Tuambie huwa unatumia dawa gani ya meno?

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,031
Mimi nimeweka kambi hapa kwa Colgate max fresh, hakika iko vizuri sana. Nilikuwa na tatizo la fizi kutoa damu ila baada ya kutumia hii tatizo limeisha.
IMG_9967.jpeg

Tushirikishe wewe huwa unatumia dawa gani unaposwaki meno yako?
 
Mimi nimeweka kambi hapa kwa Colgate max fresh, hakika iko vizuri sana. Nilikuwa na tatizo la fizi kutoa damu ila baada ya kutumia hii tatizo limeisha.View attachment 2908041

Tushirikishe wewe huwa unatumia dawa gani unaposwaki meno yako?
Ila tuongee ukweli tatizo la vinywa kutoa harufu mbaya bongo ni kubwa sana..

Pengine dawa za kinywa tunazotumia zina shida au watu wengi hawali kwa wakati yaani midomo inatema sio poa..
 
Mimi nimeweka kambi hapa kwa Colgate max fresh, hakika iko vizuri sana. Nilikuwa na tatizo la fizi kutoa damu ila baada ya kutumia hii tatizo limeisha.View attachment 2908041

Tushirikishe wewe huwa unatumia dawa gani unaposwaki meno yako?
Harufu ya mdomo ni chakula unachokula na si dawa unayotumia.

Jaribu kula wali maharage na wali mbogboga asubuhi yake compare harufu
 
Sasa sijui tbs inafanya kazi gani dawa ile haina ubora kabisa..
Unaweza jikuta siku yako imeenda vibaya kabisa..
Tatizo upatikanaji wake ni rahisi sana maduka ya mangi yote mtaani hawana dawa nyingine zaidi ya hiyo, mi home nimeipiga marufuku
 
Back
Top Bottom