana!Nakumbuka kwenye vikao vyako vingi huwa unawaencorage sana wana Bunda kupambana zaidi badala ya kukata tamaa! Awali hawakuweza kukuelewa ila Kwa sasa wamekuelewa vizuri...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DED Halmashauri ya Igunga akamatwa, siku chache baada ya kudaiwa kuwepo kwa upigaji kwenye Halmashauri aliyotoka

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Athumani Francis Msabila amekamatwa na Jeshi la Polisi wilayani humo na kuwekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi wilayni humo. Mkurugenzi huyo alikamatwa Novemba 05, 2023 majira ya mchana wakati akiwa amerejea kutoka mkoani...
  18. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hongereni DED Bunda, mnaipambania sana 🙏

    Kipindi Fulani hii wilaya ilikuwa ustaarabu mdogo sana kuanzia usafi nk.Ila Kwa sasa napenda kuupongeza Kwa dhati ushirikiano uliopo kati ya MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA ambaye hapo awali alikuwa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, pamoja na Mkuu wa wilaya ya Bunda Dr.Vincent...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Chatanda awapongeza DC & DED Nyang'hwale kwa Usimamizi wa Miradi

    Mwenyekiti wa wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amefurahishwa na Ushirikiano wa Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wa Wilaya ya Nyang'hwale kwa usimamizi mzuri wa Miradi ambayo Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeweza kuleta fedha mbalimbali za Miradi ya Maendeleo. Akizungumza...
Back
Top Bottom