Wamasai kaeni tu mkoani mmejaa sana Dar manaaibisha aisee

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,956
22,654
Hivi kwann wamasai hawataki kabsa kukaa porini yaan kila siku wanakuja Dar wanaongezeka kwa kasi sana aisee hawataki kabsa kuchunga n'gombe mnataKa nani awachungie aisee masai hamtaki kufanya kazi za asili.

Yaan masai mmekua kama watu wa makumbusho kutaka kazi nyepesi kusuka tu na kukaa tu getini kupga stori wanangU sio kweli em bakini bush kidogo halafu muache ile tabia ya kukaa wamasai sita halafu kila mmoja kawasha redio uyo anasikiliza mziki yule taarifa ya habari uyu anaskiliza mpira yaan daah!!! Jau

N'gombe zikifa mnahisi sisi Dar tutakula nyama gani wakuu
 
hivi kwann wamasai hawataki kabsa kukaa porini yaan kila siku wanakuja dar wanaongezeka kwa kasi sana aisee hawataki kabsa kuchunga n'gombe mnataKa nani awachungie aisee masai hamtaki kufanya kazi za asili yaan masai mmekua kama watu wa makumbusho kutaka kazi nyepesi kusuka tu na kukaa tu getini kupga stori wanangU sio kweli em bakini bush kidogo halafu muache ile tabia ya kukaa wamasai sita halafu kila mmoja kawasha redio uyo anasikiliza mziki yule taarifa ya habari uyu anaskiliza mpira yaan daah!!! jau
n'gombe zikifa mnahisi sisi dar tutakula nyama gani wakuu
Hii ya ku-tune kila mtu channel yake ni kioja cha mwaka kutoka kwa maasai
 
hivi kwann wamasai hawataki kabsa kukaa porini yaan kila siku wanakuja dar wanaongezeka kwa kasi sana aisee hawataki kabsa kuchunga n'gombe mnataKa nani awachungie aisee masai hamtaki kufanya kazi za asili yaan masai mmekua kama watu wa makumbusho kutaka kazi nyepesi kusuka tu na kukaa tu getini kupga stori wanangU sio kweli em bakini bush kidogo halafu muache ile tabia ya kukaa wamasai sita halafu kila mmoja kawasha redio uyo anasikiliza mziki yule taarifa ya habari uyu anaskiliza mpira yaan daah!!! jau
n'gombe zikifa mnahisi sisi dar tutakula nyama gani wakuu
Kajifunze kwanza kuandika, ndipo uje uwashambulie Wamasai
 
Back
Top Bottom