Hongereni DED Bunda, mnaipambania sana 🙏

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Sep 19, 2023
201
437
Kipindi Fulani hii wilaya ilikuwa ustaarabu mdogo sana kuanzia usafi nk.Ila Kwa sasa napenda kuupongeza Kwa dhati ushirikiano uliopo kati ya MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA ambaye hapo awali alikuwa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, pamoja na Mkuu wa wilaya ya Bunda Dr.Vincent Anney. Kwa sasa Muitikio wa usafi Kwa wakazi wa Bunda ni mkubwa MJI umeanza kupendeza kwa sana.

Pongezi zaidi Kwa DED Bunda kusimamia vizuri pesa za maendeleo katika halmashauri yako.Halmashauri ina muda bila kupata hati chafu toka Kwa CAG.Najua utahawilisha yale maarifa uliyopata Arumeru mlikowezesha mpaka Kisimiri Sekondari kuwa the best school in advanced level Examination!

Pichani viongozi wakuu wilaya ya bunda wakiwa kwenye ukaguzi wa shughuli za kimaendeleo wilayani
Hakika mnaweza,mnastahili pongezi!

thumb_657_800x420_0_0_auto.jpg
 
Back
Top Bottom