Rais Samia, mbona umewafuta ma DED wenye Hati Safi baadhi ya Halmashauri huku ukiwarejesha Ma DED uliowatumbua huko nyuma kwa uozo wao?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,045
71,289
Bado naendelea kujiuliza, Kwanini mambo Yako hivi?.
Rais Wetu, hao wanaokuletea majina, wamekupa nini??

Mbona wanakugombanisha na watu?.

Ni kweli ,huenda umehakikishiwa Urais Kwa namna yoyote, huenda pia umeona ufunike kombe umalize ungwe yako, ila yote Kwa yote ya Mungu Mengi.

Nikajua Kiongozi anayeonekana kufanya vizuri, anakua Motivated zaidi Ili aendelee kufanya Mazuri na kua mtu wa mfano.

Teuzi zimejaa majungu, wivu, Kujuana na Kila aina ya takataka !!.

Unatupatia hasira Ile ya miaka 2005--2015.

Mbaya zaidi , pakumulia hamna, Pesa mtaani haipo, watu wanakula mlo Mmoja, sijakaa sawa , Nchi inauzwa , matukio ya ujambazi yanakithiri, Ufisadi unakithiri, kweli???

Haya yote chini yako ??? Kweli ??? Mbona Kwa JPM hayakuonekana ??.

Mungu kwanini ulimchukua JPM angalia bado anahitajika katika Taifa hili ??.
 
Pole Sana. Wengine toka siku amekula kiapo tuliinamisha vichwa chini tukijua Tanzania inarudi ilikotoka
 
Bado naendelea kujiuliza, Kwanini mambo Yako hivi?.
Rais Wetu, hao wanaokuletea majina, wamekupa nini??

Mbona wanakugombanisha na watu?.

Ni kweli ,huenda umehakikishiwa Urais Kwa namna yoyote, huenda pia umeona ufunike kombe umalize ungwe yako, ila yote Kwa yote ya Mungu Mengi.

Nikajua Kiongozi anayeonekana kufanya vizuri, anakua Motivated zaidi Ili aendelee kufanya Mazuri na kua mtu wa mfano.

Teuzi zimejaa majungu, wivu, Kujuana na Kila aina ya takataka !!.

Unatupatia hasira Ile ya miaka 2005--2015.

Mbaya zaidi , pakumulia hamna, Pesa mtaani haipo, watu wanakula mlo Mmoja, sijakaa sawa , Nchi inauzwa , matukio ya ujambazi yanakithiri, Ufisadi unakithiri, kweli???

Haya yote chini yako ??? Kweli ??? Mbona Kwa JPM hayakuonekana ??.

Mungu kwanini ulimchukua JPM angalia bado anahitajika katika Taifa hili ??.
Kwani hata huwa anajua basi? Mnamuonea , Yeye huwa ana sign tu. Mengine yote huwa anakuja kuyajulia huku mitandaoni watu wakipiga kelele baada ya kusaini
 
Back
Top Bottom