dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Nataka kumfungulia mchepuko wangu duka la bidhaa za kike (urembo) na watoto. Nipeni ushauri kuhusu bajeti na mahala sahihi hapa dar

    Habari wakuu Niliwahi kuleta uzi humu kuhusu mke wangu niliempa mtaji akafanye biashara ya duka la kuuza urembo wa kike pamoja na saloon lakini akauwa ile biashara. Yule alikua anafanya biashara kisa wenzake wanafanya lakini nina mchepuko wangu huwa ananipoza nikiwa dar, yeye kiukweli anajua...
  2. Mkurugenzi Wa Mashirika

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Riverside Dar es Salaam

    Habari wakuu, Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sifa zifuatazo; 1. Iwe maeneo ya Riverside Dar es Salaam 2. Isiwe mbali sana na stendi ya Riverside 2. Iwe na chumba kimoja master na sebure 3. Iwe na Tiles na madirisha ya Aluminium Nipo tayari kwa bei yoyote.
  3. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Dar: Ajali ya mchezaji wa simba Che Malone yaua dereva wa bodaboda

    Mchezaji wa simba che malone alisababisha ajali na kumua dereva wa bodaboda katika ajali iliyotokea mikocheni juzi. Havari zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema mchezaji huyo alikuwa akitokea masaki kula bata kwenye pati Aidha imebainika kwamba si kweli kwamba mchezaji huyo alitoka...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Maharage ana biashara ndani ya TTCL ndio maana nimemtoa

    https://www.youtube.com/watch?v=JHMCidEdAKY === Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo. "Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae...
  5. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme ni moja ya mambo yaliyofanya CCM ichukiwe jiji la Dar Awamu ya Nne

    Jiji hili shughuli nyingi za uchumi zinategemea nishati hii ya umeme kukosekana kwa umeme kunaenda kumuathiri mwananchi moja kwa moja kwanzia mama ntilie, wauza juice, kazi za kulanda mbao,magarage,wenye biashara za saloon na barbershop hizi ndio biashara pendwa jiji hili na zimetapakaa kila...
  6. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania DP World kuanza kuendesha bandari ya Dar es Salaam tarehe 01 Novemba 2023

    Kelele za Watanganyika kulilia dhidi ya mkataba mbovu wa bandari, hazijasikilizwa na DP WORLD wanaingia rasmi ofisini tarehe 01 November. Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni Waarabu, hapana, kuna Wazungu, Wahindi, Wafilipino na watu weusi.
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania JKCI kutumia Maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani kufanya vipimo vya moyo kwa Wananchi wa Dar

    Katika kuadhimisha siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2023 yenye kauli mbiu "Tumia Moyo, Kulinda Moyo wako" wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Moyo Tanzania (TCS) watatoa huduma ya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Dar: Abiria wateseka kwenye foleni kusubiri mabasi ya mwendokasi Kituo cha Mbezi Mwisho

    Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600 Pia soma: DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Dar: Basi la shule la St. Florence Academy (hiace) lapata ajali maeneo ya Interchick Mbezi Beach

    Ajali hii imetokea asubuhi hii, basi hilo likionekana kutumbukia kwenye mtaro likiwa na wanafunzi kama 10 hivi. Kwa kuwaangilia watoto hawaonekani kuwa wameumia sana, zaidi ya michubuko na hofu kwa kilichotokea. Basi jingine kubwa la shue hiyolilipita eneo hilo na kuwachukua watoto hao...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA yafafanua sababu ya maji kukatika mitaa ya Tabata

    Baada ya kudaiwa kuna changamoto ya huduma ya maji Mitaa ya Tabata hasa kuanzia Posta kuelekea Segerea, ikiwa ni wiki ya pili kuna uhaba wa maji huku Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikiwa haitoi taarifa ya kinachoendelea, ufafanuzi umetolewa. Awali ilidaiwa kuwa...
  11. Desierto

    JamiiForums Tanzania Acha leo niwasifie mabinti wa Kigoma kabla hawajaja Dar

    Habari za humu poleni na majukumu Kabla sijaoa nilibahatika kuwa na mahusiano tofauti na mabinti wa kigoma kwa nyakati tofauti Wa kwanza nilikutana naye dar gongo la mboto alikuwa mtu wa kigoma mgambo Alikuwa na heshima sana Wa pili hao wengine zaidi ya wa nne nilikutana nao nikiwa huko huko...
  12. Mkurugenzi Wa Mashirika

    JamiiForums Tanzania Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR

    Habari wakuu, Lenovo Xiaoxin 700-15ISK ya CORE 7 yenye NVIDIA GEFORCE GTX imezima natafuta fundi anitengenezee nipo DAR. . Taa inawaka vizuri kabisa. . Tatizo screen ndio haiwaki .. Niliipeleka kwa mafundi wakatest screen ni nzuri kabisa, wakatest RAM zote haizikubali .N.K
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar hivi supu ya maharage inakata Hangover? Au ndio kufosi mambo kwa sababu ya ugumu wa mambo?

    Vijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage. Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k Dar mbona kila kitu tabu?
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli angekuwepo SGR Dar-Moro na Bwawa la Mwl. Nyerere vingekuwa vinafanya kazi

    Nawaza tu, endapo Magufuli angekuwepo leo; 1. Train ya umeme ingekuwa inapiga kazi usiku na mchana na serikali ingianza kuingiza pesa za kutosha. 2. Bwawa la Mwl. Nyerere lingeanza kuzalisha umeme wa kutosha na leo hii stori za kukatika umeme zisingekuwepo. 3. Kalemani angekuwa Waziri wa...
  15. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nauli ya ndege Dar-Kigoma daraja la economy ni kiasi gani?

    Ndugu wanabodi naomba kujua gharama kwenda na kurudi kutokea Dar.
  16. Chai ya saa kumi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa usafiri wa moja kwa moja wa bus kutoka Dar mpaka Musoma

    Wakuu sana naomba kuuliza kampuni ipi ya bus ni nzuri kutoka Daslam to Musoma one-way? Nawasilisha
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Dar es Salaam

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Kamati Kuu ya chadema, ambayo mara zote ndio inayotoa Dira ya Taifa na Mwongozo wake, inakutana tena Jijini Dar es Salaam. Sasa kwa hali hii ya Mgao wa Umeme, bei na uhaba wa mafuta, Mkataba wa Bandari, Katiba mpya, Tume huru ya Uchaguzi, Maridhiano na mengine...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge asema mbele ya Rais Samia kuwa Umeme umekatika mara 21 ndani ya siku mbili

    Rais samia akiwasalimia Wananchi wa Somanga akiwa njiani kuelekea Jijini Dar es Salaam https://www.youtube.com/watch?v=3F82U8xtIb4 MBUNGE: UMEME UMEKATIKA MARA 21 NDANI YA SIKU MBILI Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Francis Ndulane akielezea changamoto ya umeme kukatika katika Jimbo hilo na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nauli ya ya Dar - Mwanza kwasasa ni Tshs ngapi?

    Habari ya jioni waungwana Naomba kujuzwa nauli ya Dar to Mwanza kwasasa ni Tshs ngapi kwa semi luxury bus. Mana nina miaka miwili sijaenda Mwanza sasa mwezi huu nina safari ya kuelekea kanda ya ziwa. Nikipata msaada wa kutajiwa pia basi linalowahi kufika nitashukuru pia.
  20. P

    JamiiForums Tanzania Leo tutegemee saa 24 bila umeme Dar es Salaam

    Hii itakuwa ni historia. Tena bila taarifa kutoka TANESCO.
Back
Top Bottom