Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 2,909 Reaction score 6,495 Feb 27, 2024 #1 Hivi majani ya mpera ni dawa ya ngozi? Maana nimewasikia watu wakisema ni dawa ya ngozi.
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,417 Reaction score 82,371 Feb 27, 2024 #2 Hata sisi ni watu pia. Kwanini usingewauliza hao watu waliokuwa wanasema ni dawa?