DED wa Gairo ana kiburi na majivuno, Waziri Mchengerwa fuatilia hili

mahahila

New Member
Dec 12, 2023
2
6
DED Gairo amekuwa kiburi na majivuno, halipi stahiki za watumishi akisema mapato madogo lakini yeye kutwa safari na anajilipa, anatukana watumishi bila kujali umri maana wengine wamemzidi sana. Anambeza na kumdharau DC wa Gairo ikiwa ni boss wake.

Waziri Mchengerwa fatilia hili, watumishi Gairo DC wanafanya kazi kinyonge na hata ari ya kazi hawana sababu ya Sharifa Nabalanganya ambaye ndiyo Mkurugenzi.
 
Sawa
 
Zengwe linaundwa,ukute maslahi tu ya mwisho wa mwaka,watu wanataka wapewe helaaa....
 
DED Gairo amekuwa kiburi na majivuno, halipi stahiki za watumishi akisema mapato madogo lakini yeye kutwa safari na anajilipa, anatukana watumishi bila kujali umri maana wengine wamemzidi sana. Anambeza na kumdharau DC wa Gairo ikiwa ni boss wake.

Waziri Mchengerwa fatilia hili, watumishi Gairo DC wanafanya kazi kinyonge na hata ari ya kazi hawana sababu ya Sharifa Nabalanganya ambaye ndiyo Mkurugenzi.
Sawa,nimesikia kilio chako,nitamshughulikia.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
DED Gairo amekuwa kiburi na majivuno, halipi stahiki za watumishi akisema mapato madogo lakini yeye kutwa safari na anajilipa, anatukana watumishi bila kujali umri maana wengine wamemzidi sana. Anambeza na kumdharau DC wa Gairo ikiwa ni boss wake.

Waziri Mchengerwa fatilia hili, watumishi Gairo DC wanafanya kazi kinyonge na hata ari ya kazi hawana sababu ya Sharifa Nabalanganya ambaye ndiyo Mkurugenzi.
Ww ndio DC?maana naona unamsemea DC ...by the way umaskini ni mbaya sana maana utakuwa mtu wa kulaumu tu
 
Bila shaka hujawahi kukaa ofisini ukafanya kazi mpaka ukatumia pesa zako mfukoni, hulipwi stahiki zako na bado unafokewa na kutukanwa kama mtoto mdogo, haki za watumishi zinajulikana na huwezi sema watu hulipi stahiki zao lakini kiongozi kila stahiki yako unajilipa, yeye hawezi kufanya vizuri bila watumishi maana ndiyo wanamsaidia kazi so inabidi awajali na kujali haki za watumishi wake.

Ila kama kutukanwa tena mbele za watu ni umaskini basi acha iwe hivyo.
 
Watumishi wa ngazi za chini ambao hamlipwi stahiki zenu huku wakubwa wakijilipa nendeni MAKANISANI, misikitini mkalaani uonevu huo majibu yatapatikana mungu hadhihakiwi vunjeni mpaka vyungu kwa haki hakuna namna nawaambieni hakuna namna zaidi ya hiki ninachowaambia mfanye hao hawawezekani watawezwa na mungu tu kila la heri katika kutekeleza vyungu na kulaani
 
DED Gairo amekuwa kiburi na majivuno, halipi stahiki za watumishi akisema mapato madogo lakini yeye kutwa safari na anajilipa, anatukana watumishi bila kujali umri maana wengine wamemzidi sana. Anambeza na kumdharau DC wa Gairo ikiwa ni boss wake.

Waziri Mchengerwa fatilia hili, watumishi Gairo DC wanafanya kazi kinyonge na hata ari ya kazi hawana sababu ya Sharifa Nabalanganya ambaye ndiyo Mkurugenzi.
Asipojifunza na kubadilika kwa kasi atakuwa sikio la kufa halisikii dawa.
 
Back
Top Bottom