dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nawachukia sana hawa matapeli wanaouza dawa mbele ya misikiti

    Kila baada ya swala ya Ijumaa utawakuta watu mbele ya misikiti wametundika tunguli, vibuyu na dawa wanazozinadi kuwa zinatibu maradhi mbalimbali ya binadamu. Mara nyingi wanaenda kwenye misikiti ya BAKWATA; ni nadra kuwakuta kwenye misikiti ya Sunni. Nimebaini hawa watu si waganga wala...
  2. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kunywa dawa na maziwa mgando (mtindi)?

    Wakuu kwema? Ni sahihi mtu kunywa dawa (Vidonge)na akatumia maziwa mgando? Asanteni
  3. JamiiForums Tanzania NHIF kwa orodha hii ya dawa ambazo hazimo kwenye kitita chenu ni dhahiri hamna nia njema ya kuwasaidia Watanzania

    Dawa zote muhimu kwa wananchi wa mijini na vijijini hazimo kwenye orodha ! Hata bomba za sindano na plasta na antibiotic karibia zote hazipo kwenye kitita sasa mnamalengo gani? Oneni wenyewe picha hizikkw
  4. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo (JKCI) yafafanuzi madai ya kuchezea mifumo ya NHIF ili baadhi ya Dawa ionekane hazipo

    Awali Member wa JamiiForums.com anadai baadhi ya Maafisa wa Afya wamekuwa wakichezea mifumo ili ionekane baadhi ya Dawa na Huduma hazipo kwenye vituo vyao wakati Wanufaika wa Bima ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wanapohitaji, akitoa mfano hali hiyo imetokea katika Taasisi ya Moyo Jakaya...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya dawa za palizi!

    Habarini Wanajf Naomba kuelekezwa namna ya matumizi ya dawa za kuangamiza magugu sinazofahamika kama palizi. Nimelima alizeti maeneo ya Dodoma. Mimea ya Alizeti ilikuwa na magugu, nikaelekezwa kuwa nikipiga dawa mimea inabaki halafu magugu yanakauka. Hivyo nikapuliza dawa hiyo shambani lakini...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Bawasili

    Habari! Leo nimeona niwasaidie kuwatajia dawa ya asili ya Bawasili ya uhakika, nimewahi kuwasaidia wagonjwa wengi tatizo la Bawasili na wakapona. DAWA 1. Mizizi ya mmea unaoitwa 9 disemba (unavyoitwa huku Pwani) 2.Mizizi ya miti ya mifenesi. MATUMIZI 1. Kata vipande vidogo vidogo vya mzizi...
  7. JamiiForums Tanzania 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vilivyoondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

    Pia soma: NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa
  8. JamiiForums Tanzania KERO Maji ya DAWASA yana harufu na ladha ya Dawa kali sana, ni salama kweli?

    DAWASA tunawashukuru sana kwa kuanza kurejesha huduma ya Maji baada ya kukatika kwa muda mrefu huku mkieleza chanzo ilikuwa kurekebisha mitambo ya machujio ya tope. Lakini sasa kuna jipya, maji yenu yanakuja harufu kali sana ya Dawa za kutibu maji kiasi kwamba hata ladha ya maji imepotea. Sasa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO NHIF wanataka kutuua na dawa za bei chee

    Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa Tanzania hivi karibuni umefanya marekebisho katika kifurushi chake kinachohusisha pia dawa, yakiwemo madawa ya antibiotic, ambapo imepunguza sana bei. Anaye command soko la dawa Tanzania ni NHIF. Na sasa hii ni RASMI kwamba soko la dawa litatawaliwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna nyumba ya mtu inayoelea, amka kafanye kazi!

    Mimi ni muwakilishi tu, usinipige mawe sikiliza mwenyewe.
  11. JamiiForums Tanzania Je, ndio mwisho wa Paul Pogba kisoka? Afungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka 4 kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli

    Paul Pogba ambaye atatimiza umri wa miaka 31 mwezi Machi mwaka huu amefungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka minne kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Mpaka adhabu yake iishe atakuwa ametimiza umri wa miaka 35, umri ambao wachezaji wengi wanatundika daluga. Mchezaji huyo mwenye...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Dawa ni kuendelea kuwaunga mkono CHADEMA hii italeta heshima na adabu kwa chama tawala

    Kwanini viongozi wa nchi yetu wanakuwa na dharau kwa wananchi wakati mwingine? Ni kwasababu wanajua hata kama hawafanyi vizuri majukumu yao wataendelea kuwa madarakani tu. Kwa wenzetu wa nchi zilizoendelea ni nadra kwa chama kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi viwili. Hata chama kikiongoza...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Maziwa fresh ni tiba ya sumu ya vumbi linaloingia kwenye mfumo wa upumuaji

    Umewahi kunywa sumu yoyote ile kimakosa kisha baadhi ya watu wakakushauri utumie maziwa fresh kama sehemu ya tiba? Madai ya maziwa fresh kuwa na uwezo wa kuondoa sumu mwilini yamekuwepo wa muda mrefu. Katika kujadili ufanisi wake, mdau mmoja wa JamiiForums amekosoa vikali tiba hii kwa kusema...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi majani ya mpera ni dawa ya ngozi?

    Hivi majani ya mpera ni dawa ya ngozi? Maana nimewasikia watu wakisema ni dawa ya ngozi.
  15. JamiiForums Tanzania Nimeshauriwa na daktari kuanza kutumia dawa za kushusha pressure

    Habari wataalamu wa tiba katika forums hii. Nimekwenda kituo cha afya ikigunduliwa ni pressure iliyojuu sana ambapo iko kwa kiwango cha 180/117 kutokana na kiwango hicho nimeshauriwa nianze kutumia dawa za kushusha. niombe kwenu wadau kama kuna yeyote hali hii ilishawahi mkuta na kutumia dawa...
  16. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya yatoa mafunzo kwa Maafisa waelimishaji wa (TAKUKURU) wa Wilaya zote Nchini

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imehitimisha mafunzo kwa Maafisa waelimishaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU} kutoka katika mkoa na wilaya zote nchini, yaliyofanyika kwa lengo la kujengeana uwezo na kupeana mbinu zaidi za uelimishaji Umma katika...
  17. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi unataka uwapangie watu ratiba za kula?

    Hivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo. Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa? Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na...
  18. JamiiForums Tanzania DCEA: Zaidi ya kilo Milioni za Dawa za Kulevya zilikamatwa Tanzania mwaka 2023

    Na Mwandishi wetu Dodoma Serikali kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema imepata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya ambapo kuanzia mwezi Januari hadi Disemba 2023 kilogramu zaidi ya milioni moja za aina mbalimbali za dawa za kulevya...
  19. JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wamsaka Mganga aliyelewesha Watu 16 wa familia moja kisha kuwaibia

    Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mtu mmoja aliyejifanya mganga wa jadi huko maeneo ya Mji mwema, Kigamboni, Dar es Salaam kwa kuwanywesha dawa inayodhaniwa kuwa ni sumu na kuwalewesha watu 16 wa familia moja na baadae kuwaibia simu. Tukio hilo limetokea tarehe...
  20. JamiiForums Tanzania Tuambie huwa unatumia dawa gani ya meno?

    Mimi nimeweka kambi hapa kwa Colgate max fresh, hakika iko vizuri sana. Nilikuwa na tatizo la fizi kutoa damu ila baada ya kutumia hii tatizo limeisha. Tushirikishe wewe huwa unatumia dawa gani unaposwaki meno yako?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…