ded

  1. Mathias Raymond Nyakapala

    Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED

    Ccm itakabidhi dola kama tutapata TUME HURU kwasababu hii mpaka mtu aliyeshinda ameenda mahakamani ndio ametangazwa.... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mystery

    Ni kwanini DED wa Ubungo, Beatrice Dominic hafukuzwi kazi kwa kitendo chake cha kungo'a bendera za Chadema?

    Tunajua kuwa nchi hii inaendeshwa kwa kufuata Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977 na katika Katiba hiyo ya nchi, ibara ya 3(1) inasema hivi nikinukuu "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia na ni nchi yenye mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu...
  3. B

    CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

    Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho. Bendera hizo ziliwekwa katika barabara hiyo...
  4. Tairi bovu

    Ushahidi namna wakurugenzi na CCM wanavyoshirikiana kuiba kura kwenye chaguzi

    Habari wanabodi, Haya yanayotokea hayatokei kwa bahati mbaya. Ni mipango ya makusudi ikiongozwa na kuratibiwa na vyombo vya ulinzi. Mwaka Jana nilikuwa kwenye jimbo moja la uchaguzi. Pale kulikuwa na madiwani wawili toka upinzani.Kati yao mmoja anatoka CUF na mwingine CDM.Ulikuwa msimu wa...
  5. Hagwila

    DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Mheshimiwa DED MAGU salaam, Napenda kukueleza machache kuhusu Idara yetu ya Elimu msingi kwenye Halmashauri yetu ya Wilaya ya Magu kama ifuatavyo: Idara ya Elimu wilayani Magu imeyumba tangu alipohama Yesse Kanyuma, aliyekuwa Afisa Elimu Msingi (W) Magu. Baada ya Kanyuma kuhamishwa aliletwa...
  6. R

    DC Jerry Muro amfokea DED kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 kwenye msafara

    DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile Huu ndio mfano wa...
Back
Top Bottom